Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baada ya kusoma pongezi za watu kwa Tundu Lisu na mmoja hata akisema ' Angekunywa Sumu' ikiwa Tundu Lisu asingeshinda, nimeona niombe mtu au watu wanaomfahamu Mbunge mteule waelezee namna wanavyomjua ...
huyu jamaa ni msomi aliyekuwa marekani eidha akifundisha au ameajiliwa kwenye law chamber mojawapo huko. alikuja tanzania akataka kuzama ndani ya ccm aka-bounce back. akaamua kuingia chadema na nadhani ni moja ya wanasheria ya chadema.
Hongera sana Mpiganaji Tundu Lisu. Wewe ni sawa na wabunge wa CCM 30