Hahahaaa unaweweseka tu nchi yetu iko poa Rais wetu ana afya njema...ww uliekimbia kivuli chako endelea sisi tuko poa karibu ule xmass na nyama za punda ziko poa sana sanaSasa ni dhahiri Tundu Lissu ni Mcha Mungu.
==========
TUNDU LISSU: Ndugu wananchi wa Tanzania, tumsifu Yesu Kristo, Bwana asifiwe, mwanakondoo ameshinda, Assalam Aleykum Warahmatullah Wabarakatuh. Kesho ni sikukuu ya Noeli kwa wale wote wanaoamini katika dini ya Ukristo.
Kwa wakristo wote, Noeli ni sikukuu ya kuzaliwa kwa mwokozi wetu yesu Kristo aliyetolewa na Mungu kama yanavyosema maneno ya kitabu cha Yohana aya ya tatu mstari wa 16 'Ili kila mtu amuaminiye asipotee bali awe na uzima wa milele'.
Sikukuu hii inatukumbusha kuhusu moyo wa kutoa na moyo wa kusamehe kwa sababu kama yanavyosema maandiko matakatifu, Yesu Kristo alizaliwa ili wote wanaomuamini wasemehewe. Katika kalenda ya Kikristo hii ndio siku ya furaha na sherehe kuliko nyingine zote lakini Krismas ni zaidi ya siku ya furaha na sherehe.
Ni siku pia ya kuwakumbuka na kuwasaidia wale wote walio na shida na matatizo mbalimbali, Mwinjilisti Ruth aliwahi kusema "Krismas ni krismas kweli tunaposheherekea kwa kuwapa mwanga wa upendo wale wanaouhitaji zaidi" Wapo wengi wanaohitaji mwanga huu wa upendo katika nchi yetu ya Tanzania katika kipindi hiki cha Noeli.
Mwaka 2020 ulikuwa mwaka mgumu na wenye machungu mengi kwa nchi yetu na kwa wananchi wetu, wote tulishuhudia haki yetu ya kuchagua viongozi tunaowataka ikipokwa kwa mtutu wa bunduki na kwa kutumia vyombo vya usimamizi wa uchaguzi na vya serikali visivotenda haki sawasawa, wapo ambao ndugu zao waliuawa au waliojeruhiwa na kulemazwa wakati wa uchaguzi mkuu na hata kabla ya hapo.
Wapo waliokamatwa na kustakiwa au wanaoendelea kushkiliwa magerezani au kwenye vituo vya polisi kwa tuhuma za uongo, uonevu na kwa sababu za kisisasa.
Wapo pia ambao wamefukuzwa kazi, wamebomolewa nyumba au kuharibiwa biashara zao au kunyang'anywa pesa na mali zao kwa madai ya uongo ya ukwepaji kodi au kwa tuhuma zisizo za kweli za uhujumu uchumi au utakatishaji fedha.
Wengine kama mimi mwenyewe wamelazimika kuikimbia nchi yetu kwa sababu ya njama na vitisho vya mauaji dhidi yao. Aidha, wapo kwa mamilioni mengi wanaosononeka kimya kimya kwasababu ya kutokupatiwa ajira au kkwa kutolipwa mishahara au pensheni zao halali au kwa kutotendewa haki zao nyingine mbalimbali.
Kwa wote hawa wenye njaa na kiu ya haki, ujumbe wangu wa Krismas ni uleule alioueleza mwandishi wa riwaya wa kimarekani, Taylor Caldwell, "Hatuko peke yetu, hata usiku unapokuwa wa giza zaidi au upepo wa baridi kali au ulimwengu unapoonekana kutokujali kabisa" Hatuko peke yetu, kwahiyo tusivunjike moyo au kukata tamaa, wiki ijayo katika salamu zangu za mwaka mpya nitawazungumza kwa kirefu kidogo juu ya maswala haya na mengine mengi na juu ya majukumu yetu kwa mwaka ujao kuhusu nchi yetu.
Nawatakieni sikukuu ya Noeli yenye furaha
View attachment 1658577
Tanzania ya Jf na twitter.Ungesema Mheshimiwa Rais halali wa Tanzania ametutakia krismas njema
👉Wanalia wajinga na wanaotaka kushindana na serikali ilihali wanajua kabisa hawana nguvu yoyote ile. Wasiotaka kufanya kazi na kujishughulisha kisa wana vidigree uchwara.Lucifer ni huyu tulie nae kwa sasa ambae ameifanya nchi hii imekua ya ovyo, kila mmoja analia si vijana, wazee, wakina mama na watoto. Kazi yake ni ubabe na kuua ndicho huyu Lucifer alichotumwa.
Uko sahihi...tupo tofauti kimawazo...hii ndiyo demokrasia...kwa hiyo kwangu Mimi huyo Lissu ni mnafiki mkubwa, Kibaraka na rafiki yake shetani....wewe na watu wengine ambao ni wachache mnamuona huyo Lissu ni shujaa...sawa tu...kwangu Mimi huyo Lissu ni mtu wa hovyo kabisa...halafu ni mwongo mkubwa...Punguza mnkari. Kutofautiana kimaono na itikadi ndiyo afya na maendeleo ya kijamii. Watu wengine wanamwona TL ni shujaa na tegemeo lao bali maCCM wanamuona ni shetani. "Co-existence of the opposites is a law of social development". Ndiyo maana tuna dini nyingi hapa duniani ili ku-comply na kanuni hii ya maisha. Punguza mnkari.
Zandiki ni lile dude unalolisujudia, Tundu Lissu ni mtu mwema rais halali wa nchi hiiTangu lini 'mshitaki wa watu wa Mungu' (shetani) akawa mcha Mungu na kuwatakia watu kheri ya Krismas? Makubwa haya!
Aliwadanganya Adam na Eva kwa kujifanya ni malaika wa nuru, kumbe hakuna lolote.
Mwambie tumeshituka, hatudanganyiki na salamu za kizandiki.
Wewe ni shetwaini kabisaaaUko sahihi...tupo tofauti kimawazo...hii ndiyo demokrasia...kwa hiyo kwangu Mimi huyo Lissu ni mnafiki mkubwa, Kibaraka na rafiki yake shetani....wewe na watu wengine ambao ni wachache mnamuona huyo Lissu ni shujaa...sawa tu...kwangu Mimi huyo Lissu ni mtu wa hovyo kabisa...halafu ni mwongo mkubwa...
Kama huna hoja jilie tu hilo pilau la bure kwa shemeji yako .👉Wanalia wajinga na wanaotaka kushindana na serikali ilihali wanajua kabisa hawana nguvu yoyote ile. Wasiotaka kufanya kazi na kujishughulisha kisa wana vidigree uchwara.
👉Watu wasiotaka kukubaliana na hali halisi ya maisha yao ,ambao kuliko wanunue chakula cha 1000 kwao ni bora wanunue bando ili washinde Jf na twitter kuweka hashtags😀.
👉Wanaomiliki iphone za 700K hadi 3.5M na bado wanalili akira na kukosa mitaji.
👉Hata alieandika huu uzi nae ni mjinga na mpumbavu vilevile.
Wewe ni shetani kunizidi Bila shakaWewe ni shetwaini kabisaaa
kwako wewe huyu anayeua watz wanaomkosoa kwa kutumia haki yao ya kikatiba ndiye mtu wa Mungu eeh?!.Huyu ni shetani au Ndugu yake shetani..
Mnafiki mkubwa huyu....unaiombea nchi mabaya halafu unajidai unatoa salaam eti kwa Watanzania wote...Binafsi Sina haja na salaam zake...yaani wanaCCM huwa anawaita MaCCM kwa kejeli na chuki halafu eti anawatakia Christmas's njema...
Home sweet home. Amsterdam yuko kwao yeye anaishi kwa fadhira tu. Rudi nyumbani usiteseke kama mzee KambonaAshachuja huyu, atulie na bwana wake Amsterdam, zile ongea zake za kejeli na dharua zimekufa kifo cha asili pia.
Ungesema Mheshimiwa Rais halali wa Tanzania ametutakia krismas njema
What is Kitabu cha YohanaSasa ni dhahiri Tundu Lissu ni Mcha Mungu.
==========
TUNDU LISSU: Ndugu wananchi wa Tanzania, tumsifu Yesu Kristo, Bwana asifiwe, mwanakondoo ameshinda, Assalam Aleykum Warahmatullah Wabarakatuh. Kesho ni sikukuu ya Noeli kwa wale wote wanaoamini katika dini ya Ukristo.
Kwa wakristo wote, Noeli ni sikukuu ya kuzaliwa kwa mwokozi wetu yesu Kristo aliyetolewa na Mungu kama yanavyosema maneno ya kitabu cha Yohana aya ya tatu mstari wa 16 'Ili kila mtu amuaminiye asipotee bali awe na uzima wa milele'.
Sikukuu hii inatukumbusha kuhusu moyo wa kutoa na moyo wa kusamehe kwa sababu kama yanavyosema maandiko matakatifu, Yesu Kristo alizaliwa ili wote wanaomuamini wasemehewe. Katika kalenda ya Kikristo hii ndio siku ya furaha na sherehe kuliko nyingine zote lakini Krismas ni zaidi ya siku ya furaha na sherehe.
Ni siku pia ya kuwakumbuka na kuwasaidia wale wote walio na shida na matatizo mbalimbali, Mwinjilisti Ruth aliwahi kusema "Krismas ni krismas kweli tunaposheherekea kwa kuwapa mwanga wa upendo wale wanaouhitaji zaidi" Wapo wengi wanaohitaji mwanga huu wa upendo katika nchi yetu ya Tanzania katika kipindi hiki cha Noeli.
Mwaka 2020 ulikuwa mwaka mgumu na wenye machungu mengi kwa nchi yetu na kwa wananchi wetu, wote tulishuhudia haki yetu ya kuchagua viongozi tunaowataka ikipokwa kwa mtutu wa bunduki na kwa kutumia vyombo vya usimamizi wa uchaguzi na vya serikali visivotenda haki sawasawa, wapo ambao ndugu zao waliuawa au waliojeruhiwa na kulemazwa wakati wa uchaguzi mkuu na hata kabla ya hapo.
Wapo waliokamatwa na kustakiwa au wanaoendelea kushkiliwa magerezani au kwenye vituo vya polisi kwa tuhuma za uongo, uonevu na kwa sababu za kisisasa.
Wapo pia ambao wamefukuzwa kazi, wamebomolewa nyumba au kuharibiwa biashara zao au kunyang'anywa pesa na mali zao kwa madai ya uongo ya ukwepaji kodi au kwa tuhuma zisizo za kweli za uhujumu uchumi au utakatishaji fedha.
Wengine kama mimi mwenyewe wamelazimika kuikimbia nchi yetu kwa sababu ya njama na vitisho vya mauaji dhidi yao. Aidha, wapo kwa mamilioni mengi wanaosononeka kimya kimya kwasababu ya kutokupatiwa ajira au kkwa kutolipwa mishahara au pensheni zao halali au kwa kutotendewa haki zao nyingine mbalimbali.
Kwa wote hawa wenye njaa na kiu ya haki, ujumbe wangu wa Krismas ni uleule alioueleza mwandishi wa riwaya wa kimarekani, Taylor Caldwell, "Hatuko peke yetu, hata usiku unapokuwa wa giza zaidi au upepo wa baridi kali au ulimwengu unapoonekana kutokujali kabisa" Hatuko peke yetu, kwahiyo tusivunjike moyo au kukata tamaa, wiki ijayo katika salamu zangu za mwaka mpya nitawazungumza kwa kirefu kidogo juu ya maswala haya na mengine mengi na juu ya majukumu yetu kwa mwaka ujao kuhusu nchi yetu.
Nawatakieni sikukuu ya Noeli yenye furaha
View attachment 1658577
Wewe una sifa zote za uropokaji na uzushi...halafu Sina Shaka kabisa kuwa hata uwezo wako wa kuchambua Mambo ni wa kiwango Cha chini kabisa...na hata katiba yenyewe sidhani Kama uliwahi kuisoma achilia mbali hata kuiona katiba hiyo...kwako wewe huyu anayeua watz wanaomkosoa kwa kutumia haki yao ya kikatiba ndiye mtu wa Mungu eeh?!.
Aidha, wapo kwa mamilioni mengi wanaosononeka kimya kimya kwasababu ya kutokupatiwa ajira au kkwa kutolipwa mishahara au pensheni zao halali au kwa kutotendewa haki zao nyingine mbalimbali.Sasa ni dhahiri Tundu Lissu ni Mcha Mungu.
==========
TUNDU LISSU: Ndugu wananchi wa Tanzania, tumsifu Yesu Kristo, Bwana asifiwe, mwanakondoo ameshinda, Assalam Aleykum Warahmatullah Wabarakatuh. Kesho ni sikukuu ya Noeli kwa wale wote wanaoamini katika dini ya Ukristo.
Kwa wakristo wote, Noeli ni sikukuu ya kuzaliwa kwa mwokozi wetu yesu Kristo aliyetolewa na Mungu kama yanavyosema maneno ya kitabu cha Yohana aya ya tatu mstari wa 16 'Ili kila mtu amuaminiye asipotee bali awe na uzima wa milele'.
Sikukuu hii inatukumbusha kuhusu moyo wa kutoa na moyo wa kusamehe kwa sababu kama yanavyosema maandiko matakatifu, Yesu Kristo alizaliwa ili wote wanaomuamini wasemehewe. Katika kalenda ya Kikristo hii ndio siku ya furaha na sherehe kuliko nyingine zote lakini Krismas ni zaidi ya siku ya furaha na sherehe.
Ni siku pia ya kuwakumbuka na kuwasaidia wale wote walio na shida na matatizo mbalimbali, Mwinjilisti Ruth aliwahi kusema "Krismas ni krismas kweli tunaposheherekea kwa kuwapa mwanga wa upendo wale wanaouhitaji zaidi" Wapo wengi wanaohitaji mwanga huu wa upendo katika nchi yetu ya Tanzania katika kipindi hiki cha Noeli.
Mwaka 2020 ulikuwa mwaka mgumu na wenye machungu mengi kwa nchi yetu na kwa wananchi wetu, wote tulishuhudia haki yetu ya kuchagua viongozi tunaowataka ikipokwa kwa mtutu wa bunduki na kwa kutumia vyombo vya usimamizi wa uchaguzi na vya serikali visivotenda haki sawasawa, wapo ambao ndugu zao waliuawa au waliojeruhiwa na kulemazwa wakati wa uchaguzi mkuu na hata kabla ya hapo.
Wapo waliokamatwa na kustakiwa au wanaoendelea kushkiliwa magerezani au kwenye vituo vya polisi kwa tuhuma za uongo, uonevu na kwa sababu za kisisasa.
Wapo pia ambao wamefukuzwa kazi, wamebomolewa nyumba au kuharibiwa biashara zao au kunyang'anywa pesa na mali zao kwa madai ya uongo ya ukwepaji kodi au kwa tuhuma zisizo za kweli za uhujumu uchumi au utakatishaji fedha.
Wengine kama mimi mwenyewe wamelazimika kuikimbia nchi yetu kwa sababu ya njama na vitisho vya mauaji dhidi yao. Aidha, wapo kwa mamilioni mengi wanaosononeka kimya kimya kwasababu ya kutokupatiwa ajira au kkwa kutolipwa mishahara au pensheni zao halali au kwa kutotendewa haki zao nyingine mbalimbali.
Kwa wote hawa wenye njaa na kiu ya haki, ujumbe wangu wa Krismas ni uleule alioueleza mwandishi wa riwaya wa kimarekani, Taylor Caldwell, "Hatuko peke yetu, hata usiku unapokuwa wa giza zaidi au upepo wa baridi kali au ulimwengu unapoonekana kutokujali kabisa" Hatuko peke yetu, kwahiyo tusivunjike moyo au kukata tamaa, wiki ijayo katika salamu zangu za mwaka mpya nitawazungumza kwa kirefu kidogo juu ya maswala haya na mengine mengi na juu ya majukumu yetu kwa mwaka ujao kuhusu nchi yetu.
Nawatakieni sikukuu ya Noeli yenye furaha
View attachment 1658577
sawa mlamba viatu vya watawalaWewe una sifa zote za uropokaji na uzushi...halafu Sina Shaka kabisa kuwa hata uwezo wako wa kuchambua Mambo ni wa kiwango Cha chini kabisa...na hata katiba yenyewe sidhani Kama uliwahi kuisoma achilia mbali hata kuiona katiba hiyo...
Kwani na wewe umempotezea ?Hii ndo Uzi wa kwanza wa Tundu Lisu kupotezewa hapa JF, yaani mpaka leo hii una kurasa 4 tu ? Pole sana Tundu, ...