Tundu Lissu: Namuunga mkono Dk Nshala Urais TLS

Tundu Lissu: Namuunga mkono Dk Nshala Urais TLS

Lissu itakuwa amenusa kwamba kuna mamluki wanapangwa kupandikizwa kuivunjavunja TLS maana siyo kwa endorsement hii.
 
Certified idiot at work
Wewe mpumbavu kweli, Waziri gani anaemsomesha mtoto wake shule za Kata

Moja ya watu waliozaliwa kwa bahati mbaya ni wewe, Hivi au walikuwa wamelewa

Kila wakati unaandika Kama una hangover ya kuzaliwa nayo

Ebu ondoa taka taka zako hapa Jf
Ni vigumu mtu uliyezaliwa watu wakiwa pombe kuweza kuelewa hii lugha iliyoandikwa hapa Jf

Cetified idiot of March 2019,ukiwashwa tu unataka kukunwa
Sawa kabisa Mkuu Gussie! Wamekomalia kutuambia kuwa English siyo muhimu wakati ya watoto wao wamesoma English Medium baada ya hapo wanawapeleka Europe, USA, China, Malysia hadi Australia.
Matangazo ya nafasi za kazi yatakapotoka yataandikwa kwenye magazeti ya Kiingereza. Mtoto aliyesoma shule ya kawaida hataliona Hilo tangazo. PILI kinakuja kigezo cha "Exposure" na Tatu usaili utakuwa katika Kiingereza. Huhitaji PhD kujua nani mwenye "advantage" itakakapokuja kwenye suala la ajira na hata kujiajiri. China pamoja na kujitegemea kilugha bado wameanzisha "English Project " ya nchi nzima kuanzia chekechea. Tujiulize kwa nini?

"Ignore English @ your own peril!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ufipa wana akili ya kujiongeza basi??

Mtu anayeweza kuletewa mgombea fisadi amsafishe na bado akasafisha kwa kuzungusha mikono na kudeki barabara unategemea jambo gani la maana kutoka kwake?



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sorry to you Lissu mayhem fanatics. Reading Lissu's campaign treatise and conscript reminiscent praise for Nshalla sounds like TLS has only existed when it contends the government, which, to open-minded understanding law professionals, isn't the case. It is actually wrong conception. TLS is not a domain of conflict against Government, neither its governance hardware nor software. So, then, why Lissu’s fuss or suss? Is it not Lissu’s personal craving and agility to dominate political life of TLS members and the entire law fraternity professionals in the country for one’s self political end? Lissu should be in view of TLS as political ploy to prey on.

Actually, had it been need, Lissu would have simply campaigned for Nshalla by just putting forward the latter’s merits to TLS electors, period – not prescribing anti-government assignments as core ToRs content for TLS president.

Yet, there is this bizarre irony, how on earth law fraternity professionals considered independent-minded celebrated credos of our time would still be directed whom to vote for!

If CCM directs electorate to vote for even horrible contestants provided they are its flag bearers, how on earth is Lissu diverse from CCM, when he directs TLS electors to vote for his choice? Great similarities!
 
"He'll not be browbeaten or bought with material reward, or promise thereof,"

Dear TLS members please take note of the above quoted words and take the Man into office as adviced by Lissu the great.



Sent using Jamii Forums mobile app
He'll not keep silent when the Constitution and the fundamental rights it enshrines, are shredded to pieces by the 'Rulers of Law.'
 
Back
Top Bottom