Uchaguzi 2020 Tundu Lissu na upotoshaji kuhusu vitendo vya Ushoga Tanzania

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu na upotoshaji kuhusu vitendo vya Ushoga Tanzania

Naona mnajitekenya na kucheka.. hayo mambo yako huko huko kwenu. Ndio maana hamuwezi kukemea kiuwazi wazi kabisa. Na kuongezea tu hukusikia msimamo wa serikali wakati ule wa Makonda?
 
Kuna mambo ya msingi ya kuyajidili na kuyapa kipaumbele kama taifa ila sio huu upuuzi wenu.
 
Umeandika ujinga.Hiyo ibara iko very clear wala haiitaji mambo mengi kufafanuliwa.na isitoshe pia nyie ndio mlioapa kuilinda nakuitunza katiba sasa kama mnaona hicho kipengele kinatumika isivyo stahili si mbadilishe ili kwamba sasa serikali iwe inauwezo wakuchungulia ndani vyumbani mwa watu.Swala la kujaamiana ni mambo yanayofanyika sirini kwahiyo swala la ushoga,usagaji,ulawiti linakua kosa likifika hadharani na sheria za nchi ziko wazi kwenye hilo.Hoja ya Lissu imejikita kwenye faragha na hapa ndipo msingi wa hiyo ibara ulipo.Sasa wewe kinachokushinda kuelewa ni nini.
Umeeleza vizuri lakini kama Lissu anavyotaka iwe, na baadhi ya nchi za Ulaya, ushoga uwe halali kwa maana usitendeke faraghani tena. Watetezi wa ushoga mnataka mwanaume na mwanaume wafungishwe ndoa hapa Tanzania, au? Anza wewe na Lissu. USHENZI tu huo bila aibu mchana kweupe.
 
Pale wahudumu wa ofisi ya mahakama wanapojifanya kuwa nao wanaweza kuwa mahakimu.
Kukaa karibu na mahakama sio kujua sheria.
 
Kunawatu wameamua kujifyatua akili[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Hivi watoto wa Tundu Lissu wanajisikiaje au wanachukuliaje dingi yao kukomalia ushoga uhalalishwe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Maana najua hata wazazi wake kawaacha kwenye kitendawili kikubwa. YOTE NA YOTE USIMKUFURU MUNGU KWA KUAHIDIWA CHOCHOTE RIZIKI ZIPO TU.





MAGUFULI4LIFE.
 
Ushoga unapingwa kwa maneno ya majukwaani.ucha uzwazwa wewe.kama kweli mnauchungu sana na ushoga unashindwa nini kuweka sheria kali dhidi ya ushoga na serikali mnayo nyie wenyewe.acha kutufanya wote wajinga kama wewe.
CCM hawawezi kuweka hiyo sheria maana itakula sana kwao kuanzia kwa hao watunga sheria mpaka kwa mabalozi wa nyumba kumi.
Ni vile tu tunaheshimu privacy za watu,tungeweka hadharani ushetani wa mambogamboga,tena wale wakubwa kabisa, Watanzania wangepoteana.
 
Kama sheria ipo, sasa hofu ni nini? Watakaofanya ushoga watashtakiwa. Vitu vingine havihitaji hata mijadala
Katika Ilani yake, CHADEMA kimedhamiria kubadili Katiba katika siku 100 za kuingia madarakani. Kwa kauli ya mgombea Urais, Katiba itahalalisha ushoga (wanaume wafungishwe ndoa). Hilo ni takwa la mataifa ya ulaya kwa nchi zinazoendelea, la wanasitisha mikopo/misaada.
 
Mshaambukizwa na Boss wenu semeni mnakubaliana na ushoga kwanza au lah?

CCM kama chama inapinga ushoga, Magufuli kama mgombea anapinga ushoga. Je, CHADEMA kama chama mnapingana na ushoga? Lissu kama mgombea anapingana na ushoga?
Kwahili kila mtu anaemuheshimu mwenyezi Mungu lazima apinge ushoga maana hata Biblia inapinga jambo hili. Nashangaa atakaelikubali anasoma vitabu gani atujuze.
 
Katika Ilani yake, CHADEMA kimedhamiria kubadili Katiba katika siku 100 za kuingia madarakani. Kwa kauli ya mgombea Urais, Katiba itahalalisha ushoga (wanaume wafungishwe ndoa). Hilo ni takwa la mataifa ya ulaya kwa nchi zinazoendelea, la wanasitisha mikopo/misaada.
Naona umeshakuwa nabii. Katiba huwa inabadilishwa na chama?
 
Ukikaa na mlevi atakupigia story za pombe hadi utachoka, vivyo hivyo ukikaa na malaya ( either mwanaume au mwanamke) atakupigia story za mademu au mabwana zake mpaka uchoke, sasa tukirudi humu jukwaani kuna viumbe kila ukija story zao ni ushoga tuu. Hii tabia inaleta utata kidogo kuhusu maisha yao binafsi, sababu watz hatujazoea kuzungumzia haya maswala, kiufupi sio utamaduni wetu. Sasa hawa wanaoleta hizi habari kila Leo nikama wanapromite hii kitu, hebu tuwe nao makini hata humu.
 
Mshaambukizwa na Boss wenu semeni mnakubaliana na ushoga kwanza au lah?

CCM kama chama inapinga ushoga, Magufuli kama mgombea anapinga ushoga. Je, CHADEMA kama chama mnapingana na ushoga? Lissu kama mgombea anapingana na ushoga?
Unamzungumziaje huyu?
IMG_20200922_220813.jpg
 
Watanzania,

Nimerejea tena baada ya kumaliza masomo yangu hapa Afrika Kusini. Leo naomba kuwakumbusha kuwa, yako mambo katika maisha yetu ya kila siku, hayana njia ya kati (mid path), ni ama unalikubali au unalikataa. Ni kama mechi ya fainali, hakuna sare, lazima mmoja ashinde na meingine ashindwe, hata ikibidi kwa penati ishirini, wana wa kutwanga na kupepeta, Africa Stars band waliliweka vyema waliposema “Maisha ni mchezo usio na sare, lazima uyashinde au yakushinde.”

Vivyo hivyo misahafu inatukumbsuha kwamba mbele za Mwenyezi Mungu waumini wake hawatakiwi kuwa vugu vugu, ni ama wawe moto au baridi, wamchague yeye au shetani, hakuna njia ya kati. Tuko kwenye kampeni za uchaguzi, tunaelekea kufanya maamuzi ya kumpa dhamana mtu atakeliongoza taifa letu kwa miaka mitano ijayo. Kawaida katika uchaguzi hatuchagui tu mtu, isipokuwa tunachagua pia masuala muhimu kwa mustakabari wa taifa letu.

Mungu awabariki mfanye chaguo lililo jema.
 
Back
Top Bottom