Tundu Lissu: Mwl. Nyerere alizoea kuishi kwa uongo na udanganyifu

Tundu Lissu: Mwl. Nyerere alizoea kuishi kwa uongo na udanganyifu

Godmanhustler, Verry true, Huyu Lisu anatumiwa na watu wenye maelekezo toka nje ya nchi kuisambaratisha TZ, hafai kabisa! Halafu lilivyokua jinga linadhani ni sifa kuuponda na kuusambaratisha muungano, ile dhambi ya ubaguzi itaendelea kuwatafuna cdm.
mbaya zaidi lisu ameapa kuulinda muungano ambao ndo anauita haramu,unafiki wa hali ya juu sana huu.
 
Last edited by a moderator:
Lissu omba radhi. Kumtukana Nyerere ni kuwatukana watanzania

nyinyi Tanganyika sijuw nyerere aliwapa nini, Tundu Lissu ameweka kila kitu hadharan hadi reference zote bado muna matumaini nyerere alikuwa msafi basi chongeni masanamu yake mumuabudu baba yenu wa Taifa.,
 
Mimi huwa nadhani wanasheria ni watu wazuri sana katika uwanja wa siasa hasa ukiangalia kwa kutumia darubini katika siasa za nchi za magharibi utakuta kuwa, viongozi wengi wa nchi hizo ni wanasheria na wamefanikiwa/wanafanikiwa katika siasa zao.

Kama hoja yako ni kweli, kwa nini inakuwa tofauti kwa Mh. Tundu Lissu?.

Kwahiyo unataka watu wawe wanafikiri kama ilivyokuwa miaka 50 iliyopita? Watu siyo mawe we can reason, Nyerere alikuwepo kwa wakati wake na alifanya mambo kwa wakati wake na hakuwa static hata yeye alikuwa anabadilika sana tu kulingana na wakati, mstaki kutufanya watanzania tusiendelee mbele na kuboresha mambo yetu kwa kisingizio cha Nyerere, Nyerere siyo Hirizi. WanaCCM wanajenga hoja zao kwenye hati ya Muungano lakini hiyo hati haionekani sasa tunawezaje kukubali hoja zao wakati document muhimu ya Muungano haipo? Jitambue Ng'wamapalala
 
Last edited by a moderator:
siyo kweli umeamua kutuwekea maneno kwenye midomoni mwetu.

Kwa kukusaidia tu ufahamu waislam hawapo chini ya bakwata.

Bakwata iliundwa na nyerere kwa kazi maalum.

nyerere si amekufa,undeni ya kweni sasa.
 
Hotuba za Lissu zinahitaji uelewa wa hali ya juu kama ni mtu uliyelishwa sumu ya ccm kichwa kikajaa mi.kojo ya kina.na si rahisi kuelewa.
 
Watanzania kama kweli tunataka kutoka hapa tulipo,tujifunze mazoea ya kueleza,kusema na kusikiliza ukweli!Tuache tabia ya kuuita ukweli eti ni MATUSI.Mh.Lissu ameeleza kile kilichofanywa na wale tulio waamini na amewapa majina au sifa stahili kwa kile walichokisema kwa mdomo au maandishi.Inastajabisha watu kwa juhudi kubwa wanataka kupotosha eti Mh.Lissu amewatusi waheshimiwa hao!Ningefarijika sana hao wanao msakama Lissu wangekuja na ushahidi na kumkosoa kuwa asemacho ni uongo.Watu wa aina hii wanao itaukweli ni matusi ni haohao wanatuharibia lugha yetu adhimu Kiswahili,hata watu wasite kukitumia katika elimu ya juu.Kwa kuamini kiswahili kina pindua mada!



Hao wanaogeuza ukweli eti ni matusi wama mapepo,tuwaombee!
 
Tundu Lissu ni smart lawyer na very good mwanaharakati but he is a lousy politician....huwezi mtukana Nyerere na isi ku cost

In the rudimentary annals of political science, there is political expediency and principled stance. This post of yours, inherently, is the classic - if perhaps not entirely conscious- juxtaposition of the politics of convenience versus the politics of conviction.

You seem to put a higher premium on the politics of convenience than the politics of conviction.

Political expediency, at least to me, ranks lower in merit than a principled stance and the pursuit for a semblance of truth. For this reason, following the given context, any cost that Tundu Lissu will incur due to a genuine pursuit - if genuine indeed it is- will be honorable and exalted in my books.

The devil is in the details.

We need a paradigm shift that will humanize Nyerere and examine him critically beyond the calcified lionization of a common folklore.

To me, Nyerere remains a statesman to be afforded the benefit of doubt beyond most Tanzanian leaders, there are valid utilitarian cases to be made to justify his somewhat tyrannical shades. An apologist could almost always resort to the now cliche-like justification for any shortcomings on the human rights front for example, by countering that the man was stitching together a nation out of more than 120 tribes, a Herculean task given the artificiality of the colonial borders.

But to what extent were these perceived abuses of power far and beyond any noble -if dirty- duty?

If Nyerere needed to break a few eggs in order to make an omelette, where is that omelette? Please spare me the "muungano" and "peace and harmony" talk, as that is a given, given our history.

Or is it?

To what extent was Nyerere morally justified in invoking his legal rights to the despicable "indefinite detention" laws in the name of the behemoth monstrosity that is "national security"?

How much of this was a ruse to sustain undemocratic rule and Draconian oppression?

Tundu Lissu is certainly not the most polished lawyer with the gift of suave savoir faire, nevertheless he gives me hope that there is room for discourse in Tanzania, crucial discourse that will leave no sacred cow untouched. Nyerere was surely grappling his way in the dark, charting uncharted waters. Take the Union apart and you will see a unique Frankenstein, the world over. It is inconceivable that he would have emerged from this largely experimental process unscathed by scandal and blame.

To this day, one of my most damning disappointments from Nyerere is the way he helped flip the Zanzibar election. For a Fabian socialist, self professed principled statesman, staunch Catholic and dubious democrat, this contradicted some core principles that calls to question all of his elections, if not the outcome, at least the margin.

Again, the devil is in the details.

We need some sort of "Freedom of Information" act to declassify the Nyerere Ikulu archives, make them public, at least on a need to know basis for Tanzanians, and dig for a comprehensive look at the man versus the legend.

Mr. Lissu, as an abled and passionate parliamentarian, is the natural choice to champion this move.

Cc: EMT Anheuser Udadisi
 
Last edited by a moderator:
Mfuatilie FaizaFoxy na Mohamed Said role models wako utajua maana yake. Ukishafuzu kwa hao, nenda kwa Ponda upate daraja ya juu zaidi.
huyo Daniel chongolo unayejibishana naye hana hoja, unapoteza mda wako bure
 
Wanaodai Tanganyika wote ni Vilaza na wana IQ ndogo, kwa maana kuna mambo muhimu zaidi ya kudai na kupigania TZ kuliko hili la Zanzibar, kama Gesi yetu, Madini yetu, Utalii wetu, Elimu yetu n.k
 
kitendo cha tundu lisu kumtukana nyerere kimewasikitisha sana dr.slaa na mbowe

hahahaha akili ya lumumba ----- tuuu.....kamtukanaje nyerere....hv ukweli ndan ya ccm ni matusi???? critize his argument na sio ujinga
 
Ona sasa, wakati wa Sheikh Hemed Bin Jumaa Bin Hemed Bakwata yake ilikuwa sio iliyoundwa na Nyerere, au hamkujua kuwa waislam wote hawako chini ya Bakwata hadi mtu wa Shinyanga alipochaguliwa kwa haki kuiongoza?

Bibi yako Faiza Foxy ndio ameenda mbali zaidi kwa kuweka dharau kuwa Mh Sitta hajakutana na kiongozi wa Waislam, anadai Sitta alikutana na Pengo peke yake, kukutana na Sheikh Simba ni sawa na kutokutana na mtu. Acheni dharau zenu nyie watu wa pwani. Ni sawa na mzee wenu mwingine Mohamed Said anayedai kuwa uhuru wa Tanganyika uliletwa na kikundi fulani cha ma Alwatan wa pale Kariakoo,,, watu wa pwani mnajiskia sana nyie...
Inaelekea kuwa ufuatiliaji wako wa BAKWATA umeanza wakati wa Mufti Simba.

Lau kama ungekuwa unaifuatilia kwa makini BAKWATA chini ya Mufti Hemed bin Jumaa basi ungegundua kuwa wakati wa uchomwaji moto Quran kule kanda ya ziwa Waislamu wa Tanga (kwao Mufti Hemed bin Jumaa) walimjia juu pamoja na kujitenga na kauli na vitendo vya Sheikh Mkuu dhidi ya Waislamu wa kanda ya ziwa

Mambo ya kibaguzi ninayaona kwa Wakatoliki dhidi ya Waprotestants kama ningeyemwaga hapa ungebaki mdomo wazi.
 
mwalimu na yeye kuna sehemu alikuwa anakosea lakini mazuri ni mengi aliyo yafanya tuyaheshimu, na pia tuyafanyie kazi, siyo tukazanie swala moja alipoteleza, lakini pia tukumbuke hoja za akina Machiavelli,kuwa kiongozi lazima awe cruel kwa baadhi ya mambo ambayo ni mhimu sana kwa usitawi na mustakabili wa taifa, kwa wakati wa mwalimu muungano wa serikali mbili ulikuwa ni mhimu sana hasa kwa swala zima la usalama, ikizingatiwa miaka ya 1970 na 1980, alikuwa anazisaidia baadhi ya nchi za africa kujikomboa hivyo basi zanzibar ilikuwa ni mhimu sana tena sana, lakini kwa sasa hatuna budi kuamua kulingana na wananchi wanataka nini.
 
Wanaodai Tanganyika wote ni Vilaza na wana IQ ndogo, kwa maana kuna mambo muhimu zaidi ya kudai na kupigania TZ kuliko hili la Zanzibar, kama Gesi yetu, Madini yetu, Utalii wetu, Elimu yetu n.k

kilaza ni wewe ambaye huwez kulinganisha kati ya matatizo tuliyonayo na structure ya kiuongoz tulionayo.........zero kabisa wewweee
 
Lisu ni mtu wa uthubutu sana. Mnakumbuka alivowapasukia wazenj? Wengi waliogopa na kumshangaa sana. Sasa wanamuelewa. Na hili mtamuelewa tu with time!
 
pinga kwa hoja tundu lissu ametoa hoja na vielelezo
wala ajamtukana mwalimu Nyerere
hivi mnajua mpaka leo USA ukienda ikulu yao kuna nakala halisi ya muungano wao
hilo mnalijua iweje Tanzania nakala isijulikane iko wapi?
jibu kwa hoja na toa ushahidi wacha bendera yafuata upepo
mimi ni muumini wa muungano wa serikali 1 huo ndio msimamo wangu ila wanapokuja watu wanasema serikali 2 tunawasikiliza kwa hoja zao sio kukurupuka eti flani ametukanwa
 
Lisu amejenga hoja ambayo hata mimi siwezi kuupinga, ila ukweli utabaki palepale, kila mwanasiasa ni muuaji, muongo, mnafiki, fedhuli na mbinafsi. Utofauti ni kuwa inategemea vyote hivo anavifanya kwa maslahi ya nani. Leo hii huwezi kumtukana hitler ukiwa ujerumani kwani to them he was a statesman. Je, ni kiongoz gani wa nchi asiyeua wala kudanganya? Kama hta lisu aliapa kuilinda katiba ya muungano huku akijua si halali je naye si mnafiki vilevile? Tusijifanye tunashabikia baada ya mtu fulani kusema, huo ni unafiki na uoga tena ni ujinga na na umbwa koko. Nani asiyejua kama viongoz weng walipigwa exile wakat wa mwal? Nani asiyejua idadi ya waliokufa porini katika vijiji vya ujamaa? Nani asojua kuwa mwal alikuwa dictator? Au lisu ndo kawafumbua leo? Muwe watu wa kufikiria kabla ya kushabikia hasa ujinga. Au hamjui kuwa nyerere alijua waz kuwa muungano siku moja utakufa? Alijua sana lakn angalau kwa sababu za msingi kwa wakat huo aliweza kuupigania kwa hali na mali lakn sasa ni jukumu letu kuona kama muungano unatufaa au la. Pia ieleweke kuwa mwisho wa muungano hta zanzibar haitaitwa ivo Tena kwani unguja na pemba ni paka na panya, Narudi maneno ya mwal. "Nje ya muungano hakuna zanzibar ila unguja na pemba''. Nyerere alikosea kama binadam wengine lakn leo hii kutumia makosa ya baba kuhalalisha ujinga ni ujinga mara mbili. Hoja ni je, muungano unamashiko kwa hizi nchi mbili au la, maswala ya uhalali hayana mashiko kwani miaka hamsini inatosha kuthibitisha hili. Kweli muuaji huua hta kizazi chake.
 
Hawa wanasiasa waachane na Mwalimu Nyerere,kama katiba mpya imewashinda si wauvunje huu muungano,kila kitu Nyerere!ina maana Nyerere ndo pekee aliupenda muungano?waache siasa za kinafiki,hakuna mtakatifu kuliko Nyerere.

Waambie ccm wakubali rasmu ya katiba serikali 3 . Ili kulinda heshima NYERERE .ccm ndio inapelekea sasa hivi .kudhalilisha heshima ya Baba wa Taifa letu Tukufu .
 
Back
Top Bottom