AlP0L0
JF-Expert Member
- Apr 23, 2011
- 6,406
- 4,899
Na wewe upo Ubeligiji?Nipo na lisu....yupo sahihi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wewe upo Ubeligiji?Nipo na lisu....yupo sahihi
Maslahi ya nchi ni tundu Lisu au mwingine tumsubilie?Wafuasi wa Magufuli bila shaka wamechukia sana kikao hicho yani basi tu hawana namna lakini ndio hivyo maslahi ya nchi lazima yawe juu ya maslahi binafsi za waroho wachache.
Mwl Maziku,Na Mwal. Maziku, Singida
Makamanda salaam!
Waswahili wanasema ukistaajabu ya Mussa utaona ya Firauni. Kitendo cha kiongozi wa CHADEMA Ndugu Lissu kutanguliza maombi binafsi kwa Rais ni usaliti mkubwa usio kubarika. Kwa hakika mtu huyu hakustahili kupewa majukumu ya umakamu Mwenyekiti kwani ameonyesha dhamira yake si njema, baadhi ya maombi ni pamoja na ;
1. KUOMBA KULIPWA MISHAHARA YA KIBUNGE, POSHO, NA MALUPULUPU YOTE- Kwa akili ya kawaida huwezi kupinga mtu kudai maslahi yake lakin hoja yangu ni kwanini aweke jambo hili kama kipaumbele akijua fika mahitaji ya chama? Unakumbuka msimamo wetu juu ya posho?
2. ATAFUTIWE PASSPORT YA KUSAFIRIA BAADA YA KUPOTEZA YA AWALI- Kiongozi wa chama cha Upinzani unakutana na Rais unaanza na hoja ya pasi ya kusafiria ? tena uliyoipoteza kwa uzembe ? Yani tabia za kina John Mrema kwenda kulewa pale Triple Seven ndio unaanza kuzionyesha wazi wazi? Ulipoteza vipi ile ya awali?
3. APATIWE ULINZI BINAFSI NA WASAIDIZI WA KUTEMBEA NAO- Hivi kaka Tundu Lissu umekuaje wewe? Umepata fursa ya kipekee kuzungumza na Rais unaweka hili kama kipaumbele? Hili lilipaswa kuwa nje ya majadiliano kaka, aisee aibu naona mimi. Tumbo Tumbo Tumbo!
4. WABUNGE 19 - VITI MAALUM WAONDOLEWE BILA KUFUATA KANUNI- Hili liko wazi wabunge waondelewe baada ya Baraza kuu kukutana na sio kufanya uhuni kutokana na wivu dhidi ya Halima na wenzie. Kaka Lissu wewe hujui kwanini mpaka sasa baraza halijakaa? Umetuangusha sana TL sheria haiko hivyo!
Kama Chama Cha Demokrasia na Maendeleo tusipopata viongozi wazuri huyu Lissu na wenzie wanaojijali wao tu na matumbo yao wataua chama hiki. Sasa nimeelewa kwanini Kamanda Mbowe hataki kumpa mtu mwingine kiti, wengi wabinafsi na Tundu Lissu ni mmoja wao.
Nazgur!Maslahi ya nchi ni tundu Lisu au mwingine tumsubilie?
Yule mwehu wacha akae huko na kushika mabo...ro ya akina Amsterdam na kula miskaki mdo kitu anaweza kwa sasa.
Hawazii maisha ya watu kwa sasa aila ni marupurupu yake tu.
Na kama angekua hana elimu huenda angejua mlinzi tu.
Mnasema elimu yake ni ya kimataifa hatavkibarua cha uwakili huko kakosa?