Tundu Lissu ndiye anayefaa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA

Tundu Lissu ndiye anayefaa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA

The unpaid Seller

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2019
Posts
2,113
Reaction score
6,251
Salaam,

Dont get me wrong, Mbowe ni kiongozi mzuri na amekipigania chama kwa mda mrefu. Mbowe amekiletea mafanikio makubwa chama cha CHADEMA kwa muda wa miaka 30 aliyokitumikia lakini zifuatazo ni hoja zinazompa Lissu karata turufu ya uongozi wa chama dhidi ya Mh. Mbowe.

1. Umri. Mbowe anaelekea uzee na katika mapambano na ukombozi inatakiwa damu inayochemka kama ya Lissu.

2. Dhamira. Ukimsikiliza Lissu hata kwa dakika moja utabaina dhamira na utayari wa hali ya juu ya kuleta mabadiliko ila kwa Mbowe kuna usiasa siasa mwingi ndani yake.

3. Uthabiti. Pamoja na umahiri wa Mbowe ila sasa liko wazi jinsi alivyo tayari kulamba asali na kunyamazishwa. (Kama umesikiliza hotuba ya Mbowe ya Mwanza bila shaka utakubaliana na mimi) tofauti kabisa na Lissu. Hauwezi kumuhonga Lissu ndio maana waliamua kumpiga risasi 36 afe.

4. Nia. Mhe Mbowe ana nia njema ya kulikomboa taifa ila pia ana nia ya kujijengea empire, kua na ukwasi / utajiri mkubwa.

Katika hotuba yake alitumia zaidi ya dakika 10 akiongelea jinsi alivyopoteza "mabillioni yake" kwenye siasa, maana yake akipata fursa ya kupozwa kwa mabillion mengine kama fidia atafunga mdomo chap. Opportunist (Nilishaonywa kuhusu kabila fulani wao wakiona kitu pesa wanaweza kukusaliti mchana kweupeeee)

5. Utashi.
Bwana wee ukimsikiliza Lissu jamaa hua anatema data na hoja kuntu wakati mbowe hua ni kama mshereheshaji tu. CHADEMA inahitaji kiongozi kichwa na hata CCM wanakerwa sana sana na uhodari wa Lissu katika kujenga hoja ndio maana waliazimia kumuondoa katika uso wa dunia.

6. Mvuto kwa watu. Hapa kwenye aya hii mtajazia wenyewe nyama maana jambo hili liko wazi kama uchu wa mbuzi.
 
To me, John Heche is the best candidate. He is a true commander from Kulyaland. He is a former bavicha Chairperson for many years!

No one tried to buy him during the period of kuunga mkono juhudi! Yeah, it is time for Comrade Freeman Mbowe to rest.
 
Mmoja ni mwanaharakati na mwingine ni mwanasiasa, Mwanaharakati atakimaliza chama asubuhi sana kuongoza chama cha siasa sio kuongea au misimamo ya jukwaani bali ni uthabiti wa kiongozi kuunganisha wanachama, kujua muda upi kufanya kipi, kukubali kupotezakwa manufaa ya baadaye
 
Back
Top Bottom