Pre GE2025 Tundu Lissu: Nafungua kesi ya kupigwa bila sababu

Pre GE2025 Tundu Lissu: Nafungua kesi ya kupigwa bila sababu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sielewi una maana gani.
Ulitaka "watu"; kwa maana ya waTanzania kulipuka kwa tukio hili, na kwa vile hawakulipuka liwape faraja watenda maovu?
Mnawadharau sana waTanzania, lakini hamjui ni lini hawa mnao wadharau watakapo amua kuwashughulikia. Hilo tu peke yake linatosha kuwatia hofu.
Wala sikutaka walipuke bali nilikuwa nasoma comments tu kwenye mijadala ya humu
Sio mfuasi wa vyama kabisa ila nimechangia kutokana na maneno na upendo fake
 
Wala sikutaka walipuke bali nilikuwa nasoma comments tu kwenye mijadala ya humu
Sio mfuasi wa vyama kabisa ila nimechangia kutokana na maneno na upendo fake
Mkuu, Black Sniper', wala haihitaji mtu kuwa "mfuasi wa vyama" kujua jambo jema/baya linalohusisha mtu au kundi la watu; hata kama hukubaliani na mtu kundi hilo.

Sasa sijui wewe umejuajuaje huo "upendo feki"?
 
Kesi Itaisha mwaka 2070, hata kama akishinda alipwe fidia, hailipwi mpaka Msajili wa Mahakama apeleke Certificate kwa Msajili wa Hazina, tutaona kama italipwa
Issue siyo kulipwa, issue ni kujulikana Nan kamtuma
 
Safi sana waache kuzuga wametumwa wakati wanatumia d za mbili kufanya maamuzi ya kipumbavu na kudhalilisha taasisi zao, pin out and sue them hamna njia nyungine kumaliza uharamia huu
 
Back
Top Bottom