johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kila nikiona post zako natapika! very strangeNiseme bila kumung'unya maneno Tundu Lissu anafaa sasa kuwa mwenyekiti wa CHADEMA na Salumu Mwalimu awe makamu mwenyekiti.
Mnyika aendelee kuwa Katibu mkuu na mwanaJf kutoka Kyela Ethrocyte awe msemaji mkuu wa chama.
Ni hayo tu kwa uchache.
Maendeleo hayana vyama
Huyu dogo ni mchawiKila niukona post zako natapika! very strange
Na ADC akabidhiwe nani? Mbona una obsession sana na Chadema?Niseme bila kumung'unya maneno Tundu Lissu anafaa sasa kuwa mwenyekiti wa CHADEMA na Salumu Mwalimu awe makamu mwenyekiti.
Mnyika aendelee kuwa Katibu mkuu na mwanaJf kutoka Kyela Ethrocyte awe msemaji mkuu wa chama.
Ni hayo tu kwa uchache.
Maendeleo hayana vyama
Hivi Nyerere tangua TAA alikuwa Mwenyekit kabla ya Mwaka 1953, hadi CCM kaacha mwaka 1990 na; sembuse na Mbowe, mind your own business.Niseme bila kumung'unya maneno Tundu Lissu anafaa sasa kuwa mwenyekiti wa CHADEMA na Salumu Mwalimu awe makamu mwenyekiti.
Mnyika aendelee kuwa Katibu mkuu na mwanaJf kutoka Kyela Ethrocyte awe msemaji mkuu wa chama.
Ni hayo tu kwa uchache.
Maendeleo hayana vyama
Zima kabisaNani akabidhi chama yule mchaga wa Hai au Kuna mwingine?
Mpaka ahakikishe chama kimeishiwa kabisa hata hiyo akiba kichele iliyobaki ndo anaondoka...
Utatapika hadi 2030 meku!Kila niukona post zako natapika! very strange
Chadema ni mali ya watanzania wote!Mbowe mwenye chama unamjua au unamsikia!!?
Wewe unafaa kuwa mtunza hazina hapo Ufipa!kwa hiyo hapo CCM mmemkabidhi chama Mzee Pombe 🤣 🤣 🤣 🤣
Sidhani kama watakuelewa!Nani akabidhi chama yule mchaga wa Hai au Kuna mwingine?
Mpaka ahakikishe chama kimeishiwa kabisa hata hiyo akiba kichele iliyobaki ndo anaondoka...
Kwani Lyatonga au Mbatia wamepewa ulinzi?Atakuwa vipi mwenyekiti kama hamtaki kumpa ulinzi?!