Tundu Lissu: Mwl. Nyerere alizoea kuishi kwa uongo na udanganyifu

Sikutegemea kwa mtu mzima Kama lisu kumtusi muasisi Wa taifa. Alitakiwa kujenga hoja,na kwa njia ta matusi. Tumesononeka sana sisi watanzania,kauli ya mtusi mwalimu haivumiliki. Ningekuwa mimi ndio mkono Wa dola, ningechukua hatua mathubuti. Si kila kitu kazima useme, pima tumia hâta busara ya kawaida. Tunamheshimu mwl na bado tunampenda. Amani unayoiona si kwa bahati mbaya. Karibu kujizuia kwa baadhi ya mambo. Huwezi hâta kidogo wewe lisu kujilinganisha na mwl. Linda heshima yako na chama chako. Kila kona wanasema umekosea. KAzi njema.

Ondoka na ufike salama na shetani anayekuongoza akufikishe jehanamu.
 
Sikutegemea kwa mtu mzima Kama lisu kumtusi muasisi Wa taifa. Alitakiwa kujenga hoja,na kwa njia ta matusi. Tumesononeka sana sisi watanzania,kauli ya mtusi mwalimu haivumiliki. Ningekuwa mimi ndio mkono Wa dola, ningechukua hatua mathubuti. Si kila kitu kazima useme, pima tumia hâta busara ya kawaida. Tunamheshimu mwl na bado tunampenda. Amani unayoiona si kwa bahati mbaya. Karibu kujizuia kwa baadhi ya mambo. Huwezi hâta kidogo wewe lisu kujilinganisha na mwl. Linda heshima yako na chama chako. Kila kona wanasema umekosea. KAzi njema.

Tatizo unataka kuishi kama waganga wa kienyegi. Mzizi ule ule wa 1800 mpaka leo, hakuna maboresho. Nyerere alikuwa mpigania uhuru siyo mjenga demokrasia. Inabidi MaCCM waambiwe ukweli ili waondokane na fikra mgando za kutafuta uhuru na kujilinda na vita baridi iliyopelekea muungano feki. Ili watambue kuwa karne hi tunatafuta demokrasia na haki ya kujitawala wenyewe. Na wewe badilika. Mawazo ya nyerere kwa leo ni upuuzi kwani katiba ya sasa ina malengo tofauti na kipindi cha Mwalimu.
 
Hata mimi nakuunga mkono. Achana na Nyerere. Kiongozi mwenye uchungu na nchi hii. Tundu lisu katufanyia nini? Takataka
 
Nimeshangazwa na mwanasiasa kijana mwenye taaluma ya uchumi Mwigulu Nchemba kutamka kuwa kuendesha serikali ya Shirikisho ni gharama kwa kuwa itatugharimu Shilingi Trilioni Tatu.Sasa kwa mujibu wa utafiti uliifanywa na wasomi katika mchango wao kwenye mjadala wa Kigoda cha Mwalimu Nyerere walisema Tanzania hupoteza Takribani Trilioni 2.5 kila mwaka kutokana na uzembe wa kutokukusanya Kodi.Mwigulu Nchemba ni Naibu waziri wa Fedha.Anakwepa wajibu hapa.

Ndugu Zitto Kabwe,Mwanasiasa kijana mwenye Taaluma ya Uchumi alipokua kwenye Mkutano wa Hadhara kule Shelui alisema Serikali hupoteza takribani Shilingi Trilioni 1.5 kwenye sekta ya Madini pekee kwa Mwaka.

Tunaacha kutumia raslimali zetu lakini tunatafuta balaa la kisiasa kwa kutosikiliza matakwa ya wananchi.Tunatafuta political crisis kwa nguvu

Kama serikali Tatu ni gharama ,kwanini iwe serikali mbili na sio serikali Moja ?

Nanyi wabunge wa bunge la katiba jitahidini kuwajibu watu kama hawa instantly kwa Takwimu na Facts.Ndio dawa yao tu

Kuna hoja iliyonishangaza leo,Eti Kanisa Catholic linataka kumfanya Mwalimu Nyerere kuwa Mtakatifu kwa hiyo hastahili kukosolewa?

Yaani haistahili kusema ukweli kuwa Mwalimu Nyerere ali-issue Presidential Decree(Amri ya Rais) ili kuiua Tanganyika?Kwa kawaida Presidential Decree huwa issued na Madikteta na Wafalme.Mwalimu Nyerere alishawahi kukiri kufanya makosa.Wapo baadhi ambao hawataki kujadili kwa uwazi kwa kuhofia kumdhalilisha mwasisi.Hizi ni fikra finyu zinazoendeleza uimla.

Mimi ni Mkatoliki lakini sikubaliani hata kidogo na watu wanaotumia mchakato wa kanisa kumtangaza Mwl.Nyerere kuwa Mtakatifu kama chambo katika suala la kisiasa au suala hili la katiba.

Leo wacha niseme.Tusikubali viongozi wa Dini kutuburuza kimawazo kuhusu suala hili la katiba maana baadhi yao waliwahi kutuambia baadhi ya wagombea Urais ni machaguo ya Mungu kutokana na mitizamo yao binafsi na maslahi yao yasiyokua ya kiroho(Spiritual)

Adolf Hitler alisaidiwa na Askofu Pacelli Kuingia Madarakani kabla hajawa papa.

Mauaji ya Chama cha NAZI dhidi ya Wayahudi Papa Pius Aliyakalia kimya.Adolf Hitla na Pacelli kabla hajawa Papa walikua na Mkataba(Concordat) ambao baadae waliliunganisha kanisa na kujenga uhusiano kati ya Vatican na Serikali ya Kijerumani.

Ukisoma Kitabu cha John Cornwell chenye Title 'Hitlers Pope" Utaona kwanini nasema haya

Kuna kitabu kingine 'Hitler,War and the Pope'

Sasa tujitahidi kujisomea ,tusikubali kuyumbishwa na Baadhi ya Viongozi wa Dini na mambo yao binafsi kwa maslahi binafsi

Nimethubutu kusema .

Ninashangazwa sana na jitihada za kuburuzana na wengine kushawishi kutukuza na kutakasa udikteta kuwa utakatifu.Leo watu wanathubutu kusimama na kusema sauti ya wengi ni sauti ya Mungu wakati huo huo Mtu/watu waliozuia sauti za wengi kwa zaidi ya Miaka 20 wanatakaswa.Watu waliokuta vyama vya upinzani na majukwaa ya kupaza sauti na maoni mbadala kisha akayavunja na kufuta vyama vya upinzani kama wafanyavyo madikteta wengi anaitwa Mtakatifu.

Sitawahi kushawishika kufuata misingi ya kutukuza wanaominya sauti za watu

Itoshe tu kusema kiongozi fulani alikua kiongozi mzuri kulinganisha na Madikteta wengine kama Akina Idd Amin .Basi ,Inatosha.

Mwalimu Nyerere Kuwa Baba wa Taifa ndio heshima inayostahili .Mahali alikofanya Makosa tutasema na kupendrkeza marekebisho na sio kutishana kwa kutangaziana Utakatifu ili tushindwe kukosoa na kurekebisha makosa.

Pitia kitabu Kilichoandikwa na S Mwijage 'The Dark Side of Julius Nyerere' Kilipigwa Marufuku.

Soma kitabu kingine ''Julius Nyerere :The Servant of God or Untarnished Tyrant''.Tusitishane ,tusizoeshane unafiki.Call spade a spade not a big spoon.Sasa nilivisoma na wanikamate kama watavifuta kichwanj mwangu na nahamasisha wengine wavisome soft copy.walisahau kuwa hii ni digital.Unapiga marufuku hard Copy huna uwezo wa kuzuia Soft Copy.

Jambo jingine Muhimu kuweka Kumbukumbu sawa mimi sio miongoni mwa watu wa Kilimanjaro ambao Mzee Agustine Lyatonga Mrema anadai walimtuma kuwa wanataka serikali 2.Yeye sio Msemaji wa Wachaga wala watu wa Kilimanjaro.He should speak for himself.

Wazee wanafiki kama hawa tukiwajibu ipasavyo wanaishia kutishia kutoa laana ovyo ovyo kwa mambo waliojitakia wenyewe.Wajiheshimu

Sitatoa majibu kama ya wale wahuni wa UVCCM waliodai Mzee Warioba atakufa kesho.Huko ni Kuingilia kazi ya Mungu. Tuheshimiane katika mijadala hii na tuache unafiki.Tunaitaka Tanganyika na tuna hoja nzito.Amri ya Kidikteta ya mwaka 1964 haiwezi kutuburuza watanganyika Wote na kuandika historia kwa misingi ya mawazo ya kiimla ya Mtu mmoja.Mimi sitakua mmojawapo.Tanganyika iuawe kwa maoni ya Watu wa Tanganyika na sio Uimla wa mtu mmoja.
Maneno mengi bila faida yeyote, Lissu amehara halafu nyie mnatumwa kuja kusafisha choo, nenda kwa boss wako umwambie aombe radhi kwa niaba ya kichaa wenu.
 
Hata mimi nakuunga mkono. Achana na Nyerere. Kiongozi mwenye uchungu na nchi hii. Tundu lisu katufanyia nini? Takataka

lisu kasababisha walau hiyo inayoitwa hati ya muungano kutolewa hadharani,vp ulishawah oneshwa?.
 
Sikutegemea kwa mtu mzima Kama lisu kumtusi muasisi Wa taifa. Alitakiwa kujenga hoja,na kwa njia ta matusi. Tumesononeka sana sisi watanzania,kauli ya mtusi mwalimu haivumiliki. Ningekuwa mimi ndio mkono Wa dola, ningechukua hatua mathubuti. Si kila kitu kazima useme, pima tumia hâta busara ya kawaida. Tunamheshimu mwl na bado tunampenda. Amani unayoiona si kwa bahati mbaya. Karibu kujizuia kwa baadhi ya mambo. Huwezi hâta kidogo wewe lisu kujilinganisha na mwl. Linda heshima yako na chama chako. Kila kona wanasema umekosea. KAzi njema.

Acha uongo. Kama kweli ulishawahi kuwa CDM attach kopi ya kadi yako ya CDM na kama kweli umehama CDM weka kopi ya kadi yako ya chama kipya ulichohamia.
ni hayo tu mkuu.
 
kwa watu waliosoma saikolijia au
ile saikolojia ya
kuzaliwa...ukimtazama Lissu kwa
umakini usoni tu utaona ana tatizo
kubwa sana kwenye akili...sijajua
ni ugonjwa gani.

dr.kingunge anaweza kuwa na jibu wasiliana nae.
 
chogomzingwi Haya hiyo hati imeongeza au kupunguza nini? By the way sikuwa nna shida nayo. Naamini muungano Upo sikuhitaji hati. Kama nnavyoamini kuwa baba na mama yangu ni Mke na mume. Sihitaji cheti Chao cha ndoa.
 
Last edited by a moderator:
Acha ipimbi ni lin uliwahi kuwa CHADEMA??? Unafikiri ukibadili ID hatuta kutambua??? Kwenda na unafiki wako kimada wa ccm mkubwa.

huu hauwezi kuwa uchangiaji wa mtu makini.,

Nisema tayari, ninasema tena Lazima tujifunze staha na kuvumiliana,. Matusi haya jengi nchi!
 
Sikutegemea kwa mtu mzima Kama lisu kumtusi muasisi Wa taifa. Alitakiwa kujenga hoja,na kwa njia ta matusi. Tumesononeka sana sisi watanzania,kauli ya mtusi mwalimu haivumiliki. Ningekuwa mimi ndio mkono Wa dola, ningechukua hatua mathubuti. Si kila kitu kazima useme, pima tumia hâta busara ya kawaida. Tunamheshimu mwl na bado tunampenda. Amani unayoiona si kwa bahati mbaya. Karibu kujizuia kwa baadhi ya mambo. Huwezi hâta kidogo wewe lisu kujilinganisha na mwl. Linda heshima yako na chama chako. Kila kona wanasema umekosea. KAzi njema.

Ondoka hatukuhitaji ulikua ukitafuta sababu umeipata kwaheri.
 
Nimeshangazwa na mwanasiasa kijana mwenye taaluma ya uchumi Mwigulu Nchemba kutamka kuwa kuendesha serikali ya Shirikisho ni gharama kwa kuwa itatugharimu Shilingi Trilioni Tatu.Sasa kwa mujibu wa utafiti uliifanywa na wasomi katika mchango wao kwenye mjadala wa Kigoda cha Mwalimu Nyerere walisema Tanzania hupoteza Takribani Trilioni 2.5 kila mwaka kutokana na uzembe wa kutokukusanya Kodi.Mwigulu Nchemba ni Naibu waziri wa Fedha.Anakwepa wajibu hapa.

Ndugu Zitto Kabwe,Mwanasiasa kijana mwenye Taaluma ya Uchumi alipokua kwenye Mkutano wa Hadhara kule Shelui alisema Serikali hupoteza takribani Shilingi Trilioni 1.5 kwenye sekta ya Madini pekee kwa Mwaka.

Tunaacha kutumia raslimali zetu lakini tunatafuta balaa la kisiasa kwa kutosikiliza matakwa ya wananchi.Tunatafuta political crisis kwa nguvu

Kama serikali Tatu ni gharama ,kwanini iwe serikali mbili na sio serikali Moja ?

Nanyi wabunge wa bunge la katiba jitahidini kuwajibu watu kama hawa instantly kwa Takwimu na Facts.Ndio dawa yao tu

Kuna hoja iliyonishangaza leo,Eti Kanisa Catholic linataka kumfanya Mwalimu Nyerere kuwa Mtakatifu kwa hiyo hastahili kukosolewa?

Yaani haistahili kusema ukweli kuwa Mwalimu Nyerere ali-issue Presidential Decree(Amri ya Rais) ili kuiua Tanganyika?Kwa kawaida Presidential Decree huwa issued na Madikteta na Wafalme.Mwalimu Nyerere alishawahi kukiri kufanya makosa.Wapo baadhi ambao hawataki kujadili kwa uwazi kwa kuhofia kumdhalilisha mwasisi.Hizi ni fikra finyu zinazoendeleza uimla.

Mimi ni Mkatoliki lakini sikubaliani hata kidogo na watu wanaotumia mchakato wa kanisa kumtangaza Mwl.Nyerere kuwa Mtakatifu kama chambo katika suala la kisiasa au suala hili la katiba.

Leo wacha niseme.Tusikubali viongozi wa Dini kutuburuza kimawazo kuhusu suala hili la katiba maana baadhi yao waliwahi kutuambia baadhi ya wagombea Urais ni machaguo ya Mungu kutokana na mitizamo yao binafsi na maslahi yao yasiyokua ya kiroho(Spiritual)

Adolf Hitler alisaidiwa na Askofu Pacelli Kuingia Madarakani kabla hajawa papa.

Mauaji ya Chama cha NAZI dhidi ya Wayahudi Papa Pius Aliyakalia kimya.Adolf Hitla na Pacelli kabla hajawa Papa walikua na Mkataba(Concordat) ambao baadae waliliunganisha kanisa na kujenga uhusiano kati ya Vatican na Serikali ya Kijerumani.

Ukisoma Kitabu cha John Cornwell chenye Title 'Hitlers Pope" Utaona kwanini nasema haya

Kuna kitabu kingine 'Hitler,War and the Pope'

Sasa tujitahidi kujisomea ,tusikubali kuyumbishwa na Baadhi ya Viongozi wa Dini na mambo yao binafsi kwa maslahi binafsi

Nimethubutu kusema .

Ninashangazwa sana na jitihada za kuburuzana na wengine kushawishi kutukuza na kutakasa udikteta kuwa utakatifu.Leo watu wanathubutu kusimama na kusema sauti ya wengi ni sauti ya Mungu wakati huo huo Mtu/watu waliozuia sauti za wengi kwa zaidi ya Miaka 20 wanatakaswa.Watu waliokuta vyama vya upinzani na majukwaa ya kupaza sauti na maoni mbadala kisha akayavunja na kufuta vyama vya upinzani kama wafanyavyo madikteta wengi anaitwa Mtakatifu.

Sitawahi kushawishika kufuata misingi ya kutukuza wanaominya sauti za watu

Itoshe tu kusema kiongozi fulani alikua kiongozi mzuri kulinganisha na Madikteta wengine kama Akina Idd Amin .Basi ,Inatosha.

Mwalimu Nyerere Kuwa Baba wa Taifa ndio heshima inayostahili .Mahali alikofanya Makosa tutasema na kupendrkeza marekebisho na sio kutishana kwa kutangaziana Utakatifu ili tushindwe kukosoa na kurekebisha makosa.

Pitia kitabu Kilichoandikwa na S Mwijage 'The Dark Side of Julius Nyerere' Kilipigwa Marufuku.

Soma kitabu kingine ''Julius Nyerere :The Servant of God or Untarnished Tyrant''.Tusitishane ,tusizoeshane unafiki.Call spade a spade not a big spoon.Sasa nilivisoma na wanikamate kama watavifuta kichwanj mwangu na nahamasisha wengine wavisome soft copy.walisahau kuwa hii ni digital.Unapiga marufuku hard Copy huna uwezo wa kuzuia Soft Copy.

Jambo jingine Muhimu kuweka Kumbukumbu sawa mimi sio miongoni mwa watu wa Kilimanjaro ambao Mzee Agustine Lyatonga Mrema anadai walimtuma kuwa wanataka serikali 2.Yeye sio Msemaji wa Wachaga wala watu wa Kilimanjaro.He should speak for himself.

Wazee wanafiki kama hawa tukiwajibu ipasavyo wanaishia kutishia kutoa laana ovyo ovyo kwa mambo waliojitakia wenyewe.Wajiheshimu

Sitatoa majibu kama ya wale wahuni wa UVCCM waliodai Mzee Warioba atakufa kesho.Huko ni Kuingilia kazi ya Mungu. Tuheshimiane katika mijadala hii na tuache unafiki.Tunaitaka Tanganyika na tuna hoja nzito.Amri ya Kidikteta ya mwaka 1964 haiwezi kutuburuza watanganyika Wote na kuandika historia kwa misingi ya mawazo ya kiimla ya Mtu mmoja.Mimi sitakua mmojawapo.Tanganyika iuawe kwa maoni ya Watu wa Tanganyika na sio Uimla wa mtu mmoja.

Ndugu Saanane, Wewe na mimi na wengi humu ni Irrelevant, as far as Tanzanian politics are concerned, CCM is killing you guys in the eye of the public due to insane accusations you Party "lawyer" made. right or wrong that is for a cort of justice to decide. Kama mwanasheria wenu ana madai halali kuhusu Muungano au Nyerere, alitakiwa aitumie Taaluma yake kufikisha hilo kwenye vyombo husika na kulisimamia.

Shida kubwa ya CDM ni kutokukubali makosa pale mnapokosea. Hapa mtajisahihisha mpendavyo, ila huyu bwana Lissu amewapotezea kura za kutosha tu kwenye uchaguzi 2015. Infact what he managed in a single day is worse than the damage Zitto might have "allegedly" caused for years. Lissu has made CDM irrelevant going forward.

Kama kweli mnajua Siasa, mshaurini babu Slaa aitishe mkutano, aseme kuwa CDM ingawa inakuabliana na Baadhi ya mambo ya msingi aliyoyasema Lissu, haikubaliani na uwasilishaji alioutumia. na haiamini kuwa mchonga alikuwa tapeli.Wewe kama ben kuamini mchonga ni Tapeli, na CDM kama chama kuoneakana mna msimamo huo ni vitu viwili tofauti.

Wanachokifanya CCM sasa ni ku-spin, ni kama Snowden alivyotumiwa na Putin, ni kitu cha kawaida kwenye siasa.Ni jambo la kushangaza hamlijui hilo. Lissu, is now the biggest Liability Chadema has ever had. You have crossed un-chattered territory. kama mnabisha endeleeni na ubishi wenu muone kitakachowatokea 2015.
 
naaaaam,hiyo ndio maana ya demokrasia na nchi kuwa na watu wake kuwa huru,acheni mtu aseme ,wananchi kama mimi wewe tutachambua na kufuatilia ukweli uko wapi lakini pia wanatusaidia kupata habari ambazo hatuna ,lissu sema hii ni nchi yetu sote sio ya akina fulani tuu una unauhuru ,hizi ni zama za demokrasia na nchi huru na watu wake
 
Sikutegemea kwa mtu mzima Kama lisu kumtusi muasisi Wa taifa. Alitakiwa kujenga hoja,na kwa njia ta matusi. Tumesononeka sana sisi watanzania,kauli ya mtusi mwalimu haivumiliki. Ningekuwa mimi ndio mkono Wa dola, ningechukua hatua mathubuti. Si kila kitu kazima useme, pima tumia hâta busara ya kawaida. Tunamheshimu mwl na bado tunampenda. Amani unayoiona si kwa bahati mbaya. Karibu kujizuia kwa baadhi ya mambo. Huwezi hâta kidogo wewe lisu kujilinganisha na mwl. Linda heshima yako na chama chako. Kila kona wanasema umekosea. KAzi njema.
Mkuu sifa kubwa ya Tundu Lissu ni uzandiki, ufitini, uongo na hatimaye uchonganishi.
Mtu kama huyo hawzi kujiendesha yeye wala chama chake.
 
Kwa kuongezea, watu wengi humu hawamfahamu Mao Zedong, huyu bwana alikuwa mwenyekiti wa chama cha kikomunisti cha china, na raisi wao kwa kipindi kirefu mara baada ya mapinduzi ya miaka ya 40.
Huyu bwana amefanya mambo mengi sana sana china, hakuna mchina ambaye hajawa affected na maamuzi yake, na asilimia kubwa mno, si watu kumi au ishirini, mamilioni ya watu wasiopungua milioni 300 na kuendelea walipata shida sana wakati wa utawala wa huyu bwana. Alikuwa dikteta kamili, alikuw ani sheria, alikuwa ni alfa na omega. Watu wengi sana walimchukia ndani ya China.

Sasa kilichotokea baada ya Kufariki wale waliokuwa wanamchukia wakachukua hatamu, kundi la shanghai la kina Deng Xiaoping na wenzie, hawa mabwana walipata shida sana wakati wa Mao, kwani sera zao hazikupewa nafasi.

Baada ya deng Xiaoping kuchukua nchi akatangaza "Gaiga Kaifang", aka the great opening to the world. China ikaanza kufungua milango yake kwa dunia, ikaanza michakato ya kujiunga IMF n.k.

Hayo yote yakiendelea,ambayo yalikuwa kinyume na wakati wa MAO, Wachina hawakuwahi kumtukana MAO hadharani, hakuna mwanasiasa anayethubutu kumsema vibaya Mao, hata Deng Xiaoping mwenyewe hakuwa na Mafua hayo, kwani Mao alipendwa na watu wengi Mno China, aliwapa wachina kitu kinaitwa sense of security and pride as a nation baada ya kipindi kirefu cha mateso ya wajapani na washirika 7 walioivamia china. Wachina walikuwa tayari ku-sacrifice maisha yao kutimiza Vision ya Mao.

Deng Xiaoping na Timu yake kwa kuwa hawakuwa Vichaa kama kina lisu, waliendelea Kuyatukuza mema ya Mao, na mchanganyiko huu wa mema ya Mao na Mema ya Deng Xiaoping Ndio unaifanya China iwe Taifa linaloogopeka Dunia nzima.

Deng Xiaoping aliendeleza mkono wa chuma alioachiwa na Mao huku akitoa uhuru wa kiuchumi kwa wananchi wake kwa awamu. Miaka 40 toka Mao afariki, wachina wengi waliokuwa hawampendi Mao sasa wanampenda kuliko ilivyokuwa awali, wameelewa sacrifice alizozifanya kwa taifa ili kuwepo na usawa, heshima, nidhamu na mafanikio kwa kila mmoja. Wengi waliompenda Deng Xiaoping hapo mwanzoni, sasa hawawapendi "protege" wake ambao walichukua sera za Deng Xiaoping pure bila kuchanganya na za Mao.

Ukisoma kwa makini utagundua kuwa kati ya hawa viongozi wawili, kila mmoja alifanya makubwa mema, na kila mmoja alikosea kwingi, lakini nia yao kuu ilikuwa kuifanya China iwe sehemu bora kwa kila Mchina. Hakuna upande uliowaita wenzie Matapeli, kwa kuwa wote wamejaaliwa busara. Sera walizotofautiana wanazirekebisha kistaarabu na kubalance kwa manufaa ya wote.

Huyu Nyerere mnayemtukana ndio ametengeneza amani iliyokuwepo sasa, ndio aliyetumia udikteta wake kulinda mipaka ya Tanzania ilipovamiwa, ndio alitumia udikteta wake kuwafanya mabeberu watuheshimu na umasikini wetu, ingawa heshima hiyo inaanza kutoweka kwa kasi, ndio alifanya kila awezalo kwa uwezo wake kuhakikisha elimu inakuwa bure kwa wote, mpaka hao kina Lisu, Slaa, na wazazi wako wewe wakasoma bila shida.

Leo hii kuna Mpuuzi anasimama Bungeni na kumuita Tapeli?seriously?
 
Ndugu Saanane, Wewe na mimi na wengi humu ni Irrelevant, as far as Tanzanian politics are concerned, CCM is killing you guys in the eye of the public due to insane accusations you Party "lawyer" made. right or wrong that is for a cort of justice to decide. Kama mwanasheria wenu ana madai halali kuhusu Muungano au Nyerere, alitakiwa aitumie Taaluma yake kufikisha hilo kwenye vyombo husika na kulisimamia.

Shida kubwa ya CDM ni kutokukubali makosa pale mnapokosea. Hapa mtajisahihisha mpendavyo, ila huyu bwana Lissu amewapotezea kura za kutosha tu kwenye uchaguzi 2015. Infact what he managed in a single day is worse than the damage Zitto might have "allegedly" caused for years. Lissu has made CDM irrelevant going forward.

Kama kweli mnajua Siasa, mshaurini babu Slaa aitishe mkutano, aseme kuwa CDM ingawa inakuabliana na Baadhi ya mambo ya msingi aliyoyasema Lissu, haikubaliani na uwasilishaji alioutumia. na haiamini kuwa mchonga alikuwa tapeli.Wewe kama ben kuamini mchonga ni Tapeli, na CDM kama chama kuoneakana mna msimamo huo ni vitu viwili tofauti.

Wanachokifanya CCM sasa ni ku-spin, ni kama Snowden alivyotumiwa na Putin, ni kitu cha kawaida kwenye siasa.Ni jambo la kushangaza hamlijui hilo. Lissu, is now the biggest Liability Chadema has ever had. You have crossed un-chattered territory. kama mnabisha endeleeni na ubishi wenu muone kitakachowatokea 2015.

Mkuu,

Kwa hakika huwa nashangazwa na wanaofikiri kwa akili kama yako!

Watu ambao hawawezi kusimamia ukweli kwa sababu ya uchaguzi na umaarufu!

Hii kwa hakika ilikuwa ni tabia ya CCM,kudanganya watu kuahidi ahadi ambazo hazitekelezeki just for election winning!

Inasikitisha sana kuona kuna baadhi ya wasomi ambao wanaendelea na utapeli huu na kuzifanya professional zao ziwe very irrelevant!

Hakuna mtu anayeweza kusimamia uadilifu,hakuna mtu anayeweza kusimamia ukweli,wote mmebaki kufanya utapeli wa kisiasa ili mzidi kufanikiwa.

Umenisikitisha sana!

MTANGANYIKA DAIMA!
 
wanalumbana na kaishakufa..ni viongoz wangap wabov nyerere kaiandalia tanzania hii...hana uspecial wiwote ni mtu kama wewe kama tundu lisu..akizingua anapewa black and white[/QUOTE]

hufai kumdhihak nyerere kwa maneno makal mno,mchango wake hautokuja kufanana na kiongoz yeyote ktk taifa hili,hata uwezo uwezo wa kunieleza wa lisu ni jitihada zake yeye,mwachen mwasis wetu apumzike kwa aman,tanzania ya nyerere na ya saiv hazifanan,ya leo ni quantitativ but not qualitative,,
 
Ni kweli Nyerere hakuwa Malaika ni Binadamu kama wanadamu wengine alikuwa na mapungufu ,alikuwa na madhaifu huenda alikuwa na maamuzi sio sahihi,sasa Je Mtu kama Nyerere unamkosoa kwa lugha ipi na hoja zipi?Za kumkejeli kumkashifu kumtukana au?
Nchi mmeamua kumwita Baba wa Taifa mmeweka Nyerere Day kama kumeuenzi kwa alicho ifanyia Taifa hili,sasa kama mnataka kumkosoa kwa alicho kifanya mnamkosoa kwa staha,kwa hekima.Mangapi CCM na serikali wameondoa aliyeanzisha Nyerere,Siasa ya Ujamaa na kujitegemea,Azimio la Arusha nk nk,Lakini katika kubadilisha huko huwezi sikia wakimkejeli au kumdharau Nyerere.

Huyu Tundu hekima zero kabisa ,kuna Lugha ya kumkosoa mtu aliye hai na aliye kufa,Lisu anamkosoa Nyerere kama vile yupo hai,Nyerere atajiteteaje? Hana kugha ya staha wala haiba,angeweza kutumia lugha laini ya kuukosoa muungano na Nyerere lakini sio kwa maneno makali ambaye kwa mtu aliyekufa hawezi kujibu .
 
Back
Top Bottom