Mkuu, ninashukuru kwa kunisaidia kwa sababu kuna wengine hawawezi hata kujenga hoja ndani ya hoja. Kama baadhi ya watu wanashindwa kuelewa hata mantiki iliyowazi. Sishangai kuona suala la katiba kwa kiwango kikubwa limekuwa ni suala la vyama vya siasa pekee huku kundi kubwa la watu likikubali kila kile kinachofanywa na viongozi wao wa kisiasa ndani ya bunge Maalum.
leo nimebanwa kidogo namajukum isipokuwa nataka ufaham kwamba
-Lisu hakuongea kwa mafumbo bali waziwazi na kwa ufasaha akiwalenga ccm na wasomi wake kwa kupotosha nakuishi kwa ujanja ujanja.
S. sita alimueleza wazi usianze kuhukum kwani tumekuja pamoja na huu hautakuwa mjadala
1. Alirusha maneno hayo moja kwa moja kwa kuwalenga shivj na mwakyembe na ccm kwa ujumla wake sio hakusingle out-Nyerere nakusoma rejea ya maandishi yao najinsi walivyokanusha na kubadilika kimshangao.
2. Nikatika rejea zake alimnukuu Nyerere kwa jicho la zanzibar ni serkali 3 kwa Tanzania bara ni serikali moja, kwa maana ya hawa wanaolazimisha serikali mbili wanapotosha kwa mujibu wa Lisu
3. Kila jambo na wakati wake nakwamba siku za uhai wake Nyerere alisema endapo itafaa kufanya marekebisho katika muungano nisuala la wanachi kufanya maamuzi hayo.
4.Hata hivyo kulingana na wakati, mazingira, na uhitaji wa watu inawezekana kwa wakati ule ilikuwa sahihi kabisa kuiatamia Zanzibar kwa kila mbinu mpaka pale mambo mazuri yatakapowadia kama ilivyo sasa kwamba imeimarika na nibusara ikajiendesha kwa faida na maslahi ya wazanzibar
5. Nikwa ukweli kwamba Nyerere alikuwaflexible na alikubaliana na mambo kugeuka kadri ya mahitaji
Mfano
-vyama vingi
-uvunjaji azimio la arusha, japo ilimuudhi sana na ukweli unaonekana jinsi maadili na ufisadi ulivyotamalaki
Hivyobasi pamoja nakumhusisha lisu na kauli ile nivema kutafakali kwa ujumla wake
A) niwatugan ambao wanabisha serkali tatu kwa hoja za uwongo pale mjengon?
B) Ieleweke Nyerere hayupo pale kupotosha ninani anayeambiwa anaishi kwa uwongo, amezoea vya kunyonga na hawezi kubali vya halali? (Pale kwenye mjadala)
C) Lisu aliposema ukweli huo unajidhilisha na mzozo wa kusoma maoni ya wachache, ccm waling'ang'ania, sasa yanawatokea puani walidhani kilajambo nikudanganya hapa bado alithibisha waongo alowakusudia ni ccm.
Pamoja nahayo yote, mapungufu yaliyojitokeza na kubanishwa huu ndiyo wakati wake kuyarekebisha, kwanini waongo na wasiotaka halali wasiwe ccm kwa ujumla wao kwa kupinga hoja zenyemashiko kwa rejea za uwongo, kulazimisha na kupindisha ukweli?
Kudokwa jina moja kwamba Lisu amwita Nyerere.... Niupotoshaji wa maana halisi ya hoja za Lisu kwa maana amelenga kundi la watu sio mtu ndiyo sababu ya kuwanyoshea kidole akina mwakyembe, shivji nk.
Narudia unajaribu kucheza na akili za wengi kumchonganisha Lisu ilikukidhi malengo yako, maana ww na ccm wenzako mmeumizwa vibaya na vyakutosha na hoja za Lisu nakwasababu ww ni ccm sifa zote unazo
-muwongo
-hujazoea vyakuchinja, Lisu amechinja
-unaishi kwa mazoea, hupendi mtu kuibuka na kupewa sifa nje ya ccm
-nauendekeza majungu
Kwasababu ndugu u-ccm sikushangai, pole mkuu ninamajukum muhim kwasasa endelea na propaganda za kiccm,