Tundu Lissu na Salumu Mwalimu wameonesha uwezo mkubwa wakabidhiwe chama

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Niseme bila kumung'unya maneno Tundu Lissu anafaa sasa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA na Salumu Mwalimu awe Makamu Mwenyekiti.

Mnyika aendelee kuwa Katibu mkuu na mwanaJf kutoka Kyela Ethrocyte awe msemaji mkuu wa chama.

Ni hayo tu kwa uchache.

Maendeleo hayana vyama.
 
Niseme bila kumung'unya maneno Tundu Lissu anafaa sasa kuwa mwenyekiti wa CHADEMA na Salumu Mwalimu awe makamu mwenyekiti.

Mnyika aendelee kuwa Katibu mkuu na mwanaJf kutoka Kyela Ethrocyte awe msemaji mkuu wa chama.

Ni hayo tu kwa uchache.

Maendeleo hayana vyama
Kila nikiona post zako natapika! very strange
 
Niseme bila kumung'unya maneno Tundu Lissu anafaa sasa kuwa mwenyekiti wa CHADEMA na Salumu Mwalimu awe makamu mwenyekiti.

Mnyika aendelee kuwa Katibu mkuu na mwanaJf kutoka Kyela Ethrocyte awe msemaji mkuu wa chama.

Ni hayo tu kwa uchache.

Maendeleo hayana vyama
Na ADC akabidhiwe nani? Mbona una obsession sana na Chadema?
 
Tulia mpigwe spana, tulia dawa iingie mahali pake, usitingishe wala kuyumbisha kiuno
 
Niseme bila kumung'unya maneno Tundu Lissu anafaa sasa kuwa mwenyekiti wa CHADEMA na Salumu Mwalimu awe makamu mwenyekiti.

Mnyika aendelee kuwa Katibu mkuu na mwanaJf kutoka Kyela Ethrocyte awe msemaji mkuu wa chama.

Ni hayo tu kwa uchache.

Maendeleo hayana vyama
Hivi Nyerere tangua TAA alikuwa Mwenyekit kabla ya Mwaka 1953, hadi CCM kaacha mwaka 1990 na; sembuse na Mbowe, mind your own business.
 
Njia pekee ya kurithi chama ni kuoa binti wa Mbowe, vinginevyo..... ngoja kidogo!
 
Atakuwa vipi mwenyekiti kama hamtaki kumpa ulinzi?!
 
Inshallah ya Mungu huwezi kuyajua, anaweza niepusha.
 
Back
Top Bottom