Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Uliwahi kukutana na Mungu?Mungu hajawahi kughafilika na madhalimu pale wanapo dhulumu. Ni suala la muda tu, itafika zamu yenu ya kuonja ubaya wa matendo yenu zidi ya viumbe wenzenu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uliwahi kukutana na Mungu?Mungu hajawahi kughafilika na madhalimu pale wanapo dhulumu. Ni suala la muda tu, itafika zamu yenu ya kuonja ubaya wa matendo yenu zidi ya viumbe wenzenu.
Na wewe unajua?Unamcheka mwenzio hujui wewe kesho utakuwa wapi
Uliwahi kuiona akili kichwani mwako?Uliwahi kukutana na Mungu?
Ndio, wewe yako hujaiona?Uliwahi kuiona akili kichwani mwako?
Nyerere si Mtakatifu, kahalalisha kuiba kura Zanzibar miaka kibao. Tangu enzi za Idris Abdul Wakil.
Utakatifu wenyewe si mtakatifu.Ila Tundu Lisu ndiyo Mtakatifu?
Bora ya mnyama kuliko kafiri (mtu asie amini Mungu).Ndio, wewe yako hujaiona?
Kawatia utumwani wa Zanzibari, leo wanatawaliwa na Tanganyika.Nyerere si Mtakatifu, kahalalisha kuiba kura Zanzibar miaka kibao. Tangu enzi za Idris Abdul Wakil.
Ok.Bora ya mnyama kuliko kafiri (mtu asie amini Mungu).
Kweli hoja. Za CDM. Labda ungesema kwanza kama mkataba huo ilikuwa unatunyonya au hautunyonyi. Na kama unatunyonya huoni uzalendo. Ona Chembe inayopandw watanzania msidanganyike. Yeyote anayetaka Tz iendelee lazima akubali kupambana na mabepari ambao hao wanamsifia Lisuu Leo. Jiulize atawalipa nini. Wtz kama wewe mko so stupid mnadakia tu mambo juu. Nyumba atauza Yeye tu mwenyewe kama Waziri .je Lissu Alipokuja Lowassa upande Wa Pili amefanya nini si kumsifia. Ndo binadamu hao. Heri JPM anaonekana na nia njema na uzalendo. Haya Mapito tu. Afu fanya Kazi. Siasa za kila wakati Afu unataka Maendeleo. Maendeleo yako kwako mwenyewe Lima acha kupiga Majungu
Ndio ni tapeli zaidi
..kwani uwongo.
..uuzaji wa nyumba za serikali kifisadi hasara yake ni kiasi gani?
..na aliyeuza nyumba zile na uhalali gani wa kuwalaumu waliobinafsisha viwanda.
..mikataba ktk sekta ya ujenzi wa barabara nayo utasema ilikuwa inatunyonya? Si tulikwenda mahakamani tukashindwa kesi na rufani tulishindwa pia? Sasa huo si uthibitisho kwamba kuna mtu alikurupuka na anastahili lawama na kuwajibika?
..hakuna bepari anayemsifia TL. Acheni kuchafua watu. Wakati TL ameanza harakati miaka ya 90 wakati huo hawa wazalendo makinikia walikuwa wakilinda vibarua vyao na kuunga mkono kila aina ya ufisadi nchi hii.
..Lowassa kama ni fisadi mpelekeni ktk mahakama iliyoanzishwa. Kwanini mnamuogopa? Inawezekana mlikula naye ndiyo maana mnapata kigugumizi kumshtaki.
Nani, Rais wa wakati huo? Wengine mnawaonea tu..Ki ukweli kabisa!!..hapana.
..tapeli namba moja ni yule aliyeuza nyumba za serikali kwa bei ya kifisadi.
Hii dhambi yake ya kumuongelea Nyerere kwa namna ya character assassination haiwezi kumwacha salama. Kila mtu Ana udhaifu kama binadamu but kumkashifu Nyerere kwa ajili ya kujustify hoja zake, ni wazi utakuwa hauna sifa ya uongozi na hata chembe ya kujisifia taifa lako.Tundu Lissu ni smart lawyer na very good mwanaharakati but he is a lousy politician....huwezi mtukana Nyerere na isi ku cost
Je Lisu alikuwa sahihi kwa maneno yake hapo juu?
Nani, Rais wa wakati huo? Wengine mnawaonea tu..Ki ukweli kabisa!!