Uchaguzi 2020 Tundu Lissu na Lazaro Nyalandu Warejesha fomu za kuomba uteuzi wa kugombea Urais baada kukamilisha kusaka wadhamini

Chama cha upinzani kilichobaki tz niCDM tu. NYU gibe zote ni udanganyifu. Ndiyo maana Ccr na Aztec zilikaribishwa ikulu ila chama kuu likaachwa. Ajabu what was the message kwa wapiga kura ? Kwamba hizi ni ccm b????
 
Nyalandu asome alana za nyakati na kisha amuachie Lissu.
Lissu si ni mzimu jamani au ni mtu? hivi yuko Singida kwao au kuzimu? au mimi ndo sielewi? wazungu wabaya mno wameharibu my mind!! binafsi nachukizwa sana na kujazwa habari zake wakati hayupo bongo na wala haji huku kulala segerea panapomsubiri!! na akiwa huko jela wasiojulikana watamaliza kazi yao!!huku uzunguni hakuna biashara ya kupoteza muda kuzungumzia kivuli cha mzimu kama Lissu!

ukweli mchungu Lissu sasa ni mlemavu na hawezi kufanya kampeni za kukurukakara , mguu wake mmoja ni mfupi kwasasa hana uwezo wa kusimama upright, sasa atawezaje kupiga push ups na kupanda ngazi?
 
Lissu anaweza kuliko Jpm, Nyarandu and Membe all combined.
 
Chama cha upinzani kilichobaki tz niCDM tu. NYU gibe zote ni udanganyifu. Ndiyo maana Ccr na Aztec zilikaribishwa ikulu ila chama kuu likaachwa. Ajabu what was the message kwa wapiga kura ? Kwamba hizi ni ccm b????
Umeongea point. Chama makini hakiwezi kukaribishwa na CCM yaani Malaika na majini wakae pamoja?? Never!
 
Kampeini ya nini kwa Lissu? Lissu akirudi hapa tayari ni kampeini tosha yeye anasubiri kuapishwa tu
Lissu ni noma saana kama wamedhamini kivuli je akirudi itakuwaje??
Kumuona Lissu akiwa hai akiwasha jukwaani ni kampeini tosha!!
Viva Tundu Lissu viva CHADEMA viva Tanzania!!
 
Vipi tena, umeanza matusi
Muislamu safi hujenga hoja.
Jibu swali kwani kula kwa mama ntilie ni matusi, si unapromote wanyonge??

Halafu siku hizi vipi umejoin Lumumba praise team??
Au unajifagilia Uras/ Uded kama Hassani Ngoma??
 
Jibu swali kwani kula kwa mama ntilie ni matusi, si unapromote wanyonge??

Halafu siku hizi vipi umejoin Lumumba praise team??
Au unajifagilia Uras/ Uded kama Hassani Ngoma??
Mimi siyo praise timu, naandika reality.
Hakuna ushindi kwa vyama vya upinzani kama hakuna tume huru. JKT ndiyo watasambazwa nchi nzima kusimamia kura. 90% plus inatafutwa. ushindi wa kishindo. ingawa hata uchaguzi ukifanyika halali kabisa bado anashinda ila siyo kwa kishindo.

Lengo la CCM ni ushindi wa kishindo
 
Unasema sio praise team na unafanya praising hapa. Tutolee uchafu wako hapa. Kwani Omar Al bashir hakusambaza wanajeshi nchi nzima Sudan??? Mwisho wake ulikuwaje??? Kwani Muthalika juzi hakusambaza Askari hapo Malawi??? Mwisho wale ulikuwaje???

Hakuna jiwe litabaki mwaka huu October. Hata muibe kura kiasi gani ila nguvu ya umma inaenda kukataa udhalimu wenu mwaka huu. Amini nakwambia Lissu anaingia Ikulu hapo October 2020.
 
Praise timu inategemea unaimbia wapi, hata wewe huko uliko ni praise timu ya huko. kwa hiyo wote ni praise timu tunaoimbia timu tofauti.
Au wewe hujioni kama ni praise timu ya upande mwingine?

Mazingira ya Sudani na Malawi ni tofauti sana, na ukiendelea kulinganisha hivyo, utasubiri sana hapa Tanzania. Tusubiri Octoba ndiyo utajua Tanzania ni sawa na Sudani na hiyo Malawi au hapana.
 
Endeleeni tu kusema mazingira ya Sudan na Malawi ni tofauti wakati saivi mmeanza kutangaza mchana kweupe tena waziwazi kuwa mtadeal na watu wasiowaunga mkono no matter wako wapi.

CCM hamna ushawishi sasaivi na mnachofanya ni kuikalia hii nchi kimabavu na watanzania sio wajinga mnavyowaona wanawaangalia ila ukweli ni kuwa wamewachoka na wanachosubiri saivi ni mtu wa kuwaongoza tu kuamka na kudai Uhuru wao wa kweli kwa Nguvu ya Umma.

Hamuwezi kutugawa kidini, kikabila na kiitikadi alafu mkabaki salama.Sasa ni wakati wa watanzania kuamka kweli na lazima muachie nchi yetu saivi.
 
lisu kapita ngoja nione atapata ngapi kwenye huu uzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…