UmkhontoweSizwe Platinum Member Joined Dec 19, 2008 Posts 9,454 Reaction score 8,894 Dec 27, 2020 #141 DAFU NA NDIMU said: Usihukumu usije ukahukumiwa Click to expand... Imeandikwa: mtawajua kwa matendo yao. Kwa matendo na maneno yake lissu anajulikana ni wa ibilisi. Labda atubu na kuziacha njia zake mbaya!
DAFU NA NDIMU said: Usihukumu usije ukahukumiwa Click to expand... Imeandikwa: mtawajua kwa matendo yao. Kwa matendo na maneno yake lissu anajulikana ni wa ibilisi. Labda atubu na kuziacha njia zake mbaya!
DAFU NA NDIMU JF-Expert Member Joined Aug 20, 2016 Posts 3,497 Reaction score 5,090 Dec 27, 2020 #142 UmkhontoweSizwe said: Imeandikwa: mtawajua kwa matendo yao. Kwa matendo na maneno yake lissu anajulikana ni wa ibilisi. Labda atubu na kuziacha njia zake mbaya! Click to expand... Usihukumu usije ukahukumiwa. Mungu tu ndo anajua maendo yetu na mawazo yetu. Tukisema hatuna dhambi tunajidanganya bure. Let God judge us.
UmkhontoweSizwe said: Imeandikwa: mtawajua kwa matendo yao. Kwa matendo na maneno yake lissu anajulikana ni wa ibilisi. Labda atubu na kuziacha njia zake mbaya! Click to expand... Usihukumu usije ukahukumiwa. Mungu tu ndo anajua maendo yetu na mawazo yetu. Tukisema hatuna dhambi tunajidanganya bure. Let God judge us.
UmkhontoweSizwe Platinum Member Joined Dec 19, 2008 Posts 9,454 Reaction score 8,894 Dec 27, 2020 #143 M DAFU NA NDIMU said: Usihukumu usije ukahukumiwa. Mungu tu ndo anajua maendo yetu na mawazo yetu. Tukisema hatuna dhambi tunajidanganya bure. Let God judge us. Click to expand... Mimi sihukumu, ninachofanya ni kusema tu kilichokwishatokea tayari, maana imeandikwa 'asiyeamini amekwisha kuhukumiwa tayari'. Ni lazima tuseme, who knows, labda tunaweza kumsaidia kujitambua akatubu na kujiondoa kwenye hukumu!
M DAFU NA NDIMU said: Usihukumu usije ukahukumiwa. Mungu tu ndo anajua maendo yetu na mawazo yetu. Tukisema hatuna dhambi tunajidanganya bure. Let God judge us. Click to expand... Mimi sihukumu, ninachofanya ni kusema tu kilichokwishatokea tayari, maana imeandikwa 'asiyeamini amekwisha kuhukumiwa tayari'. Ni lazima tuseme, who knows, labda tunaweza kumsaidia kujitambua akatubu na kujiondoa kwenye hukumu!