jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 36,197
- 29,717
Hivi BBC kwa nini hawakumuhoji?Tundu Lissu ni smart lawyer na very good mwanaharakati but he is a lousy politician....huwezi mtukana Nyerere na isi ku cost
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi BBC kwa nini hawakumuhoji?Tundu Lissu ni smart lawyer na very good mwanaharakati but he is a lousy politician....huwezi mtukana Nyerere na isi ku cost
Huyo MTU alifanikiwa kudhibiti Uhuru wa watu,habari,aliuwa vyama vingi thus yakafanikiwa kuandika mazuri tu na kuficha upande wa wake wa pili, akiwa kama mwanadamu alikuwa na makosa mengi sana yaliyogharimu maisha ya wengine pia,Hivi BBC kwa nini hawakumuhoji?
Ndio imani yako?Huyo MTU alifanikiwa kudhibiti Uhuru wa watu,habari,aliuwa vyama vingi thus yakafanikiwa kuandika mazuri tu na kuficha upande wa wake wa pili, akiwa kama mwanadamu alikuwa na makosa mengi sana yaliyogharimu maisha ya wengine pia,
Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi wakongwe tulishatoka nje ya box na kurudi ndani
Kama ulikuwepo!Tundu Lissu ni smart lawyer na very good mwanaharakati but he is a lousy politician....huwezi mtukana Nyerere na isi ku cost
Mabaya yake aliomba yasichukuliwe wala kuzungumziwa kabisa. Tuchukue yale mazuri tu.Mwenyewe uwa na shangaa Nyerere ana mazuri tu mabaya hana
Kati ya vitu vya kipuuzi na havijawahi kumwacha mtu bila laana ni kumsema Nyerere vibayaEti wengine wanasema Nyerere was unique and very very very special human being....
Lakini ukicheki alikuwa na kichwa kama changu, macho mawili, miguu miwili nk nk
Mimi naamini jambo moja juu ya hawa watu wawili (Tundu na Nyerere)....
Kwamba, wote hawa wawili wanafanana kwa kitu kimoja ama viwili.
Husimamia vyema wanaloamini, hawana woga....!!
Naamini kabisa huko aliko, anampigia makofi Ndugu Tundu Lissu kwa kuusema udhaifu wake (Nyerere) bila kupepesa mdomo ama macho!!
alimtukana nyerere,Kikwete na sasa magufuliLissu omba radhi. Kumtukana Nyerere ni kuwatukana watanzania
Hiyo ni laana ya mileleKati ya vitu vya kipuuzi na havijawahi kumwacha mtu bila laana ni kumsema Nyerere vibaya
Sent using Jamii Forums mobile app
Alidhibiti Uhuru wa habari yakaandikwa Mazuri tu,hakuwa na technology kama sasa,huyu anaweza dhibiti vyombo vya ndani,hawezi Google na vya njeMwenyewe uwa na shangaa Nyerere ana mazuri tu mabaya hana
Mabaya yake aliomba yasichukuliwe wala kuzungumziwa kabisa. Tuchukue yale mazuri tu.