Tundu Lissu na "Maslahi yangu kwanza"

Wafuasi wa Magufuli bila shaka wamechukia sana kikao hicho yani basi tu hawana namna lakini ndio hivyo maslahi ya nchi lazima yawe juu ya maslahi binafsi za waroho wachache.
Maslahi ya nchi ni tundu Lisu au mwingine tumsubilie?
Yule mwehu wacha akae huko na kushika mabo...ro ya akina Amsterdam na kula miskaki mdo kitu anaweza kwa sasa.
Hawazii maisha ya watu kwa sasa aila ni marupurupu yake tu.
Na kama angekua hana elimu huenda angejua mlinzi tu.

Mnasema elimu yake ni ya kimataifa hatavkibarua cha uwakili huko kakosa?
 
Mwl Maziku,

Wewe sijui hata ni mwalimu gani mjinga sana.

Wewe ulitaka akuombee wewe mshahara wako upande wakati yeye yuko ukimbizini na asitaje maslahi yake kwanza!

Huna adabu kabisa!
 
Nazgur!

Kama huna cha kuandika ni bora ukae kimya tuu kuliko kuandika pumba zako! Kudai haki yake ni kosa gani! Mbulula wewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…