Uchaguzi 2020 Tundu Lissu na Salamu za Krismas: Mwaka 2020 ulikuwa mwaka mgumu na wenye machungu mengi kwa nchi na wananchi wetu

Ni mawazo tu.
 
Lissu ni mwanasheria, ila inaonekana hajui maana ya "power". Atapata tabu sana na mwisho kama si yeye kizazi chake kitaomba poo.
 
Mdomo wake umejaa matusi, hana maadali ya kikristo huyo labda kama ametubu. Amemdhalilisha sana Rais wetu, hana tofauti na Lucifer aliyewaaminisha malaika kuwa angepindua utawala wa Mungu.
Hivyo wenye maana ni waliojaribu kuutoa uhai wake.
 
Ndio nalimuona akiwashangaa watu Kama nyie mlio na macho na hamuona Wala masikio na hamsikii.

Nami nakuuliza, Ulimuona Wapi masihi akisherekea au kuweka kumbukizi ya kuzaliwa kwake kwa kipindi chote Cha zaidi ya miaka 30 alizoishi dunian?
Acha kumbwelambwela jibu swali!
 
ujinga na upagani
Haya maneno yalikuwa ni SILAHA waliyotumia wakoloni ili kutudidimiza na kutuingizia sumu ya dini zao.

Kiuhalisia mababu zetu walikuwa na dini zao zilizoheshimika na hawakuwa wajinga kama walivyoitwa.
Soma historia ya mababu zetu utajua zaidi.
 

Uanaharakati ni kutokuwa kondoo kwa serikali, lakini ukikubali ukondoo kwa serikali ww ni mwanasiasa!
 
Hata Yesu Mwana wa Mungu alikataliwa na wahuni na akahukumiwa kiharamu kifo cha aibu na fedheha msalabani lakini mwisho ushindi ulikuwa wake baada ya kufufuka siku ya tatu na kuwaacha adui zake midomo wazi na wakikiri Umungu wake hadharani.

Wewe ni mfano wa hao maharamia wa wakati wa Yesu!!?

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Huyo Tundu Mungu alishamtapika... mwacheni ahangaike
We lavu Joni wetu, Joni is humble, Joni is our chosen one
Your browser is not able to display this video.
 
Lisu kwisha habari yake.
Apewe na urai kabisa wa Ubelgiji atuondokee.
 
Akili sijui ulipeleka wapi we mzee! Au uliugua maradhi yaliyoleta hitlafu kwenye ubongo wako? Huyu sio Kichuguu wa JF tunayemjua mwenye reasoning ya juu sana!
 
Hivi unajua heshima ya mtu wenu huko nje na anavyo kejeliwa? View attachment 1658753
Wakati nchi yetu ilikuwa ikisifiwa huko nje na mabeberu huku ndani walikua wakitufilisi. Kwa Sasa tunashuhudia jinsi tulivyokua tunasifiwa na Mabeberu kumbe ndio mwanya walikua wakiutumia kutunyonya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…