Tundu Lissu: Mwl. Nyerere alizoea kuishi kwa uongo na udanganyifu

Tundu Lissu: Mwl. Nyerere alizoea kuishi kwa uongo na udanganyifu

Nyerere si Mtakatifu, kahalalisha kuiba kura Zanzibar miaka kibao. Tangu enzi za Idris Abdul Wakil.
 
Kweli hoja. Za CDM. Labda ungesema kwanza kama mkataba huo ilikuwa unatunyonya au hautunyonyi. Na kama unatunyonya huoni uzalendo. Ona Chembe inayopandw watanzania msidanganyike. Yeyote anayetaka Tz iendelee lazima akubali kupambana na mabepari ambao hao wanamsifia Lisuu Leo. Jiulize atawalipa nini. Wtz kama wewe mko so stupid mnadakia tu mambo juu. Nyumba atauza Yeye tu mwenyewe kama Waziri .je Lissu Alipokuja Lowassa upande Wa Pili amefanya nini si kumsifia. Ndo binadamu hao. Heri JPM anaonekana na nia njema na uzalendo. Haya Mapito tu. Afu fanya Kazi. Siasa za kila wakati Afu unataka Maendeleo. Maendeleo yako kwako mwenyewe Lima acha kupiga Majungu

..kwani uwongo.

..uuzaji wa nyumba za serikali kifisadi hasara yake ni kiasi gani?

..na aliyeuza nyumba zile na uhalali gani wa kuwalaumu waliobinafsisha viwanda.

..mikataba ktk sekta ya ujenzi wa barabara nayo utasema ilikuwa inatunyonya? Si tulikwenda mahakamani tukashindwa kesi na rufani tulishindwa pia? Sasa huo si uthibitisho kwamba kuna mtu alikurupuka na anastahili lawama na kuwajibika?

..hakuna bepari anayemsifia TL. Acheni kuchafua watu. Wakati TL ameanza harakati miaka ya 90 wakati huo hawa wazalendo makinikia walikuwa wakilinda vibarua vyao na kuunga mkono kila aina ya ufisadi nchi hii.

..Lowassa kama ni fisadi mpelekeni ktk mahakama iliyoanzishwa. Kwanini mnamuogopa? Inawezekana mlikula naye ndiyo maana mnapata kigugumizi kumshtaki.
 
Hv nyinyi mnaochukia upinzani hamjui umuhmu wa upinzani? Au na nyinyi ni mabashite
 
..kwani uwongo.

..uuzaji wa nyumba za serikali kifisadi hasara yake ni kiasi gani?

..na aliyeuza nyumba zile na uhalali gani wa kuwalaumu waliobinafsisha viwanda.

..mikataba ktk sekta ya ujenzi wa barabara nayo utasema ilikuwa inatunyonya? Si tulikwenda mahakamani tukashindwa kesi na rufani tulishindwa pia? Sasa huo si uthibitisho kwamba kuna mtu alikurupuka na anastahili lawama na kuwajibika?

..hakuna bepari anayemsifia TL. Acheni kuchafua watu. Wakati TL ameanza harakati miaka ya 90 wakati huo hawa wazalendo makinikia walikuwa wakilinda vibarua vyao na kuunga mkono kila aina ya ufisadi nchi hii.

..Lowassa kama ni fisadi mpelekeni ktk mahakama iliyoanzishwa. Kwanini mnamuogopa? Inawezekana mlikula naye ndiyo maana mnapata kigugumizi kumshtaki.

Je Lisu alikuwa sahihi kwa maneno yake hapo juu?
 
Tundu Lissu ni smart lawyer na very good mwanaharakati but he is a lousy politician....huwezi mtukana Nyerere na isi ku cost
Hii dhambi yake ya kumuongelea Nyerere kwa namna ya character assassination haiwezi kumwacha salama. Kila mtu Ana udhaifu kama binadamu but kumkashifu Nyerere kwa ajili ya kujustify hoja zake, ni wazi utakuwa hauna sifa ya uongozi na hata chembe ya kujisifia taifa lako.
 
Je Lisu alikuwa sahihi kwa maneno yake hapo juu?

..TL alikuwa na hoja.

..Mwalimu alituburuza ktk suala zima la muungano.

..pamoja na hayo TL alikosea kutumia maneno yenye ukakasi dhidi ya Mwalimu Nyerere.
 
Nawashauri msimpandikizie maneno mgonjwa mwacheni aendelee kupigania hali yake
 
Back
Top Bottom