Tundu Lissu nakushauli uungane na Mwabukusi, James Mbatia na Dr Slaaa mwanzishe CHAMA kipya

Kuanzisha chama kikakua nakupata wafuasi wakutosha sio kazi rahisi kama kuandika hisia uku mtandaoni.unaweza ukaanzisha ila kikaishia kua kisindikizaji.Umaarufu wawatu kwenye kuongea misimamo ni tofauti sana na kutenda kwenye nchi zetu hizi ambazo wananchi bado hawajielewi.
Unashauli nn mkuu, ccm iendele kuwepo milele
 
Shida ni kuanzisha chama. Kuna misukosuko. Unakumbuka chama Cha CCJ enzi hizo.
 
Jamani wa afrika sijui nani katuloga? Tunaullooo sanaa
na ubinafsi uliozidi.
Kwa upepo ulivyo ndani ya chadema Mbowe hawezi kuachia uwenyekiti wa chadema.
Maana kuna chawa wengi wamepewa pesa kwa ajili ya kumnanga lisu. Tayali wakina NYERERE na wenzie wameanza na propaganda, wapo tayali kumchsmgia Mbowe pesa ya kuchukulia form hii maana yake Mbowe atagombea .
Mbowe akigombea basi lisu hana chake, maana Mbowe yupo tayali kutumia pesa zake zote I'li awanunue wajumbe. Na lazima atashinda I'li kuendelea kulinda masilai yake.
Nashauli lisu anzisheni CHAMA kingine,na wakina mbatia, Mwabukusi, dr slaa nk, watanzania wapo na nyie ,tumechoka na siasa za akina Mbowe, Abduli,
Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
Je wewe utaungana nao?
Je sheria ya vyama inaruhusu uanzishwaji wa vyama kirahisi hivyo?
Mi kwa sasa nilitarajia uwashauri wapinzani wote waungane kwa pamoja kupata nguvu ya kuitikisa ccm
 
Yapu nipo pamoja nao
 
Jamani wa afrika sijui nani katuloga? Tunaullooo sanaa
na ubinafsi uliozidi.
Kwa upepo ulivyo ndani ya chadema Mbowe hawezi kuachia uwenyekiti wa chadema.
Maana kuna chawa wengi wamepewa pesa kwa ajili ya kumnanga lisu. Tayali wakina NYERERE na wenzie wameanza na propaganda, wapo tayali kumchsmgia Mbowe pesa ya kuchukulia form hii maana yake Mbowe atagombea .
Mbowe akigombea basi lisu hana chake, maana Mbowe yupo tayali kutumia pesa zake zote I'li awanunue wajumbe. Na lazima atashinda I'li kuendelea kulinda masilai yake.
Nashauli lisu anzisheni CHAMA kingine,na wakina mbatia, Mwabukusi, dr slaa nk, watanzania wapo na nyie ,tumechoka na siasa za akina Mbowe, Abduli,
Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
Hata kuandika hujui. Ndio maana hujui pia taratibu za kuanzisha chama hadi kusajili na mchakato wavkuifanya iwe imara. Unachoshauri wewe ni kwamba Lisu aipasue CHADEMA aondoke na kundi kubwa jambo ambalo sio rahisi.
 
Mbowe hawezi kumwachia supermarket yake hiyo
 
Back
Top Bottom