Tundu Lissu, Nchimbi wawapatanisha Mr Sugu na Ruge wa Clouds FM

Tundu Lissu, Nchimbi wawapatanisha Mr Sugu na Ruge wa Clouds FM

Taarifa:kwanza poleni
na samahanini kwa hali
ya sintofahamu
iliyotokea leo kutokana
na taarifa za ghafla za
usuluhishi kati yetu na
ruge/clouds fm,ni
kutokana na unyeti wa
issue yenyewe ilibidi
tufanye hivyo kwa nia
njema kabisa...kwanza
naomba tujipongeze kwa
kuwa tukio la leo ni
ushindi kwa vinega kwa
maana kwamba madai
yetu yote ya msingi ndio
yalikuwa msingi wa
majadiliano na ruge
amekubali kuyatekeleza
yote...kuanzia suala la
studio ya rais
kurudishwa kwa basata
ili iwe ya wasanii
wote,pia t.f.u ijikabidhi
kwa chama halali cha
wasanii yaani t.u.m.a
kama ambavyo tulikuwa
tunadai na mpaka issue
za wasanii kunyanyaswa
na kubaniwa na pia
suala la malipo hafifu
vyote vimejadiliwa na
kukubaliwa kwa
utekelezaji...haikuwa kazi
rahisi,kwanza ilianza
kwa wao kumpigia
mwenyekiti wangu
mbowe kutaka tukae
chini,ambapo kamanda
mbowe alinishauri tukae
nao chini kama kweli
wana nia ya
kuyamaliza...baadaye
wakampigia mr shigongo
ambaye ni wazi kuwa ni
kati ya watu wangu wa
karibu naye baada ya
kuongea na mr. Kusaga
tu alinipigia na
kunishauri hivyo
hivyo...na kama
haikutosha
wakalifikisha hili suala
kwenye kamati ya bunge
ambayo ilinitaka niipe
maelezo ya kiini cha
mgogoro na nikafanya
hivyo ambapo pia baada
ya kunielewa
wakashauri nikae nao
chini...na hatimaye suala
hili likaishia mikononi
mwa waziri nchimbi
pamoja na mhe. Tundu
lissu(mp) kuwa
wapatanishi
wetu...waziri nchimbi
akaanza kwa kumuita
ruge dodoma na alikuja
tukakaa kwa hatua ya
kwanza na hatimaye leo
tukakaa tena makao
makuu ya wizara ya
utamaduni chini ya dr
nchimbi na mhe tundu
lissu na hatimaye
tukafikia hatua hii ya
leo...vita yetu ilikuwa na
hoja hatukuwa
tunapigana tu kwa chuki
binafsi kama baadhi ya
watu walivyokuwa
wanajaribu
kuiweka,kwahiyo kama
hoja zetu zimeeleweka
kwa sasa tunatakiwa
kushukuru na
kufurahia...lakini
naomba niwahakikishie
misimamo iko pale pale
na nimewaweka wazi
kuwa anti-virus
itaendelea kuwepo ili
kuendelea ku-scan virus
wengine kama mameneja
masoko na wengine
watakaojitokeza kwani
nchi inaposhinda vita au
hata kufikia tu
makubaliano ya amani
na nchi adui yake haina
maana nchi hiyo
inavunja jeshi lake...
Asanteni sana...
 
Mwita Maranya relax kwanza,kivipi siitendei haki tittle?

"KWANZA POLENI NA
SAMAHANINI
KWA HALI YA SINTOFAHAMU ILIYOTOKEA
LEO"

Hapo ninamaanisha kwamba, heading ilitakiwa kubeba uzito zaidi ya ulivyoiweka. Maana hili si suala la kuomba msamaha tu bali, hii ni suluhu ambayo tumekuwa tukiifikiria muda mrefu, sasa ilipotoka taarifa kama hii ndipo nikadhani ungeweka umuhimu kwenye muafaka/suluhu ya Sugu na Ruge. Lakini nadhani heading hiyo uliyochagua ndiyo angle uliyolitazama swala lenyewe, poa tu hakuna shaka tuko pamoja.
 
Kwa hiyo nyimbo za Sugu zitaanza kutikisa clouds fm?? Vipi zile za album ya anti-virus je?? Zisipopigwa ntajua Ruge Mnafiki...Na wale waropokaji Je akina Kibonde watasemaje Kuhusu sugu..Mambo ya upambe bwana ngoja tuone hii sinema nyingne, thank God this time ni ya burudani na siyo ya Dowans au posho ,loh.!
 
taarifa:kwanza poleni na samahanini kwa hali ya sintofahamu iliyotokea leo kutokana na taarifa za ghafla za usuluhishi kati yetu na ruge/clouds fm,ni kutokana na unyeti wa issue yenyewe ilibidi tufanye hivyo kwa nia njema kabisa...kwanza naomba tujipongeze kwa kuwa tukio la leo ni ushindi kwa vinega kwa maana kwamba madai yetu yote ya msingi ndio yalikuwa msingi wa majadiliano na ruge amekubali kuyatekeleza yote...kuanzia suala la studio ya rais kurudishwa kwa basata ili iwe ya wasanii wote,pia t.f.u ijikabidhi kwa chama halali cha wasanii yaani t.u.m.a kama ambavyo tulikuwa tunadai na mpaka issue za wasanii kunyanyaswa na kubaniwa na pia suala la malipo hafifu vyote vimejadiliwa na kukubaliwa kwa utekelezaji...haikuwa kazi rahisi,kwanza ilianza kwa wao kumpigia mwenyekiti wangu mbowe kutaka tukae chini,ambapo kamanda mbowe alinishauri tukae nao chini kama kweli wana nia ya kuyamaliza...baadaye wakampigia mr shigongo ambaye ni wazi kuwa ni kati ya watu wangu wa karibu naye baada ya kuongea na mr. Kusaga tu alinipigia na kunishauri hivyo hivyo...na kama haikutosha wakalifikisha hili suala kwenye kamati ya bunge ambayo ilinitaka niipe maelezo ya kiini cha mgogoro na nikafanya hivyo ambapo pia baada ya kunielewa wakashauri nikae nao chini...na hatimaye suala hili likaishia mikononi mwa waziri nchimbi pamoja na mhe. Tundu lissu(mp) kuwa wapatanishi wetu...waziri nchimbi akaanza kwa kumuita ruge dodoma na alikuja tukakaa kwa hatua ya kwanza na hatimaye leo tukakaa tena makao makuu ya wizara ya utamaduni chini ya dr nchimbi na mhe tundu lissu na hatimaye tukafikia hatua hii ya leo...vita yetu ilikuwa na hoja hatukuwa tunapigana tu kwa chuki binafsi kama baadhi ya watu walivyokuwa wanajaribu kuiweka,kwahiyo kama hoja zetu zimeeleweka kwa sasa tunatakiwa kushukuru na kufurahia...lakini naomba niwahakikishie misimamo iko pale pale na nimewaweka wazi kuwa anti-virus itaendelea kuwepo ili kuendelea ku-scan virus wengine kama mameneja masoko na wengine watakaojitokeza kwani nchi inaposhinda vita au hata kufikia tu makubaliano ya amani na nchi adui yake haina maana nchi hiyo inavunja jeshi lake...

Asanteni sana

ANT-VIRUS IMEFANYA KAZI..BIG UP SUGU...NIMEINASA KUTOKA KWENYE PAGE YAKE YA FACEBOOK
 
Duh!hii ni noma sasa!yaani Ruge pamoja na kumtesa kinega wangu sugu bado kamwingiza kingi?je sugu yupo tayari kushiriki fiesta?huu nao ni unafiki mwingine!!
 
sasaaliyeomba msamaha ni sugu au ruge? hapa naona ruge ndio kaomba msamaha amekubali ili yaishe manake vinega mziki wao ulikuwa sio wa kititi na walikuwa wanaendelea kusambaa kwa kasi na waliokuwa wanaumia ni wasanii.
 
aiseee nimefurahi maana kwa tarifa za haraka kharaka ansikia vinega wameshinda na wamesaini makubaliano ya vitu vinega walivyokuwa wanataka....
 
Hapo ninamaanisha kwamba, heading ilitakiwa kubeba uzito zaidi ya ulivyoiweka. Maana hili si suala la kuomba msamaha tu bali, hii ni suluhu ambayo tumekuwa tukiifikiria muda mrefu, sasa ilipotoka taarifa kama hii ndipo nikadhani ungeweka umuhimu kwenye muafaka/suluhu ya Sugu na Ruge. Lakini nadhani heading hiyo uliyochagua ndiyo angle uliyolitazama swala lenyewe, poa tu hakuna shaka tuko pamoja.

Headin au Title si kitu muhimu ktk kuconclude story so inapaswa mtu aangalie pia context(body),nashukuru kwa mawazo yako.
 
kuhusu swala la wasanii kunyonywa na clous kwenye matamasha yao ambapo msanii wa kibongo analipwa pesa kiduchu compare na wasanii kutoka nje ya nchi mh mbilinyi vp katikali litaisha kwel au ndio scanning not completed
 
sasaaliyeomba msamaha ni sugu au ruge? hapa naona ruge ndio kaomba msamaha amekubali ili yaishe manake vinega mziki wao ulikuwa sio wa kititi na walikuwa wanaendelea kusambaa kwa kasi na waliokuwa wanaumia ni wasanii.

jamaa kaon hawa vinega wanabana hadi pakunyea ndo maana kawa mpole na inawezekana JK kawasululisha nini..
 
sasaaliyeomba msamaha ni sugu au ruge? hapa naona ruge ndio kaomba msamaha amekubali ili yaishe manake vinega mziki wao ulikuwa sio wa kititi na walikuwa wanaendelea kusambaa kwa kasi na waliokuwa wanaumia ni wasanii.

Kwa maelezo ya nchimbi inaonekana sugu ndio alioinitiates muhafaka!!! Hila safi sana ngoja tuangalie matokeo yake!!!
 
Sugu kichwa tofauti na wajinga wajinga wanavyo mchukulia big up mr.ii
 
bahati yako sugu umeniwahi, nilikuwa nakuja na post matata sana baada ya kusoma ndoa yenu media nyingine anyway lakini wenzako wamereport vingineee
 
Na sijui kwann watu wamechukizwa na hawa jamaa kupatana? Kwa hyo watu walitaka waendelee na 'bifu' tuuuuuu?
Hawa (Sugu na Ruge) si Watanzania wenzetu? Kama wamepatana kwann tuchukizwe na kitendo hicho?
"Heri wapatanishi..." Math 5:9
Nchimbi na Lissu hongereni kwa kulisimamia hili. Hatuhitaji kukaa tunagombana.
Sisi (Watz) sote ni ndugu.
 
Back
Top Bottom