Pre GE2025 Tundu Lissu: Nafungua kesi ya kupigwa bila sababu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wala sikutaka walipuke bali nilikuwa nasoma comments tu kwenye mijadala ya humu
Sio mfuasi wa vyama kabisa ila nimechangia kutokana na maneno na upendo fake
 
Wala sikutaka walipuke bali nilikuwa nasoma comments tu kwenye mijadala ya humu
Sio mfuasi wa vyama kabisa ila nimechangia kutokana na maneno na upendo fake
Mkuu, Black Sniper', wala haihitaji mtu kuwa "mfuasi wa vyama" kujua jambo jema/baya linalohusisha mtu au kundi la watu; hata kama hukubaliani na mtu kundi hilo.

Sasa sijui wewe umejuajuaje huo "upendo feki"?
 
Kesi Itaisha mwaka 2070, hata kama akishinda alipwe fidia, hailipwi mpaka Msajili wa Mahakama apeleke Certificate kwa Msajili wa Hazina, tutaona kama italipwa
Issue siyo kulipwa, issue ni kujulikana Nan kamtuma
 
Safi sana waache kuzuga wametumwa wakati wanatumia d za mbili kufanya maamuzi ya kipumbavu na kudhalilisha taasisi zao, pin out and sue them hamna njia nyungine kumaliza uharamia huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…