jamani habari kutoka makiungu singida, mdogo wangu ambaye alikuwa mmoja wa mawakala wa chadema anasema lissu anongoza kwenye vituo vingi zaidi ya marambili ya mgombea wa ccm, jonathan njau.
Kweli tukibahatika kumpata lissu itakuwa baraka kubwa jimboni kwetu
Jamani habari kutoka Makiungu Singida, mdogo wangu ambaye alikuwa mmoja wa mawakala wa Chadema anasema Lissu anongoza kwenye vituo vingi zaidi ya marambili ya mgombea wa CCM, Jonathan Njau.
Kweli tukibahatika kumpata Lissu itakuwa baraka kubwa jimboni kwetu
Jamani niweke huru, unajua nn? Kuna mdada tuliwekeana dau kama Tundu Lissu akishinda mdada akasema hana ela ya kutoa ila atavua nguo zote hadharani,mi nkahaidi laki kama akishindwa. Nipe uhakika kama Lissu yuko juu nkamtafute uyu mdada magomeni! TUNDU LISSU OYEEe!

Aisee nialikwe kwenye sherehe hiyo maana mie ni infidelity originoJamani niweke huru, unajua nn? Kuna mdada tuliwekeana dau kama Tundu Lissu akishinda mdada akasema hana ela ya kutoa ila atavua nguo zote hadharani,mi nkahaidi laki kama akishindwa. Nipe uhakika kama Lissu yuko juu nkamtafute uyu mdada magomeni! TUNDU LISSU OYEEe!