Uchaguzi 2020 Tundu Lissu na mwamko mpya kiushawishi

Hakuna cha vurugu wala nini maana Magufuli atashinda tuuu
Wewe Ruttashobolwa ni nani hadi useme hivyo wakati Kakulu mwenyewe amesikika wiki hii akitamkia rafiki zake kuwa sasa ni vema kuhamia plan B maana mambo magumu.

Bahati mbaya plan B hawakuwa nayo kwani walijiamini kuwa hata kampeni haikuhitajika. Wamenunua mandege, flyover wamejenga, REA, bwawa LA umeme, SGR nk lakini wapi! Wananchi wanawakataa peupe.

Mfano Leo ghafla wasanii wote wazue sababu ya kizushi eitha ugonjwa au lolote na hawawezi kuhudhuria mikutano yenu basi kwisha kazi.
 
Hivi mbona sijasikia hoja ya viwanda kutoka kwa ccm. Viwanda vyoooote walivyovijenga kwa miaka 5 hawataki hata kuvisemea kuwa wataviboresha? Siyo haki kabisa.
Hii Sera ya viwanda kama uliifatilia utekelezaji wake hasa kipindi cha Mwijage, wenye akili zetu tulijua itakufa kifo cha asili kabla ya 2020 na hakika yametimia!!
 
Wakuu,

Kampeni za uchaguzi zinaendelea na kwasababu ya mabadiliko makubwa ya kiushawishi ya Tundu Lissu yanayomfanya ajipatie mashabiki kwa kasi ambayo wengi (ikiwemo mimi) hatukutegemea, nimeona niandike machache kwanini anafanikiwa;

1) Lissu alianza vibaya kampeni kwa hotuba zake kujaa hoja za kiharakati ambazo haziongezi kura. Mashambulizi binafsi kwa mgombea wa CCM yalijaa jeuri isiyojenga wala kuongeza kura hivyo kuonekana na umma kama mwanaharakati zaidi ya amri jeshi mkuu mtarajiwa.

2) Hoja namba moja ndio kiini cha Lissu kujirekebisha na kubadili upepo wa kampeni. Lissu akaanza kuacha kumzungumzia sana mgombea wa CCM na kujikita kwenye shida za watu.

3) Chadema wametafiti na kutambua maeneo ambayo hayajafanyiwa kazi na kujikita huko kuliko kuponda tu miradi ambayo hoja yao imekuwa haieleweki na wananchi wengi. Sasa Lissu anazungumza habari za bei ya Cement, kupandisha mishahara, Fao la kujitoa n.k

4) Lissu ameanza kuheshimu vyombo vya dola na hata leo amewasifia. Hii ni mbinu ya kuwachota kisaikolojia askari na watumishi wengine ili wapate ushirikiano wao kikamilifu. Nafikiri hii itazidi kumuongezea wafuasi maana anajipambanua kama Amri Jeshi mkuu mtarajiwa.

5) Pamoja na ukubwa wa CCM lakini uchaguzi huu wana tatizo kubwa kupangua hoja kwenye maeneo ambayo hawakufanya vizuri. Kwanza wanaonesha hawajui vision ya mgombea wao toka alipoingia madarakani. JPM amefanya kazi nzuri sana lakini kuna maeneo hakufanya vizuri na lazima wajipange kutoa majibu ya wazi maana Chadema wamejikita huko.

6) Kwa ujumla tulitegemea kampeni zitazotawaliwa na CCM kutokana na upinzani kuwa nusu kaputi kwa muda mrefu lakini Lissu amebadili upepo na kufanya tushuhudie moja ya uchaguzi ambao hoja ndio zitazotawala na kutoa fursa kwa wananchi kuamua yupi atawafaa.

7) Pia mnyonge mnyongeni haki yake apewe. JPM anakwenda kuandika historia ya kuendesha uchaguzi kistaarabu bila vurugu tulizoshuhudia chaguzi zilizopita. Kwasababu wengi tunasahau lakini chaguzi zilizopita ziligubikwa na mengi. Pamoja na mapungufu machache lakini kampeni zinakwenda vyema na tuendelee kuomba hali ibaki hivi hadi mwisho.

Hakika Tundu A. Lissu amebadili upepo na kuleta ladha halisi ya kampeni za ushindani kihoja.

Asanteni,
MTAZAMO.
Mtakubali tu. Tangu Lini wewe ukamsfifia Tundu Lissu. Naona umeanza kwa mbaali unazunguka zunguka tu.
 
namba 7 ni uongo wa bila aibu , fuatilia kupitishwa bila kupingwa kwa Kasimu Majaliwa na Nape Nnauye , ukishaujua ukweli utarudi hapa kuomba radhi , uchafu uliofanyika Morogoro ikiwemo mlimba na kilombero , huku ikilazimishwa kunambi awe mbunge ndio sifa za Kumpa Magufuli hizo ?
 
Watz walikata tamaa na wengi kuapa kutopiga kura kutokana na uhuni uliofanyika chaguzi za serikali za mitaa ambae mwasisi wake Ni yule mgombea aliyewahi jipitisha bila kupingwa baada ya ujio la Lisu Hali ya wengi kunoa vichinjio imeongezeka maradufu.
Sikuwahi piga kura maisha lkn kwa msoto huu October mapema Ni mwendo wa kulisambaratisha jiwe ili lisiumize watu tena
 
Wakuu,

Kampeni za uchaguzi zinaendelea na kwasababu ya mabadiliko makubwa ya kiushawishi ya Tundu Lissu yanayomfanya ajipatie mashabiki kwa kasi ambayo wengi (ikiwemo mimi) hatukutegemea, nimeona niandike machache kwanini anafanikiwa;

1) Lissu alianza vibaya kampeni kwa hotuba zake kujaa hoja za kiharakati ambazo haziongezi kura. Mashambulizi binafsi kwa mgombea wa CCM yalijaa jeuri isiyojenga wala kuongeza kura hivyo kuonekana na umma kama mwanaharakati zaidi ya amri jeshi mkuu mtarajiwa.

2) Hoja namba moja ndio kiini cha Lissu kujirekebisha na kubadili upepo wa kampeni. Lissu akaanza kuacha kumzungumzia sana mgombea wa CCM na kujikita kwenye shida za watu.

3) Chadema wametafiti na kutambua maeneo ambayo hayajafanyiwa kazi na kujikita huko kuliko kuponda tu miradi ambayo hoja yao imekuwa haieleweki na wananchi wengi. Sasa Lissu anazungumza habari za bei ya Cement, kupandisha mishahara, Fao la kujitoa n.k

4) Lissu ameanza kuheshimu vyombo vya dola na hata leo amewasifia. Hii ni mbinu ya kuwachota kisaikolojia askari na watumishi wengine ili wapate ushirikiano wao kikamilifu. Nafikiri hii itazidi kumuongezea wafuasi maana anajipambanua kama Amri Jeshi mkuu mtarajiwa.

5) Pamoja na ukubwa wa CCM lakini uchaguzi huu wana tatizo kubwa kupangua hoja kwenye maeneo ambayo hawakufanya vizuri. Kwanza wanaonesha hawajui vision ya mgombea wao toka alipoingia madarakani. JPM amefanya kazi nzuri sana lakini kuna maeneo hakufanya vizuri na lazima wajipange kutoa majibu ya wazi maana Chadema wamejikita huko.

6) Kwa ujumla tulitegemea kampeni zitazotawaliwa na CCM kutokana na upinzani kuwa nusu kaputi kwa muda mrefu lakini Lissu amebadili upepo na kufanya tushuhudie moja ya uchaguzi ambao hoja ndio zitazotawala na kutoa fursa kwa wananchi kuamua yupi atawafaa.

7) Pia mnyonge mnyongeni haki yake apewe. JPM anakwenda kuandika historia ya kuendesha uchaguzi kistaarabu bila vurugu tulizoshuhudia chaguzi zilizopita. Kwasababu wengi tunasahau lakini chaguzi zilizopita ziligubikwa na mengi. Pamoja na mapungufu machache lakini kampeni zinakwenda vyema na tuendelee kuomba hali ibaki hivi hadi mwisho.

Hakika Tundu A. Lissu amebadili upepo na kuleta ladha halisi ya kampeni za ushindani kihoja.

Asanteni,
MTAZAMO.
Alichofanya ni kutumia mbinu ya mkulima kwenye pori jipya
Kwanza alilifyeka lote
Pili akachoma moto marundo ya mabaki ya miti na vichaka
Tatu akaingiza trekta kulima
Sasa ni wakati wa kupata
Mwezi ujao utakuwa palizi na mwishowe MAVUNO
 
Mkuu rudi kura yako kwa tundu lissu tupate mabadiliko ya kweli 2015 nilimpa kura jiwe baada ya mgombea wa chadema kutotosha ila kwasasa tuchague mabadiliko ya kweli
 
Upinzani ukishinda majimbo yote wagombea waliopita bila kupingwa kwa sababu ya kuenguliwa wagombea wengine uchaguzi utarudiwa
Ila usisahau ushenzi wa kuengua wapinzani hakuna haki kabisa hapo. Pia wizi mkubwa utakuwepo jiwe ameshaapa lazima ashinde hata kama hatumpi kura.
 
Mtakubali tu. Tangu Lini wewe ukamsfifia Tundu Lissu. Naona umeanza kwa mbaali unazunguka zunguka tu.
Hata wewe umemgundua eeh,huyu jamaa mnafiki balaa,anona Lissu anafanya viZuri anaanza kutengeneza mazingira ya kumkubali,na anatuandaa kisaikolojia kua hayuko upande wowote.jamaa Ni mnafiki hatari.

Sasa alitaka Lisu aseme mambo you siku ya kwanza tu.
Lissu Sasa ameshika Kasi.
Jamaa ndio anajifanya kushauri "mfyuuu".
 
Alichofanya ni kutumia mbinu ya mkulima kwenye pori jipya
Kwanza alilifyeka lote
Pili akachoma moto marundo ya mabaki ya miti na vichaka
Tatu akaingiza trekta kulima
Sasa ni wakati wa kupata
Mwezi ujao utakuwa palizi na mwishowe MAVUNO
Lakini pia kazungukwa na watu bora maana hofu yetu toka mwanzo ni kama wataweza kum handle na kum shape ili azungumze kama Rais mtarajiwa na si kiharakati.

Kwakweli Chadema wanastahili pongezi kwa kazi waliyofanya.
 
Mtu ukiwa umemiss kupata likes hapa JF wewe andika tu lolote kuhusu Chadema na mgombea wake hakika utapata likes za kutosha ila in reality they mean nothing.

Ukija huku mtaani hali ni tofauti kabisa, hakuna likes bali unakutana na uhalisia wa namna Rais Magufuli alivyojijengea heshima katika jamii yetu.
 
Wakuu,

Kampeni za uchaguzi zinaendelea na kwasababu ya mabadiliko makubwa ya kiushawishi ya Tundu Lissu yanayomfanya ajipatie mashabiki kwa kasi ambayo wengi (ikiwemo mimi) hatukutegemea, nimeona niandike machache kwanini anafanikiwa;

1) Lissu alianza vibaya kampeni kwa hotuba zake kujaa hoja za kiharakati ambazo haziongezi kura. Mashambulizi binafsi kwa mgombea wa CCM yalijaa jeuri isiyojenga wala kuongeza kura hivyo kuonekana na umma kama mwanaharakati zaidi ya amri jeshi mkuu mtarajiwa.

2) Hoja namba moja ndio kiini cha Lissu kujirekebisha na kubadili upepo wa kampeni. Lissu akaanza kuacha kumzungumzia sana mgombea wa CCM na kujikita kwenye shida za watu.

3) Chadema wametafiti na kutambua maeneo ambayo hayajafanyiwa kazi na kujikita huko kuliko kuponda tu miradi ambayo hoja yao imekuwa haieleweki na wananchi wengi. Sasa Lissu anazungumza habari za bei ya Cement, kupandisha mishahara, Fao la kujitoa n.k

4) Lissu ameanza kuheshimu vyombo vya dola na hata leo amewasifia. Hii ni mbinu ya kuwachota kisaikolojia askari na watumishi wengine ili wapate ushirikiano wao kikamilifu. Nafikiri hii itazidi kumuongezea wafuasi maana anajipambanua kama Amri Jeshi mkuu mtarajiwa.

5) Pamoja na ukubwa wa CCM lakini uchaguzi huu wana tatizo kubwa kupangua hoja kwenye maeneo ambayo hawakufanya vizuri. Kwanza wanaonesha hawajui vision ya mgombea wao toka alipoingia madarakani. JPM amefanya kazi nzuri sana lakini kuna maeneo hakufanya vizuri na lazima wajipange kutoa majibu ya wazi maana Chadema wamejikita huko.

6) Kwa ujumla tulitegemea kampeni zitazotawaliwa na CCM kutokana na upinzani kuwa nusu kaputi kwa muda mrefu lakini Lissu amebadili upepo na kufanya tushuhudie moja ya uchaguzi ambao hoja ndio zitazotawala na kutoa fursa kwa wananchi kuamua yupi atawafaa.

7) Pia mnyonge mnyongeni haki yake apewe. JPM anakwenda kuandika historia ya kuendesha uchaguzi kistaarabu bila vurugu tulizoshuhudia chaguzi zilizopita. Kwasababu wengi tunasahau lakini chaguzi zilizopita ziligubikwa na mengi. Pamoja na mapungufu machache lakini kampeni zinakwenda vyema na tuendelee kuomba hali ibaki hivi hadi mwisho.

Hakika Tundu A. Lissu amebadili upepo na kuleta ladha halisi ya kampeni za ushindani kihoja.

Asanteni,
MTAZAMO.
Hoja za lissu zinaushawishi mkubwa Sana jiwe jabaki hoi na jeuri yake
 
Attachments

  • Kwa Ndugai na Magufuli Nyerere alitaka Uhuru wa Ushoga_ Pumbavu ( 352 X 640 ).mp4
    5.1 MB
Back
Top Bottom