TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Sahihi!Kulinda na Kuitetea amani yetu sio jambo la kuoneana huruma bali ni jambo la msingi kabisa, lenye uzito tofauti kabisa na mambo yenu ya katiba na uchaguzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sahihi!Kulinda na Kuitetea amani yetu sio jambo la kuoneana huruma bali ni jambo la msingi kabisa, lenye uzito tofauti kabisa na mambo yenu ya katiba na uchaguzi
Unajua maana ya jimbo la uchaguzi? Kwani wilaya moja ikiwa na majimbo 20 ya uchaguzi kuna ubaya gani?Tanzania kuna mkoa mmoja ni size ya mikoa mingine miwili mpaka minne, Tabora, Morogoro, Ruvuma na Lindi sio mzaha ni kubwa kweli kweli.
Huko kwenye hiyo mikoa mikubwa kuna wilaya kwa size ni kubwa kushinda baadhi ya mikoa. Shida ni low population density.
Sasa ukisema ugawe majimbo kwa population density (Dar-es-Salaam) nzima inakuwa ni wilaya ndogo sana Tanzania. Lakini wilaya za Dar zinawapiga kura mara mbili au tatu ya wilaya zenye watu wengi, kwengine ni mara kumi.
Kwa mantiki hiyo Dar ambayo ni ndogo kuliko wilaya zote Tanzania pekee inaweza toa wabunge hata 100.
Isimani pekee (Iringa) ni kubwa kushinda, mkoa wa Kilimanjaro na nchi ya Rwanda. Lakini hakuna watu.
Sometimes Lissu uwa anajiropokea tu, kama kwenye ili la majimbo ya kura. Kuna sababu nyingi za kutengeneza majimbo tofauti na maelezo yake. Hata huko anakotelea mifano ni hivyo hivyo kama kwetu.
Umeandika takatakaView attachment 3256240
Na Mwandishi Wetu – Songea
Leo hii Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, ameendelea kurudia madai yale yale yasiyo na mashiko kuhusu mfumo wa uchaguzi na usawa wa kisiasa nchini Tanzania. Katika mkutano wake na Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Lissu alitoa tuhuma nyingi dhidi ya serikali na mchakato wa uchaguzi, lakini kwa uchambuzi yakinifu, ni wazi kuwa hoja zake ni dhaifu, zisizo na ushahidi wa kisayansi, na zinalenga tu kuchochea taharuki isiyo na msingi.
1. UDHAIFU WA HOJA YA UGAWAJI WA MAJIMBO
Lissu anadai kuwa ugawaji wa majimbo nchini umejaa upendeleo mkubwa na unaminya vyama vya upinzani. Lakini, ukweli ni kwamba mfumo wa ugawaji wa majimbo unazingatia vigezo vya kijiografia, idadi ya watu, na maendeleo ya miundombinu kama ilivyoainishwa katika Katiba na sheria husika.
Hapa, Lissu anataka Tanzania ifuate mfumo wa "mbunge mmoja kwa idadi fulani ya wapiga kura," lakini anasahau kuwa nchi yetu ina mikoa na maeneo yenye hali tofauti za kijiografia. Jimbo la vijijini lenye watu wachache lakini lenye eneo kubwa linahitaji uwakilishi sawa na jimbo la mjini lenye watu wengi kwa sababu changamoto zake ni tofauti.
Kwa mfano, Tanzania Bara ina majimbo mengi kwa sababu ya ukubwa wa eneo lake, huku Zanzibar ikiwa na majimbo machache kwa sababu ya idadi ya watu na ukubwa wake. Lissu anaelekea kusahau kuwa uwiano huu si wa kubuni bali ni sehemu ya mfumo wa uwakilishi wa nchi nyingi duniani, ikiwemo Marekani ambapo majimbo madogo yana seneta sawa na yale makubwa.
Zaidi ya hapo, chini ya uongozi wa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) inaendelea kufanya maboresho kuhakikisha mfumo wa majimbo unakidhi mahitaji ya uwakilishi wa wananchi. Ni aibu kwa kiongozi wa upinzani kupotosha ukweli na kujaribu kuhalalisha malalamiko yasiyo na msingi.
Soma Pia: Lissu: Tutazunguka nchi nzima kuwaambia Watanzania wasishiriki chaguzi za kutoana Kafara
2. UCHAGUZI HAUTAFANYIKA BILA MABADILIKO? HUU NI UPOTOSHAJI WA KISIASA
Kauli ya Lissu kuwa "uchaguzi hautafanyika" ni kauli inayodhoofisha demokrasia na kuonesha kuwa upinzani hauko tayari kwa ushindani wa haki.
Kwa miaka mingi, Tanzania imeendesha chaguzi zake kwa uwazi na kwa mujibu wa sheria. Katika utawala wa Dkt. Samia, mchakato wa mageuzi ya sheria za uchaguzi umeanza, ukihusisha wadau wote. Serikali imedhihirisha utayari wake wa kufanya mabadiliko ya msingi, na ndiyo maana imeendelea kuhimiza majadiliano badala ya vitisho vya kihuni vya “kuzuia uchaguzi.”
Lissu anasahau kuwa Tanzania ni nchi ya amani, yenye mfumo thabiti wa uchaguzi. Kauli za kujaribu kuhamasisha vurugu kwa kisingizio cha kutaka "mabadiliko" ni ushahidi wa namna upinzani unavyoshindwa kushawishi kwa hoja na badala yake unataka kutumia nguvu ya umma kwa maslahi yao binafsi.
3. MFUMO WA UCHAGUZI KUDHIBITIWA NA RAIS? HII NI NDOTO YA MCHANA
Kama kuna mtu ambaye amechukua hatua kubwa za kuimarisha demokrasia ya Tanzania, basi ni Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan. Serikali yake imekuwa shirikishi kwa kiwango ambacho hata vyama vya upinzani vinaweza kufanya siasa zao kwa uhuru.
Lissu anaposema kuwa Rais anadhibiti chaguzi, anaacha kutaja kuwa chini ya uongozi wa Dkt. Samia:
Tume ya Uchaguzi inafanya kazi kwa uhuru na imekuwa ikihusisha wadau wote katika mchakato wa maboresho.
Vyama vya upinzani vina uhuru wa kufanya mikutano ya kisiasa bila bughudha yoyote, tofauti na awamu zilizopita.
Serikali imekaribisha mijadala ya kitaifa kuhusu maboresho ya uchaguzi, ikiwa ni ishara ya utayari wa kusikiliza na kufanya mageuzi ya kweli.
Kwa mazingira haya, ni wazi kuwa madai ya Lissu hayana msingi na yana nia ya kulaghai wananchi waamini kuwa kuna njama za kudhibiti uchaguzi.
4. TAHADHARI DHIDI YA MACHAFUKO KAMA MSUMBIJI? NI UPUUZI
Kauli ya Lissu kwamba Tanzania inaweza kufuata mkondo wa Msumbiji ni kejeli kwa taifa letu. Tanzania imekuwa kisiwa cha amani kwa miongo mingi, na chini ya uongozi wa Dkt. Samia, hali hiyo imeendelea kuimarika.
Lissu anataka kutumia hofu ya wananchi ili kuhalalisha ajenda yake binafsi. Tanzania siyo Msumbiji, na Watanzania hawana muda wa kufuata siasa za uharibifu zinazohubiriwa na watu waliokosa hoja za msingi.
5. KURA YA NDIO AU HAPANA NI HATUA NZURI, SIYO UDANGANYIFU
Lissu anapinga mageuzi ya kuwa na kura ya "Ndiyo" au "Hapana" pale ambapo wagombea wengine wameenguliwa. Hii ni hoja dhaifu kwa sababu mfumo huo umeletwa ili kuhakikisha kuwa wananchi wanapata nafasi ya kuamua hatma ya uongozi wao hata pale ambapo mgombea mmoja amebaki.
Mfumo huu unasaidia kuzuia mianya ya watu kupita bila kupigiwa kura na ni njia mojawapo ya kuboresha demokrasia.
Mwisho; LISSU AACHE POROJO, AJE NA SERA MBADALA
Tundu Lissu ni kiongozi wa muda mrefu wa upinzani ambaye badala ya kuja na hoja za maana, amechagua siasa za mivutano na malalamiko yasiyo na msingi. Tanzania ni nchi inayoheshimu demokrasia na inayoendelea kuboresha mifumo yake ya kisiasa.
Serikali ya Rais Dkt. Samia imechukua hatua nyingi za kuimarisha siasa za ushindani, ikiwemo kufungua milango ya mijadala ya kitaifa, kuruhusu mikutano ya kisiasa bila zuio, na kuanza mchakato wa maboresho ya sheria za uchaguzi.
Badala ya kutoa vitisho vya "uchaguzi hautafanyika" au kujaribu kuhamasisha hofu ya machafuko, CHADEMA inapaswa kuja na sera bora zinazoweza kuwashawishi Watanzania. Siasa za kulalamika hazijawahi kuleta maendeleo – ni sera na mipango thabiti pekee inayoweza kubadili maisha ya wananchi.
Ni wakati wa Lissu na wenzake waamke na kuachana na siasa za malalamiko. Tanzania ni nchi inayoendelea kwa kasi, na chini ya uongozi wa Dkt. Samia, mwelekeo wake ni wa maendeleo, siyo vurugu na sintofahamu kama ambavyo baadhi ya wanasiasa wanatamani.
kama eneo la kiutawala ni kubwa kuna serikali za mitaa ndizo zinazohusika moja kwa moja na utoaji huduma na usimamizi wa rasilimali hivo kuongeza majimbo hakuwezi kuwa na tija yeyote kwa wananchi bali ni kuwapa watu ulaji tu,,,mfano wilaya ya Songea ina majimbo matatu na nahisi mnatamani mpate jimbo la nne,,,hivi hata yakiwa majimbo matano je ni tija ipi itapatikana ambayo kwa sasa tunaikosa kwa kuwa majimbo ni matatu na eneo ni kubwa kijiografia?Tanzania kuna mkoa mmoja ni size ya mikoa mingine miwili mpaka minne, Tabora, Morogoro, Ruvuma na Lindi sio mzaha ni kubwa kweli kweli.
Huko kwenye hiyo mikoa mikubwa kuna wilaya kwa size ni kubwa kushinda baadhi ya mikoa. Shida ni low population density.
Sasa ukisema ugawe majimbo kwa population density (Dar-es-Salaam) nzima inakuwa ni wilaya ndogo sana Tanzania. Lakini wilaya za Dar zinawapiga kura mara mbili au tatu ya wilaya zenye watu wengi, kwengine ni mara kumi.
Kwa mantiki hiyo Dar ambayo ni ndogo kuliko wilaya zote Tanzania pekee inaweza toa wabunge hata 100.
Isimani pekee (Iringa) ni kubwa kushinda, mkoa wa Kilimanjaro na nchi ya Rwanda. Lakini hakuna watu.
Sometimes Lissu uwa anajiropokea tu, kama kwenye ili la majimbo ya kura. Kuna sababu nyingi za kutengeneza majimbo tofauti na maelezo yake. Hata huko anakotelea mifano ni hivyo hivyo kama kwetu.
Idadi hiyo ni impractical kwa mmbunge, kuweza kufahamu shida za kila eneo za wananchi kwenye mkoa.Wingi wa Wabunge katika Mkoa wowote hauna faida yoyote kwa Wananchi.
Kama Mkoa wa Tabora, ambao ni mkubwa mara tatu ya Nchi ya Rwanda, ina Mkuu wa Mkoa mmoja, kuna tatizo gani kuwa Wabunge 2 au 4?
Kwa nini tuwe na Wabunge 300, wakati Wabunge 35 au 70 watatusaidia kuokoa sehemu ya Kodi zetu zinazotumika kuwalipa Mishahara na Posho?
Hoja yangu ni kwamba, kuwa na Wabunge wengi ni hasara kwa Taifa.
Na kuthibitisha hili, idadi ya Wabunge ndani ya Ukumbi wa Bunge huwa haifiki Asilimia 50.
Kisha idadi kubwa ya Wabunge wanaishi nje ya Majimbo yao.
Tanzania haihitaji Wabunge 300.
Tanzania inahitaji Wabunge wasiozidi 75.
Hivi hizi ni hoja dhaifu au wewe mleta hoja ndiye mdebwedo na dhaifu wa akili, uelewa na ufahamu wako...?View attachment 3256240
Na Mwandishi Wetu – Songea
Leo hii Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, ameendelea kurudia madai yale yale yasiyo na mashiko kuhusu mfumo wa uchaguzi na usawa wa kisiasa nchini Tanzania. Katika mkutano wake na Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Lissu alitoa tuhuma nyingi dhidi ya serikali na mchakato wa uchaguzi, lakini kwa uchambuzi yakinifu, ni wazi kuwa hoja zake ni dhaifu, zisizo na ushahidi wa kisayansi, na zinalenga tu kuchochea taharuki isiyo na msingi.
1. UDHAIFU WA HOJA YA UGAWAJI WA MAJIMBO
Lissu anadai kuwa ugawaji wa majimbo nchini umejaa upendeleo mkubwa na unaminya vyama vya upinzani. Lakini, ukweli ni kwamba mfumo wa ugawaji wa majimbo unazingatia vigezo vya kijiografia, idadi ya watu, na maendeleo ya miundombinu kama ilivyoainishwa katika Katiba na sheria husika.
Hapa, Lissu anataka Tanzania ifuate mfumo wa "mbunge mmoja kwa idadi fulani ya wapiga kura," lakini anasahau kuwa nchi yetu ina mikoa na maeneo yenye hali tofauti za kijiografia. Jimbo la vijijini lenye watu wachache lakini lenye eneo kubwa linahitaji uwakilishi sawa na jimbo la mjini lenye watu wengi kwa sababu changamoto zake ni tofauti.
Kwa mfano, Tanzania Bara ina majimbo mengi kwa sababu ya ukubwa wa eneo lake, huku Zanzibar ikiwa na majimbo machache kwa sababu ya idadi ya watu na ukubwa wake. Lissu anaelekea kusahau kuwa uwiano huu si wa kubuni bali ni sehemu ya mfumo wa uwakilishi wa nchi nyingi duniani, ikiwemo Marekani ambapo majimbo madogo yana seneta sawa na yale makubwa.
Zaidi ya hapo, chini ya uongozi wa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) inaendelea kufanya maboresho kuhakikisha mfumo wa majimbo unakidhi mahitaji ya uwakilishi wa wananchi. Ni aibu kwa kiongozi wa upinzani kupotosha ukweli na kujaribu kuhalalisha malalamiko yasiyo na msingi.
Soma Pia: Lissu: Tutazunguka nchi nzima kuwaambia Watanzania wasishiriki chaguzi za kutoana Kafara
2. UCHAGUZI HAUTAFANYIKA BILA MABADILIKO? HUU NI UPOTOSHAJI WA KISIASA
Kauli ya Lissu kuwa "uchaguzi hautafanyika" ni kauli inayodhoofisha demokrasia na kuonesha kuwa upinzani hauko tayari kwa ushindani wa haki.
Kwa miaka mingi, Tanzania imeendesha chaguzi zake kwa uwazi na kwa mujibu wa sheria. Katika utawala wa Dkt. Samia, mchakato wa mageuzi ya sheria za uchaguzi umeanza, ukihusisha wadau wote. Serikali imedhihirisha utayari wake wa kufanya mabadiliko ya msingi, na ndiyo maana imeendelea kuhimiza majadiliano badala ya vitisho vya kihuni vya “kuzuia uchaguzi.”
Lissu anasahau kuwa Tanzania ni nchi ya amani, yenye mfumo thabiti wa uchaguzi. Kauli za kujaribu kuhamasisha vurugu kwa kisingizio cha kutaka "mabadiliko" ni ushahidi wa namna upinzani unavyoshindwa kushawishi kwa hoja na badala yake unataka kutumia nguvu ya umma kwa maslahi yao binafsi.
3. MFUMO WA UCHAGUZI KUDHIBITIWA NA RAIS? HII NI NDOTO YA MCHANA
Kama kuna mtu ambaye amechukua hatua kubwa za kuimarisha demokrasia ya Tanzania, basi ni Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan. Serikali yake imekuwa shirikishi kwa kiwango ambacho hata vyama vya upinzani vinaweza kufanya siasa zao kwa uhuru.
Lissu anaposema kuwa Rais anadhibiti chaguzi, anaacha kutaja kuwa chini ya uongozi wa Dkt. Samia:
Tume ya Uchaguzi inafanya kazi kwa uhuru na imekuwa ikihusisha wadau wote katika mchakato wa maboresho.
Vyama vya upinzani vina uhuru wa kufanya mikutano ya kisiasa bila bughudha yoyote, tofauti na awamu zilizopita.
Serikali imekaribisha mijadala ya kitaifa kuhusu maboresho ya uchaguzi, ikiwa ni ishara ya utayari wa kusikiliza na kufanya mageuzi ya kweli.
Kwa mazingira haya, ni wazi kuwa madai ya Lissu hayana msingi na yana nia ya kulaghai wananchi waamini kuwa kuna njama za kudhibiti uchaguzi.
4. TAHADHARI DHIDI YA MACHAFUKO KAMA MSUMBIJI? NI UPUUZI
Kauli ya Lissu kwamba Tanzania inaweza kufuata mkondo wa Msumbiji ni kejeli kwa taifa letu. Tanzania imekuwa kisiwa cha amani kwa miongo mingi, na chini ya uongozi wa Dkt. Samia, hali hiyo imeendelea kuimarika.
Lissu anataka kutumia hofu ya wananchi ili kuhalalisha ajenda yake binafsi. Tanzania siyo Msumbiji, na Watanzania hawana muda wa kufuata siasa za uharibifu zinazohubiriwa na watu waliokosa hoja za msingi.
5. KURA YA NDIO AU HAPANA NI HATUA NZURI, SIYO UDANGANYIFU
Lissu anapinga mageuzi ya kuwa na kura ya "Ndiyo" au "Hapana" pale ambapo wagombea wengine wameenguliwa. Hii ni hoja dhaifu kwa sababu mfumo huo umeletwa ili kuhakikisha kuwa wananchi wanapata nafasi ya kuamua hatma ya uongozi wao hata pale ambapo mgombea mmoja amebaki.
Mfumo huu unasaidia kuzuia mianya ya watu kupita bila kupigiwa kura na ni njia mojawapo ya kuboresha demokrasia.
Mwisho; LISSU AACHE POROJO, AJE NA SERA MBADALA
Tundu Lissu ni kiongozi wa muda mrefu wa upinzani ambaye badala ya kuja na hoja za maana, amechagua siasa za mivutano na malalamiko yasiyo na msingi. Tanzania ni nchi inayoheshimu demokrasia na inayoendelea kuboresha mifumo yake ya kisiasa.
Serikali ya Rais Dkt. Samia imechukua hatua nyingi za kuimarisha siasa za ushindani, ikiwemo kufungua milango ya mijadala ya kitaifa, kuruhusu mikutano ya kisiasa bila zuio, na kuanza mchakato wa maboresho ya sheria za uchaguzi.
Badala ya kutoa vitisho vya "uchaguzi hautafanyika" au kujaribu kuhamasisha hofu ya machafuko, CHADEMA inapaswa kuja na sera bora zinazoweza kuwashawishi Watanzania. Siasa za kulalamika hazijawahi kuleta maendeleo – ni sera na mipango thabiti pekee inayoweza kubadili maisha ya wananchi.
Ni wakati wa Lissu na wenzake waamke na kuachana na siasa za malalamiko. Tanzania ni nchi inayoendelea kwa kasi, na chini ya uongozi wa Dkt. Samia, mwelekeo wake ni wa maendeleo, siyo vurugu na sintofahamu kama ambavyo baadhi ya wanasiasa wanatamani.
View attachment 3256240

Kwanza kwenye hoja unarudia kitu kiłę kiłę.Mbona kama vile huna akili kabisa...!??
Swali la msingi unalopaswa kulijibu ni hili: Kwamba, msingi wa representation huwa ni watu au vitu...?
Kama eneo ni kubwa lakini Lina population ndogo, unaweka representation ya Wabunge wengi ili wawakilishe nini? Misitu na milima na nyika..?
Are you really thinking properly au ndiyo hivyo tena mlishavurugwa na mentality ya uchawa...?
Kwa kanuni ya NEC walioitoa juzi kuwa ktk kugawanya majimbo watazingatia idadi ya watu (600,000 kwa mijini na 400,000 kwa maeneo ya vijijini) unadhani Zanzibar yenye population isiyozidi 1,800,000 nchi nzima, watapata majimbo mangapi...?
Haya, vipi Tabora ambayo Ina eneo kubwa la ardhi lakini ikiwa population ndogo, unadhani instahili kuwa na majimbo mengi kama ilivyo sasa...?
Vipi Jimbo la Handeni vijijini lenye wapiga kura 24,000 tu? NEC walitumia kigezo kulifanya hili ni Jimbo sawa na Temeke lenye wapiga kura 470,000..??
Wakati mwingine mnapoamua kupinga hoja fulani, basi tumieni akili basi badala ya kutumia makalio...!!
Mkuu embu soma post zangu zingine, vinginevyo itakuwa ya kurudia majibu.Unajua maana ya jimbo la uchaguzi? Kwani wilaya moja ikiwa na majimbo 20 ya uchaguzi kuna ubaya gani?
Hizo siyo hoja Dhaifu sema wewe binafsi unasaka uteuzi umeamua kujitoa fahamu kwa mambo muhimu ya msingi kuyaita hoja Dhaifu, wewe ndiyo mwenye hoja Dhaifu siyo Lisu kwani kero za Tume ya uchaguzi hazipaswi kufumbiwa macho kamweView attachment 3256240
Na Mwandishi Wetu – Songea
Leo hii Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, ameendelea kurudia madai yale yale yasiyo na mashiko kuhusu mfumo wa uchaguzi na usawa wa kisiasa nchini Tanzania. Katika mkutano wake na Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Lissu alitoa tuhuma nyingi dhidi ya serikali na mchakato wa uchaguzi, lakini kwa uchambuzi yakinifu, ni wazi kuwa hoja zake ni dhaifu, zisizo na ushahidi wa kisayansi, na zinalenga tu kuchochea taharuki isiyo na msingi.
1. UDHAIFU WA HOJA YA UGAWAJI WA MAJIMBO
Lissu anadai kuwa ugawaji wa majimbo nchini umejaa upendeleo mkubwa na unaminya vyama vya upinzani. Lakini, ukweli ni kwamba mfumo wa ugawaji wa majimbo unazingatia vigezo vya kijiografia, idadi ya watu, na maendeleo ya miundombinu kama ilivyoainishwa katika Katiba na sheria husika.
Hapa, Lissu anataka Tanzania ifuate mfumo wa "mbunge mmoja kwa idadi fulani ya wapiga kura," lakini anasahau kuwa nchi yetu ina mikoa na maeneo yenye hali tofauti za kijiografia. Jimbo la vijijini lenye watu wachache lakini lenye eneo kubwa linahitaji uwakilishi sawa na jimbo la mjini lenye watu wengi kwa sababu changamoto zake ni tofauti.
Kwa mfano, Tanzania Bara ina majimbo mengi kwa sababu ya ukubwa wa eneo lake, huku Zanzibar ikiwa na majimbo machache kwa sababu ya idadi ya watu na ukubwa wake. Lissu anaelekea kusahau kuwa uwiano huu si wa kubuni bali ni sehemu ya mfumo wa uwakilishi wa nchi nyingi duniani, ikiwemo Marekani ambapo majimbo madogo yana seneta sawa na yale makubwa.
Zaidi ya hapo, chini ya uongozi wa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) inaendelea kufanya maboresho kuhakikisha mfumo wa majimbo unakidhi mahitaji ya uwakilishi wa wananchi. Ni aibu kwa kiongozi wa upinzani kupotosha ukweli na kujaribu kuhalalisha malalamiko yasiyo na msingi.
Soma Pia: Lissu: Tutazunguka nchi nzima kuwaambia Watanzania wasishiriki chaguzi za kutoana Kafara
2. UCHAGUZI HAUTAFANYIKA BILA MABADILIKO? HUU NI UPOTOSHAJI WA KISIASA
Kauli ya Lissu kuwa "uchaguzi hautafanyika" ni kauli inayodhoofisha demokrasia na kuonesha kuwa upinzani hauko tayari kwa ushindani wa haki.
Kwa miaka mingi, Tanzania imeendesha chaguzi zake kwa uwazi na kwa mujibu wa sheria. Katika utawala wa Dkt. Samia, mchakato wa mageuzi ya sheria za uchaguzi umeanza, ukihusisha wadau wote. Serikali imedhihirisha utayari wake wa kufanya mabadiliko ya msingi, na ndiyo maana imeendelea kuhimiza majadiliano badala ya vitisho vya kihuni vya “kuzuia uchaguzi.”
Lissu anasahau kuwa Tanzania ni nchi ya amani, yenye mfumo thabiti wa uchaguzi. Kauli za kujaribu kuhamasisha vurugu kwa kisingizio cha kutaka "mabadiliko" ni ushahidi wa namna upinzani unavyoshindwa kushawishi kwa hoja na badala yake unataka kutumia nguvu ya umma kwa maslahi yao binafsi.
3. MFUMO WA UCHAGUZI KUDHIBITIWA NA RAIS? HII NI NDOTO YA MCHANA
Kama kuna mtu ambaye amechukua hatua kubwa za kuimarisha demokrasia ya Tanzania, basi ni Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan. Serikali yake imekuwa shirikishi kwa kiwango ambacho hata vyama vya upinzani vinaweza kufanya siasa zao kwa uhuru.
Lissu anaposema kuwa Rais anadhibiti chaguzi, anaacha kutaja kuwa chini ya uongozi wa Dkt. Samia:
Tume ya Uchaguzi inafanya kazi kwa uhuru na imekuwa ikihusisha wadau wote katika mchakato wa maboresho.
Vyama vya upinzani vina uhuru wa kufanya mikutano ya kisiasa bila bughudha yoyote, tofauti na awamu zilizopita.
Serikali imekaribisha mijadala ya kitaifa kuhusu maboresho ya uchaguzi, ikiwa ni ishara ya utayari wa kusikiliza na kufanya mageuzi ya kweli.
Kwa mazingira haya, ni wazi kuwa madai ya Lissu hayana msingi na yana nia ya kulaghai wananchi waamini kuwa kuna njama za kudhibiti uchaguzi.
4. TAHADHARI DHIDI YA MACHAFUKO KAMA MSUMBIJI? NI UPUUZI
Kauli ya Lissu kwamba Tanzania inaweza kufuata mkondo wa Msumbiji ni kejeli kwa taifa letu. Tanzania imekuwa kisiwa cha amani kwa miongo mingi, na chini ya uongozi wa Dkt. Samia, hali hiyo imeendelea kuimarika.
Lissu anataka kutumia hofu ya wananchi ili kuhalalisha ajenda yake binafsi. Tanzania siyo Msumbiji, na Watanzania hawana muda wa kufuata siasa za uharibifu zinazohubiriwa na watu waliokosa hoja za msingi.
5. KURA YA NDIO AU HAPANA NI HATUA NZURI, SIYO UDANGANYIFU
Lissu anapinga mageuzi ya kuwa na kura ya "Ndiyo" au "Hapana" pale ambapo wagombea wengine wameenguliwa. Hii ni hoja dhaifu kwa sababu mfumo huo umeletwa ili kuhakikisha kuwa wananchi wanapata nafasi ya kuamua hatma ya uongozi wao hata pale ambapo mgombea mmoja amebaki.
Mfumo huu unasaidia kuzuia mianya ya watu kupita bila kupigiwa kura na ni njia mojawapo ya kuboresha demokrasia.
Mwisho; LISSU AACHE POROJO, AJE NA SERA MBADALA
Tundu Lissu ni kiongozi wa muda mrefu wa upinzani ambaye badala ya kuja na hoja za maana, amechagua siasa za mivutano na malalamiko yasiyo na msingi. Tanzania ni nchi inayoheshimu demokrasia na inayoendelea kuboresha mifumo yake ya kisiasa.
Serikali ya Rais Dkt. Samia imechukua hatua nyingi za kuimarisha siasa za ushindani, ikiwemo kufungua milango ya mijadala ya kitaifa, kuruhusu mikutano ya kisiasa bila zuio, na kuanza mchakato wa maboresho ya sheria za uchaguzi.
Badala ya kutoa vitisho vya "uchaguzi hautafanyika" au kujaribu kuhamasisha hofu ya machafuko, CHADEMA inapaswa kuja na sera bora zinazoweza kuwashawishi Watanzania. Siasa za kulalamika hazijawahi kuleta maendeleo – ni sera na mipango thabiti pekee inayoweza kubadili maisha ya wananchi.
Ni wakati wa Lissu na wenzake waamke na kuachana na siasa za malalamiko. Tanzania ni nchi inayoendelea kwa kasi, na chini ya uongozi wa Dkt. Samia, mwelekeo wake ni wa maendeleo, siyo vurugu na sintofahamu kama ambavyo baadhi ya wanasiasa wanatamani.
Kitu kibaya kama hakiondoki ama kuondolewa lazima warudie kusema hata mara 1000 hadi siku maovu yote yanamalizwaKwanza kwenye hoja unarudia kitu kiłę kiłę.
Pili nimeweka wazi ku-ignore upuuzi wa Zanzibar, mjini magharibi pekee inawabunge 19, hao ni zaidi ya wabunge wa mkoa mkubwa Tanzania bara (Tabora) yenye wabunge 12.
Hayo mengine takwimu żako sijui umezitoa wapi na hiyo kanuni yako ya idadi ya watu kwenye jimbo.
Kwa toleo la mwisho la uchaguzi jimbo lenye wapiga kura wachache ni Madaba, Ruvuma (65,000) na lenye wapiga kura wengi ni Geita (1035000). Kwengine ni vuruga machi from the lowest to the highest.
Hata mkiwekewa takwimu kwenye post mnaza quote hamsomi, tumezoea utaratibu wa kutoa vitu kichwani na kukejeli watu;Temeke inawapiga kura 1300,000 na majimbo mawili (Temeke na Mbagala).
Mengine unarudia point zile zile (on the same page), sasa sijui ulikuwa unabisha nini.
Safari hii wabunge wa com watakosa wapiga kura watu hawatajitokeza kupiga kura mpaka Tume huru ya uchaguzi iundweHakuna mwenye akili tumamu na mtanganyika atashiriki uchaguzi wa October. Ni ujinga na kupotezeana muda.
LIssu yupo sahihi 100%