Tundu Lissu na "Maslahi yangu kwanza"

Mariam unayejiita ni Mwalimu huko Singida hili limebuma. Hongera kwa kuogeshwa matusi unaayostahili. Humu ndani watu wanajitambua. Sio ofisi ya Chama chako kileeee au bunge lako lileeeee. Wewe ni mpotoshaji mkuu. Habari ya TL na Rais iko televised dunia nzima kwa usahihi wake wewe unajaribu kupotosha. Usijaribu tena tumekusamehe. Leo ijumaa.
 
mleta uzi ni masikini sana na mwenye akili za kimasikini mno zinazowaza uteuzi tu si kingine , yaani hata akili ya kuku ya kuvukia barabara hana kabisaaa, huo ndio ukweli
 
Unaamka na kuanzia kutoa mada kabla huja nawa uso haya ndy madhara yake.sasa bila Lisu nani angemuona Rais,hayo ni yako mpangilio wa alicho anzia hadi mwisho ni yeye,.
 
Lissu ni mtu kazaliwa tu mbishi na mbinafsi. Sasa makamanda ndio mkatafsiri ni mpinzani tangu kuzaliwa. Mumeona katika orodha ya madai kwa rais wa jamhuri karibu yote ni kuhusuu maslahi yake binafsi.
Utasikia posho zangu, mshahara wangu, passport yangu, ulinzi wangu. Etc 😂... eti ndio mtu kuna wapinzani mnamfananisha na mandela? Sikuwahi kusikia mandela akidai kitu binafsi ila kua tayari kuteseka kwa kudai haki. Sio huyu mtu mlaku mbinafsi na muoga kama kunguru. 😂
 
Na hawa wapinzani wa JF kama vile misukule haionagi mabaya ya viongozi wao

Yenyewe ni kutetea tu hata kama ni ushuzi na mimavi yanatetea tu
 
Ulitaka ampe zitto,kubenea,nasari,waitara na wasaliti wengine ili ccm walambwe miguu?
 
Umetumwa we mpuuzi, Unaongea pumba gani?
 
Dada yangu Maryam, ingekuwa ndio wewe umepigwa risasi hizo zote thelasini na., Je ungemuomba nini raisi wa JMT!
Aliporudi hapa na kuzurura kila kona ya nchi mpaka akipiga selfie kwenye mishikaki,nani alimlinda?

Acheni kukuza watu!

Kama ni hivyo...tunayo orodha kubwa sana ya watu wa kulindwa akiwemo na Makonda.
 
Kama wewe ni mwalimu basi watoto wanaosoma hapo hawana tofauti na watu wenye mtindio wa ubongo
 
Mkuu wacha kumtisha kwa lugha kama "usijaribu tena tumekusamehe"
Huyo binti ana haki ya kutoa maoni yake.Kufunga watu midomo na kutoa vitisho ni dalili kwamba hauna nguvu za hoja bali hoja za nguvu.
 
Mimi nilisema zamani humu Lissu sio mwanasiasa mzuri hili la mama ni wazi amemtelekeza Mbowe na kamtelekeza kitambo

Kawakataza wenzake tanzania wasikutane na mama mkutano wa vyama vya upinzani lakini ajabu yeye kaomba kukutana na mama belgium

Lissu si aina nzuri ya kiongozi na mwanasiasa angebaki tu kama mwanasheria wa chama na wakili wa kujitegemea.

Ulipomaliza uchaguz 2020 hakupita ata mkoa mmoja kueleza msimamo wa chama wala shukurani baada yale matokeo aliwaza kurudi belgium kwa style ile ya kutumiwa sms eti anataka kuuliwa
 
LISSU AELEZA MAMBO SABA (7) ALIYOZUNGUMZA NA RAIS SAMIA
1. Ajenda ilikuwa "hali ya siasa ya nchi yetu." mazungumzo yamechukua takribasi saa moja, na mojawapo ya mambo niliyozungumza nae ni juu ya mwenendo wa kesi ya Mbowe

2. Ajenda ya pili ni suala na la vyama vya upinzani kufanya shughuli za kisiasa kwa mujibu wa sheria.

3. Jambo la tatu ni suala la #KatibaMpya na nimemwambia Mh. Rais ana nafasi ya kuhakikisha tunapata #KatibaMpya na anatengeneza mfumo wa kidemokrasia.

4. Ajenda ya nne, ni inayonihusi mimi na wenzangu tuliolazimika kuikimbia nchi yetu sababu ya vitisho. Nimemwambia Rais kwa mamlaka yake, nina haki ya kupatiwa matibabu kwa mujibu wa sheria, na mazingira yanayohusu kuondolewa kwangu @TunduALissu bungeni na kutokulipwa mafao yangu.

5. Nimemwambia Mh. Rais kuwa mimi @TunduALissu ninahitaji kurudi nyumbani, na ninahitaji atoe kauli ya kunikaribisha nyumbani na nitakuwa salama, nimehakikishiwa nitapata hati ya kusafiria, kwa kuwa yangu iliibiwa Ujerumi. Nimewaongelea pia wenzangu @WenjeEzekiah na @godbless_lema

6. Nimemweleza mh. Rais sisi @ChademaTz hatuna wabunge Bungeni kwa kuwa wale wabunge tumewafukuza uanachama. Nimemwomba Mh. Alishughulikie hilo.

7. Ajenda ya mwisho nimemwomba Mh. Rais atuongoze katika kuliponya Taifa kutokana na majeraha tuliyonayo, kwa kutekeleza ahadi yake ya kukutana na viongozi wa vyama vya upinzani.
 
Mkuu ukilindwa na usalama... makamu mwenyekiti wa upinzani una compromize kila kazi za chama...
Dada yangu Maryam, ingekuwa ndio wewe umepigwa risasi hizo zote thelasini na., Je ungemuomba nini raisi wa JMT!
 
kaongelea hoja ya katiba mpya. hapa umekwepa kuiweka
kaongelea hoja ya kesi ya mbowe hapa umekwepa pia kuiweka
kaongelea hoja ya uhuru wa mikutano na kuandamana vyama vya siasa umeikwepa pia.
kwa mtizamo wako hoja ya wabunge 19 ni ya maslahi ya LISU na hizo nilizoainisha hapo juu nazo ni maslahi ya Lisu.

hebu nikuulize ungekuwa wewe umeponea kuuwawa na waliotaka kukuuwa hawajachukuliwa hatua na bado wapo mtaani je ukipata nafasi ya kumweleza mtu mwenye mamlaka yakuweza kukupa uhakika wa ulizi ungeacha kumweleza juu ya hilo.?

ungekuwa wewe ulizulumiwa haki zako na kunamtu anamalaka juu ya kuweza kusababisha upewe haki zako je usingemweleza?
tuache hilo la passport maana yeye ndiye anajua vizingiti alivyokutana navyo na ninajua umenielewa.
swali la kujiuliza ni watanzania wangapi wapo nchini Belgium lakini Rais hakutaka kukutana nao na akataka kukutana na Lisu.
why Lisu? jibu ni kwamba anahoja binafsi kama hizo alizozieleza kwa Rais na anahoja zinazo ligusa Taifa pia anahoja za chama chake na Lisu amegusa nyanja zote hizo.

In short kama Rais alitaka kukaa na kujua kero za chama hakuwa na budi kwenda Belgium kukutana na Lisu angewaita viongozi wa chadema Ikulu magogoni na wangemweleza kero zao hizo unazoziwaza wewe siajabu zisingekuwepo zingekwepo za kitaifa zaidi maana chadema ni chama kikuu cha upinzani.
 
Naona Lisu anataka passport mpya kwa sababu ile yake anayodai imepotea haitaki kwa sababu ya mihuri ile inayoonyesha yeye ni mkimbizi wa kisiasa tumieni akili hapo
 
Kweli Lissu ni mbinafsi sana , katika hoja zake zote alizoongea na raisi hakuna inayomgusa raia wa kawaida moja kwa moja... nilifikir angemueleza kupanda kwa gharama za maisha kwa raia , tozo zisizona kichwa wala miguu nk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…