Elections 2010 Tundu Lissu naye mwendo mdundo...!

TzPride

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2006
Posts
2,616
Reaction score
1,169
Jamani habari kutoka Makiungu Singida, mdogo wangu ambaye alikuwa mmoja wa mawakala wa Chadema anasema Lissu anongoza kwenye vituo vingi zaidi ya marambili ya mgombea wa CCM, Jonathan Njau.

Kweli tukibahatika kumpata Lissu itakuwa baraka kubwa jimboni kwetu
 
jamani habari kutoka makiungu singida, mdogo wangu ambaye alikuwa mmoja wa mawakala wa chadema anasema lissu anongoza kwenye vituo vingi zaidi ya marambili ya mgombea wa ccm, jonathan njau.

Kweli tukibahatika kumpata lissu itakuwa baraka kubwa jimboni kwetu

jamani huyu akiingia bungeni ni ukombozi uhuni bungeni mwisho tupe uweli jamani
 
Jamani habari kutoka Makiungu Singida, mdogo wangu ambaye alikuwa mmoja wa mawakala wa Chadema anasema Lissu anongoza kwenye vituo vingi zaidi ya marambili ya mgombea wa CCM, Jonathan Njau.

Kweli tukibahatika kumpata Lissu itakuwa baraka kubwa jimboni kwetu

Tupe matokeo, I mean kura walizopata.
 
Truly a Tanzanian revival is ongoing now...............................
 
Tundu Lissu ni IRON-MAN!...
Mungu saidia habari hizi ziwe na chembechembe za ukweli!
 
Namuombea afanikiwe bunge la sasa ni moto mkali balaa
 
huyu lisu akichukua kijiti hicho basi BUNGENI hapataenea!.....
bravo lisu
 
Jamani niweke huru, unajua nn? Kuna mdada tuliwekeana dau kama Tundu Lissu akishinda mdada akasema hana ela ya kutoa ila atavua nguo zote hadharani,mi nkahaidi laki kama akishindwa. Nipe uhakika kama Lissu yuko juu nkamtafute uyu mdada magomeni! TUNDU LISSU OYEEe!
 
Tehe teheeeeeeeeeeeeee!
 
:rip::rip::rip::rip::rip::rip::rip::rip:Chi chi chi chi chi emmmmm
 
Huyu kamanda kama ni kweli itakuwa ndiyo true replacement ya Dr. Slaa bungeni, All in all tuna kila haki ya kushangilia!
 
Jamani habari kutoka Makiungu Singida, mdogo wangu ambaye alikuwa mmoja wa mawakala wa Chadema anasema Lissu anongoza kwenye vituo vingi zaidi ya marambili ya mgombea wa CCM, Jonathan Njau.

Kweli tukibahatika kumpata Lissu itakuwa baraka kubwa jimboni kwetu

slaa kapata mrithi wa mikoba yake pale mjengoni!!

never underestimate tanzanians...
 
Jamani niweke huru, unajua nn? Kuna mdada tuliwekeana dau kama Tundu Lissu akishinda mdada akasema hana ela ya kutoa ila atavua nguo zote hadharani,mi nkahaidi laki kama akishindwa. Nipe uhakika kama Lissu yuko juu nkamtafute uyu mdada magomeni! TUNDU LISSU OYEEe!
Aisee nialikwe kwenye sherehe hiyo maana mie ni infidelity origino
 
Hongera sana mpiganaji LISSU,nakutakia kila la kheri!!!
 
Jamani niweke huru, unajua nn? Kuna mdada tuliwekeana dau kama Tundu Lissu akishinda mdada akasema hana ela ya kutoa ila atavua nguo zote hadharani,mi nkahaidi laki kama akishindwa. Nipe uhakika kama Lissu yuko juu nkamtafute uyu mdada magomeni! TUNDU LISSU OYEEe!

nialike na mimi nimwone atakavyovua hizo nguo
 
CCM watajibeba safari hii, we ngoja waone pale mjengoni kama patakalika! Vijana tumeamka, hakuna majibu mepesi kwa maswali magumu tena!
 
Lisu ABILITY yake ni sawa na wabunge mafisadi(CCM:smile-big🙂 23,mungu saidia apite. aleluya
 
Back
Top Bottom