Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
Kama Mahakama imeruhusu bank statement kuonyweshwa mahakamani, namshauri Lissu aombe bank statement ya kigogo mmoja ionyeshwe hadharani atapokuwa anamuhoji mahakamani ili athibitishe yale mamilioni alioingiziwa kama mkopo na aeleze atalipaje huo mkopo hapo mahakamani.
Lissu usiache unless huyo kigogo sio miongoni mwa wataopanda kizimbani kumtetea Lissu.
Kama sikose, ilivujidhwa na yule mwanaharakati wa kike alieko US.
Nawasilisha
Lissu usiache unless huyo kigogo sio miongoni mwa wataopanda kizimbani kumtetea Lissu.
Kama sikose, ilivujidhwa na yule mwanaharakati wa kike alieko US.
Nawasilisha