Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Wamekutana Makao MakuuHuyo Jumne muda wote yuko na Nyalandu......hakika Nyalandu ndio mgombea mteule wa Chadema!
Zanzibar walikuwa wanatafuta wadhamini pamoja!Wamekutana Makao Makuu
HayakuhusuMbona swala la Tundu Lissu linaendeshwa kisanii Sana.
Ni mgombea kweli ama tunajazana upepo tu.
haijakatazwa mkionana kusalimianaZanzibar walikuwa wanatafuta wadhamini pamoja!
Niifagilie saccos mimi? Are u kidding??!shukrani sana kwa kuifagilia Chadema
Afadhali Nyalandu ana hela ya kuzunguka nchi nzima kufanya kampeni sawa na Membe.haijakatazwa mkionana kusalimiana
Kama chama cha machaputa(ccm)Nafikiri wanasaccos watakuwa wamekuelewa!!
Hawa hapa
View attachment 1511129
Mwingine huyu hapa anaitwa Jumbe ni mwakilishi wa Tundu Lissu
View attachment 1511132
Kazi iliyobaki ni kwa Vikao vya chama kukamilisha mchakato .
Mungu ibariki Chadema
Nafikiri wanasaccos watakuwa wamekuelewa!!