Tundu Lissu nakushauli uungane na Mwabukusi, James Mbatia na Dr Slaaa mwanzishe CHAMA kipya

Unashauli nn mkuu, ccm iendele kuwepo milele
 
Shida ni kuanzisha chama. Kuna misukosuko. Unakumbuka chama Cha CCJ enzi hizo.
 
Je wewe utaungana nao?
Je sheria ya vyama inaruhusu uanzishwaji wa vyama kirahisi hivyo?
Mi kwa sasa nilitarajia uwashauri wapinzani wote waungane kwa pamoja kupata nguvu ya kuitikisa ccm
 
Yapu nipo pamoja nao
 
Hata kuandika hujui. Ndio maana hujui pia taratibu za kuanzisha chama hadi kusajili na mchakato wavkuifanya iwe imara. Unachoshauri wewe ni kwamba Lisu aipasue CHADEMA aondoke na kundi kubwa jambo ambalo sio rahisi.
 
Mbowe hawezi kumwachia supermarket yake hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…