Tundu Lissu, Nchimbi wawapatanisha Mr Sugu na Ruge wa Clouds FM

Hivi baada ya kupatana wale waliokuwa mashabiki wa ugomvi wa hawa watu inakuwaje? Nauliza hivi kwa sababu kuna watangazaji wa clouds walikuwa wanaenda hewani kipindi kizima kumshambulia Mbilinyi because of their personal interests!
 
Bongo bana, yaani tifu la hawa jamaa linapewa promo kiasi hiki kweli? Ngoja tusubiri majibu baadae ili tujue nani kashinda. Najua tu wataongea na vyombo vya habari (Sugu) na huyu mwenzie tutajulishwa na mpambe wake (kibonde) soon. Japo nimependa kitendo chao cha kuondoa tofauti!
 
Mods, kuna thread tatu humu zinazohusu hii habari. Niaje?
 
Kama wameshapatana unadhani vinega wataimba zile nyimbo zao tena? Ndo vinega wamekufa, wafu fm inakuwa waliofufuka fm then yeye sugu hawezi kuwalazimisha wapige nyimbo zao, after all zile nyimbo nazo dah! Sio rahisi kupigwa kwenye radio station yeyote.
 
nadhani ruge ameona anakula loss imebidi amtafute sugu wayamalize
 

vyombo vya habari vipi tena hiyo mic ya TBC HUIONI?
 
kRUGE ni baba wa sugu albam za sugu 10 kasaidia 8 wmezinguana kwenye malipo wanatuhusisha, kukariri mistari hata mwanangu wa miaka 7 anaweza,sio hekima watu wanafkiri kila mwanamuziki ana hekima hasa muziki huu wa kupigwa na computer kila mtu anaweza
 
Kweli mwenye shibe hamjui mwenye njaa.............watakaa tu.
 
Clouds ile kampuni tanzu ya ccm na mafisadi?
Mwenye full lyrics za wimbo wa anti virus atubonyezee.
 
Wakipata hivi tunafaidikaje kama taifa?
 
Vipi MR. II amelipwa ile pesa yake ya kuandaa tamasha la.Malatlria Haikubaliki? Najua kun wakati alilalamika kuwa ule mchongo ulikuwa wa kwake lakini jamaa wakaurukia ju kwa ju!
Vipi kuhusu vyombo alivyotoa JK kwa wasanii wa bongo flava na tukaambiwa kwamba vilirukiwa ju kwa ju na THT?
 
Wako hewani clouds f.m sa hvi kwnye jahazi..
 
Good dawn,

Lakini hii new move itapunguza uharamia wa kazi za wasanii nchini? Kuna kilio kikubwa cha wasanii dhidi ya mabosi wa Prime Time Promotions.

Naamini haya maridhiano yatakuwa ya dhati
 

hapa it goes without saying...............tafsiri kimoyomoyo picha hiiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…