Hapa ndio patamu, trend ya matukio inaonyesha hajawahi kushindwa! Muroto ajiandae kisaikolojiaNa Sasa wanasema hatashinda tumuachie mungu muda utaamua.
Kesi zote alizosimamia mahakamani alishinda? Miga tumeshitakiwa ... Its not fair kujifanya unayajua maisha ya mtu mpaka ya ndani....Hapa ndio patamu, trend ya matukio inaonyesha hajawahi kushindwa! Muroto ajiandae kisaikolojia
Kila walichofanya walikua wanamuongezea mwendoUbaya haujawahi ushinda wema, na Wala giza halijawahi ushinda mwanga.
Walipigana kumzuia lakini hawakuelewa kua mipango ya Mungu hupangwa na Mungu mwenyewe na sio system.
Mungu wala hana mpango na mgombea yeyote amewapa uhuru nyinyi wenyewe muamue ni yupi kati yao atawafaa ili kuepusha mambo ya kumlilialilia bdae, na asitokee mgombea yeyote aseme cjui katumwa na Mungu kuja kuwakomboa watz mara ooh chaguo la Mungu never been, Mungu hanaga hizo shobo.Jamaa utani utani mara kweli anachukua nchi.Huyu jamaa kunusurika kote huko nadhani kuna mpango ambao Mungu amemuandalia.
Kesi zote alizosimamia mahakamani alishinda? Miga tumeshitakiwa ... Its not fair kujifanya unayajua maisha ya mtu mpaka ya ndani....
Unataka kusemaje?Kesi zote alizosimamia mahakamani alishinda? Miga tumeshitakiwa ... Its not fair kujifanya unayajua maisha ya mtu mpaka ya ndani....
Yajayo yanafurahisha!Hapa ndio patamu, trend ya matukio inaonyesha hajawahi kushindwa! Muroto ajiandae kisaikolojia
If God decided to bless you,he does not ask permission to anybody.Mungu wala hana mpango na mgombea yeyote amewapa uhuru nyinyi wenyewe muamue ni yupi kati yao atawafaa ili kuepusha mambo ya kumlilialilia bdae, na asitokee mgombea yeyote aseme cjui katumwa na Mungu kuja kuwakomboa watz mara ooh chaguo la Mungu never been, Mungu hanaga hizo shobo.
Umesahau moja mkuu, wakasema kuwa wamnyime airtime kwenye vyombo vyao vya habari uchwara ( ITV, Azam Tv , TBC, Clouds Tv, Star Tv, Channel Ten na Eatv)na kumzimia sauti akiongea ila wapi nayo imeshindikana watu wanarekodi kwa simu na kamera zao na wanarusha tu speech zake na raia tunazionaMaisha ya Tundu Lissu yamejaa majaribu makubwa na vizingiti vingi anavyowekewa na wasiomtakia mema ikiwepo system.
Mfano,
Walidhani watamshinda kwa hoja bungeni ikashindikana.
Walidhani watamshinda mahakamani kwa makesi ikashindikana.
Wakaona wamuuwe Mungu akakataa ikashindikana.
Wakasema hatarudi nchini amerudi.
Wakasema atakamatwa akitua airport hajakamatwa.
Wakasema hatachaguliwa na chama chake akachaguliwa.
Wakasema hatapewa fomu kwavile Ana kesi mahakamani kapewa fomu.
Na Sasa wanasema hatashinda tumuachie mungu muda utaamua.
Kiufupi maisha ya tundu lisu yanatupa somo kubwa Sana kwenye maisha.
Mungu wala hana mpango na mgombea yeyote amewapa uhuru nyinyi wenyewe muamue ni yupi kati yao atawafaa ili kuepusha mambo ya kumlilialilia bdae, na asitokee mgombea yeyote aseme cjui katumwa na Mungu kuja kuwakomboa watz mara ooh chaguo la Mungu never been, Mungu hanaga hizo shobo.