iGodmanhustler
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 609
- 339
so lisu wanna be the New Nyerere and you fools here are surpoting him?Hawa wakina Lisu nawafananisha na WaLibya waliokua against na Gadaf kisa uloho wa madaraka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kivipi?Bwa mdogo hatofika mbali.Huyu kilaza hajui yeye asingekuwa bungeni kama sio kazi. Ya Mwalimu
Mkuu, nani amesema hapa kuwa Mwl. Nyerere hakuwa mwanadamu?.
Tukubaliane tu kuwa, Mh. Tundu Lissu amepasua jipu ambalo wengi waliogopa na wanaendelea kuogopa kulipasua. Kwa lugha inayoeleweka na wengi, amemchana chana Mwl. Nyerere na pamoja na kitabu chake cha Uongozi wetu na Hatima ya Tanzania.
Ntazitafuta post zako za kumponda FaizaFoxy kila alipokuwa akiyasema hayo aliyoyasema Lissu jana na mengine. Nyerere niliwahi kusema humhumu JF ni ndumila kuwili.
Nyerere kuhusu Muungano wa Zanzibar alifata maelekezo ya Kanisa. Ngoja na Tundu Lissu aitwe na Kanisa muone kama hajabadilika, mtakuja kunambia humuhumu JF.
Kama leo mnavyodiriki kukubali maneno ya FaizaFoxy kwa kuwa tu yametoka kinywani mwa Tundu, basi iko siku mtayakubali na haya ya shinikizo la Kanisa. Ukweli ukidhihiri uongo hujitenga.
Unaweza kuujadili muungano bila ya nyerere?Hawa wanasiasa waachane na Mwalimu Nyerere,kama katiba mpya imewashinda si wauvunje huu muungano,kila kitu Nyerere!ina maana Nyerere ndo pekee aliupenda muungano?waache siasa za kinafiki,hakuna mtakatifu kuliko Nyerere.
Nani anapotosha?. Mimi au Mh. Lissu?.Unapotosha. Kwanza, maneno hayo hayakusemwa kwa Mwalimu Nyerere. Pili, maneno " haramu na halali" yalifutwa hivyo huwezi kuyapata kwenye hansard.
Mkuu, ninashukuru kwa kunisaidia kwa sababu kuna wengine hawawezi hata kujenga hoja ndani ya hoja. Kama baadhi ya watu wanashindwa kuelewa hata mantiki iliyowazi. Sishangai kuona suala la katiba kwa kiwango kikubwa limekuwa ni suala la vyama vya siasa pekee huku kundi kubwa la watu likikubali kila kile kinachofanywa na viongozi wao wa kisiasa ndani ya bunge Maalum.
Mkuu huyu FaizaFoxy ni mdini balaa! Yaani kamwona Pengo tu; Mufti kwake sio issue. Sometimes huyu ni wa kupuuza tu.
adui wa nyerere mzee mtei atakuwa alimtuma tundu lisu amtukane nyerere
Punguza udini utaeleweka. Lissu hajachambua mambo kidini bali kisiasa na ameeleweka vizuri sana. Sasa wewe na makuwadi wenzio mnapoanza kutuletea habari za Kariakoo na misikitini hamueleweki. Mnafiki mkubwa wewe.
Wewe punguani kweli tafsiri yako ya udini mtu akiwa Muislam mambo ya Msikiti yameingiaje hapa kama siyo unafiki, kwako uwa hakuna Mkirsto mdini wadini wote ni Waislam.
Tundu Lissu, kwenye ili la kumponda Nyerere, pro-Chadema wapo kimya masikini.
Mimi huwa nadhani wanasheria ni watu wazuri sana katika uwanja wa siasa hasa ukiangalia kwa kutumia darubini katika siasa za nchi za magharibi utakuta kuwa, viongozi wengi wa nchi hizo ni wanasheria na wamefanikiwa/wanafanikiwa katika siasa zao.
Kama hoja yako ni kweli, kwa nini inakuwa tofauti kwa Mh. Tundu Lissu?.
Usitake kutugawa Waislamu kwa Ubara na Upwani hatuna kitu kama hicho.Faiza na kundi lake akina Ritz wanamdharau sana Sheikh Simba kwa kuwa anatokea Shinyanga. Hawajawahi kumuona kama Mufti wao toka aondoke Sheikh Hemed Bin Jamaa mtu wa pwani mwenzao.
Siyo kweli umeamua kutuwekea maneno kwenye midomoni mwetu.Faiza na kundi lake akina Ritz wanamdharau sana Sheikh Simba kwa kuwa anatokea Shinyanga. Hawajawahi kumuona kama Mufti wao toka aondoke Sheikh Hemed Bin Jamaa mtu wa pwani mwenzao.
so lisu wanna be the New Nyerere and you fools here are surpoting him?Hawa wakina Lisu nawafananisha na WaLibya waliokua against na Gadaf kisa uloho wa madaraka