Tundu Lissu: Mwl. Nyerere alizoea kuishi kwa uongo na udanganyifu

Tundu Lissu: Mwl. Nyerere alizoea kuishi kwa uongo na udanganyifu

Eti wengine wanasema Nyerere was unique and very very very special human being....

Lakini ukicheki alikuwa na kichwa kama changu, macho mawili, miguu miwili nk nk

Mimi naamini jambo moja juu ya hawa watu wawili (Tundu na Nyerere)....

Kwamba, wote hawa wawili wanafanana kwa kitu kimoja ama viwili.

Husimamia vyema wanaloamini, hawana woga....!!

Naamini kabisa huko aliko, anampigia makofi Ndugu Tundu Lissu kwa kuusema udhaifu wake (Nyerere) bila kupepesa mdomo ama macho!!
 
Kati ya vitu vya kipuuzi na havijawahi kumwacha mtu bila laana ni kumsema Nyerere vibaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tundu Lissu hata dumu sana kwenye uwanja wa siasa najaribu kumfuatilia naona hana mwelekeo mpaka leo nikijaribu kujibu swali la Lissu anasimamia nini falsafa yake kwenye suala la Siasa (political philosophy) haswa nini ni ipi sina jibu labda mwenye jibu atuambie. Haitoshi kusema utawala wa sheria tu. Hakuna aliyesema Mwalimu hakuwa na makossa hapa na pale!!! Mpaka mara ya mwisho naangalia ushahidi wa alikuwa kiumbe gani, nimeona Mwalimu Nyerere alikuwa Binadamu kama sisi wengine na wala si malaika au jinni, kwa hiyo kufanya makossa ndio hulka yetu. Lakini utakuwa mwongo ilie bobea kusema hakufanya mengi na kuwa alikuwa binadamu mwenye uwezo mkubwa sana kiakili na alibarikiwa uadilifu ambao hata maadui zake wana shindwa kuukata ( maadui wenye umakini). Kazi aliyoifanya Mwalimu sio tu kwa Tanzania bali hata kwa Afrika na nchi nyingine za dunia ya 3 ni kubwa sana na wala haina ubishi kabisa (labda kwa wale wapayukaji). Si dhambi kumkosoa Mwalimu na hata yeye alikuwa wa kwanza kujikosoa na ndio maana aling'atuka Mwalimu ingawa bado tulikuwa tunamuhitaji na kumpenda.
Sasa leo sidhani kama Bwana Lissu kwa kubeza juhudi na kazi nzuri ya Mwalimu atadumu kwenye uwanja wa siasa, tuombe uzima tutashuhudia hili.
 
Back
Top Bottom