Gabeji
JF-Expert Member
- Sep 10, 2024
- 1,530
- 1,903
Jamani wa afrika sijui nani katuloga? Tunaullooo sanaa
na ubinafsi uliozidi.
Kwa upepo ulivyo ndani ya chadema Mbowe hawezi kuachia uwenyekiti wa chadema.
Maana kuna chawa wengi wamepewa pesa kwa ajili ya kumnanga lisu. Tayali wakina NYERERE na wenzie wameanza na propaganda, wapo tayali kumchsmgia Mbowe pesa ya kuchukulia form hii maana yake Mbowe atagombea .
Mbowe akigombea basi lisu hana chake, maana Mbowe yupo tayali kutumia pesa zake zote I'li awanunue wajumbe. Na lazima atashinda I'li kuendelea kulinda masilai yake.
Nashauli lisu anzisheni CHAMA kingine,na wakina mbatia, Mwabukusi, dr slaa nk, watanzania wapo na nyie ,tumechoka na siasa za akina Mbowe, Abduli,
Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.