Uchaguzi 2020 Tundu Lissu na Salamu za Krismas: Mwaka 2020 ulikuwa mwaka mgumu na wenye machungu mengi kwa nchi na wananchi wetu

sawa.. mwambie tumepokea salamu.. ila atusalimie kwa French siku ingine.. hajajifunza ya nchi yake mupya? au tutachangishana ajifunze.. 😀
Maana 'kibelgiji'/ dutch simasihara kwa mutu ka Antipasu, mutu ya ujanja ujanja!
 
Mimi siwezi mpotezea Tundu Lisu, ndo maana nimekuja kumpa tafu ili angalau tujaze kurasa, usisahahu kunijibu ili nikujibu angalau tufike mbali kidogo, ...
umasikini ni aibu sana ! unataka ujibiwe ili ujaze kurasa ili iweje ? ni hivi , tunapoweka nyuzi hapa jf hatutegemei mtu duni kama wewe kuchangia , halafu mnajipendekeza tu , mbona mimi sihangaiki na nyuzi za kijinga za ccm zinazoletwa hapa ,wewe unashindwa nini ?
 

Angalau tusogeze uzi wa Tundu Lisu, siyo vizuri wanavyompotezea, nashindwa nini kufanya nini ?
 
Wakati nchi yetu ilikuwa ikisifiwa huko nje na mabeberu huku ndani walikua wakitufilisi. Kwa Sasa tunashuhudia jinsi tulivyokua tunasifiwa na Mabeberu kumbe ndio mwanya walikua wakiutumia kutunyonya.
Kuna akili kidogo ya kufikirisha hapo! Wakati huo hao mabeberu wakitufilisi (kama mnavyo aminisha wajinga) mbona maisha yalikuwa ya nafuu na kiwango cha furaha kwa Mtanzania kilikuwa juu?
Hizi propaganda za kijinga mtaziacha lini?

 
Shetani hawezi kuwatakia watu wa Mungu kheri ya Krismas. Ujumbe ndio huo
Hapa Tanzania shetani ni yule atoaye salaam na kuwatakia Heri Wananchi wenzake ama yule abebaye vyombo vya kukusanyia sadaka bila kustahili?
Protocol ya kanisa na Taifa zinavurugwa wazi wazi,nasi tunashangilia kama mazuzu.Sifahamu Watanzania wamepatwa na nini hasa?
 
Utazidi kuchakaa huku siku zinakwenda.
Mtachakaa nyie ambao hadi makanisani mnafanya comedi ya kukusanya mapato (sadaka) na makamera kumikumi.
Nchi imewashinda hadi wanao wajengea vyoo (sehemu za kujisaidia) mnawaita mabeberu bila hata aibu! Hata wale walio fungiwa pale Mirembe sio ajabu wanashangaa hivi hawa walio tuleta huku wako sawa kweli?
 
Mimi siwezi mpotezea Tundu Lisu, ndo maana nimekuja kumpa tafu ili angalau tujaze kurasa, usisahahu kunijibu ili nikujibu angalau tufike mbali kidogo, ...
Akili za kijani hizi
 
Angalau tusogeze uzi wa Tundu Lisu, siyo vizuri wanavyompotezea, nashindwa nini kufanya nini ?
Wanampotezea Lissu? Kumbe we ni fala tuu na huna impact yeyote ndani ya nchi hii.
Wenzio wenye akili kila siku kuna morning discussion ya nini Lissu katamka huko aliko na lina athari gani internal na international.
We na vuvuzela wenzio mnapiga tuu makofi na kushangilia wenzenu wanaumiza vichwa kila wasikiapo jina Lissu
 
Naona "Rais" wa mioyo ya watu ameokoka huko Ubeparini [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nilitegemea kuna jipya kumbe ni yale yale marudio kulia lia sound!
 
Mwenda kutembea kanisani kila jumapili huku akivuja damu za watu Zanzimana ndio mnaona mcha Mungu?.
 
Raisi wa JMT alishiye uhamishoni
 
Maccm majizi
 

Maneno kuntu na mazito sana.

Hatuko peke yetu.

Tungekuwa bora mno na kiongozi kama huyu. Kuliko watufanyao misukule!
 
Lissu ni Rais na chaguo la watanzania..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…