Pre GE2025 Tundu Lissu na ushindi wa urais 2025 kama ilivyokuwa kwa Donald Trump 2024

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Trump hashabikii ushoga
 
Ongeza mapendekezo yako kwa CHADEMA na TUNDU LISSU ili iweze kuwa bora zaidi kuelekea uchaguzi Mkuu 2025. Tanzania inaweza kuwa kubwa kuliko hizi sasa kama tutakuwa na uthubutu wa kundoa ccm madarakani.
Nakuunga mkono Mkuu..
Wapinzani waache ubinafsi, wampe jembe Wakili Msomi Boniphace K. Mwabukusi.
Nina imani asilimia 90 kwamba atashinda asubuhi na mapema..
 
Ameen
 
Nawaza uchaguzi wa octoba urais CHADEMA achukue Tundu Lussu na mgombea mwenza awe John Heche
 
Uchaguzi ukiwa ni HURU na HAKI between Samia Suluhu na Tundu Antipas Mughwai Lissu basi Samia ajiandae kurudi Kizimkazi kufanya Biashara ya Uvuvi wa Pweza.

Wakujilaumu ni Samia mwenyewe alikuwa ameanza vizuri tulikuwa tunasema huenda ikawa awamu ya 4 ya Mzee Kikwete all over again lakini ghafla mauaji utekaji wizi serikalini nk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…