Tundu Lissu, Nchimbi wawapatanisha Mr Sugu na Ruge wa Clouds FM


Nakubaliana na wewe mkuu!!!
 
Mimi binafsi nawapongeza kwa kufikia muafaka huo,hongera sana mkuu sugu.
 
Duh kweli hii serikali imekosa kazi. Badala ya waziri kushughulikia mambo ya msingi anatumia resources zetu kupatanisha washkaji waliodhulumiana.
 
Kwa maelezo ya nchimbi inaonekana sugu ndio alioinitiates muhafaka!!! Hila safi sana ngoja tuangalie matokeo yake!!!

Tusaidie hayo maelezo ya Nchimbi mkuu King Kong, ili tuweze kupata data za uhakika.
 
Safi mwanzo mzuri sasa tusubiri utekelezaji wa hayo waliyokubalia Mh. Mbilinyi na Bw. Ruge ili ukweli wa "muafaka" utimie
 
Mkuu lete link tuone wengine wamesemaje kaka?
bahati yako sugu umeniwahi, nilikuwa nakuja na post matata sana baada ya kusoma ndoa yenu media nyingine anyway lakini wenzako wamereport vingineee
 
Big up Sugu!!!!! Narubongo lete link kaka........
 
 
Ndoto yangu imetimia.....................tanzania ni zaidi ya uijuavyo........
 
Shule nzuri jamani. Sasa wewe Sugu ndio nini kuandika mi "Capital Letters" kurasa yote. Nyie wabunge ambao hamjaenda shule ya kutosha inabidi muajiri washauri waliosoma na kukubuhu katika mambo haya, jambo dogo sana linaweza kukufanya ukaonekana jinsi ulivyo.
 
Kwa mpenda maendeleo ya muziki wa bongo fleva atafurahia hatua hii muhimu walioifikia MHESHIMIWA SUGU na NDG RUGE Kama kweli wana nia ya dhati ya kumaliza mgogoro huu basi MAPATANO YAO YAWE YAMETOKA MIOYONI MWAO na si kwenye vinywa vyao wakati mioyoni mwao bado wana hila.Tunasubiri ushirikiano wenu katika kuinua vipaji vya wanamuziki wa kizazi kipya na kizazi pendwa.NAWAPONGEZA WAHESHIMIWA WOTE WALIOSHIRIKI KUWAPATANISHA NA NINAWOMBA MUENDELEE KUYASIMAMIA MAPATANO HAYO
 
Wajanja tulisanuka kitambo!!!kaomba msamaha kalapina mbishi mpaka anajibishia mwenyewe itakuwa sugu?mapatano mazuri ila kimziki wa mtaani hili ni pigo kwani hip hop ya beef ndo tamu!binafsi ntamiss mikono ya anti virus...
 
Antivirus na vinega nimekubali ni soo!mpaka ruge ameshusha silaha chini!alijifanya choko kumbe vinega ni nyoko zaidi yake!
 
Safi sana hii,mani alijua maalim seif na Aman karume hazitatoka? Kweli watanzania nyongo zetu safi haah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…