Uchaguzi 2020 Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha uwezo zaidi ya Magufuli!

Leo Tarehe 7 Septembre, imetimia miaka 4 kamili tangu Tundu Lissu ashambuliwe na watu wasiojulikana ambao mpaka leo ni miaka 4, bado hawatajulikana.

Shambulio hilo lilifanyika mwezi mmoja na nusu baada ya bandiko hili. Kwa vile hakuna ajuaye sababu za kushambuliwa usikute...

Tumuombee Lissu afya njema na kwenye kuikumbuka siku hii, Mungu amuepushe kupata kitu kinachoitwa "stigimatta"

Pole sana Lissu, survival yako tuu ni muujiza, mwacheni Mungu aitwe Mungu, mengine yote mwachie Mungu.

P.
 
tulikosea Sana kumwamini lissu kuwa anafaa kuwa rais wa nchi ,tulikosea Sana, mwanaharakati,lissu Hana japo chembe ya hekima ,anatukana Kila kitu mtu, siasa haziwezi tulikosea Sana.
Kama hoja hii ni ukweli, then naomba mnisamehe sana, maana, mimi ni miongoni mwa tuliomchagiza Lissu agombee!.
P
 
Lisu hana maana kabisa sifa kubwa ni Hasira. huyu jamaa ni magufuli mwingine
Mkuu NTIGAHELA , Hili la Lissu kufanana na JPM, hata mimi niliwahi kulisema humu.
P
 
Mayalla yeye tujiulize yeye kayajuaje Mambo ya Chadema wakati sio mwana Chadema kumbuka anayoyajua ndani ya Chadema hua ni Yale mabaya tuu hajawahi ona mazuri hata siku Moja
Mkuu MAPITO Mwanza, jee wajua mimi ni miongoni mwa waliomshauri Lissu agombee?. Hili sio jema?.
P
 
Huyu mwamba ameingia leo, kwavile ni mimi nilimshauri Tundu Lissu amkabili Magufuli ile 2020, kwa vile 2025 mgombea urais wa CCM ni Mwanamke, hii hamasa kubwa kumpokea Lissu ni kiashiria Lissu anaweza kushawishiwa uchaguzi wa 2025 Lissu amkabili mgombea Mwanamke wa CCM!.

That will be a mistake!. Chadema imuweke Tundu Lissu standby iwapo CCM itasimamisha mgombea mwanamume, then Chadema impitishe Lissu, lakini CCM ikimsimamisha mgombea urais Mwanamke ili kumlindia heshima Lissu na kuepushia kufadhaika kwa kugalagazwa kwa kushindwa na Mwanamke, Chadema nayo iteue na kumsimamisha mgombea Mwanamke maana sio busara kumshindanisha jianadume zima na Mwanamke, kushindwa na Mwanamke ni aibu, ata aibika, atadhalilika, kufedheheka, kutahayari, kunyong'onyea na kusononeka!.

Dear School mate Tundu Lissu, najua umepitia makubwa. Welcome back home. Nakuomba sana upunguze kidogo kuliishi jina lako, usimsumbue huyu Mama kama ulivyomsumbuaga yule Madam, Mwenyekiti wako Mbowe tayari ameisha onyesha uungwana na ustaarabu mkubwa, wa hali ya juu@, please do the same!, tufanye siasa za kiungwana na kistaarabu. Kubebwa bebeka, ukipedwa pendeka, ukishikwa shikamana, ukiaminiwa jiaminishe!.
Yaliyopita si ndwele, samehe, tugange yajayo tusonge mbele!.
Welcome back home.
Your school mate
Pasco
 
Ukweli unaujua kinachopigwa katika box la kura kwa upande wa urais kwa Tanzani bado ni geresha tu , policcm na vyombo vingine rais wanakua nae tayari.

Kama huamini jiulize kwanini CCM hamuitaki tume huru ya uchaguzi kama ile ya hapo jirani Kenya.

Kenya kesi tu ya kura za urais ilisikilizwa kortini huku na wewe ukiwa shabiki na mfatiliaji huku ukisahau kwa Tanzania hiyo haipo je unaona hapo kuna uchaguzi wa urais au ni geresha?

Pasco huyu wa sasa akikutanishwa na Pascal wa enzi zile za kitimoto hakika atamshangaa sana..
 
Maigizo ya uchaguzi na ya wanasiasa yanatosha, tunchokiomba sasa tuangaliye maslahi ya wananchi wengi ambao hawajapta kufaidi rasilimali za nchi yao nao wapate mema ya nchi yao.
 
Umezeeka vibaya,hivi kwa umri wako hujawahi kujua kuwa CCM wanaiba kura za Urais,ubunge na madiwani. Ashindane kwa tume ipi ya uchaguzi,sisi wa juzi tumejionea watendaji wa serikali na vyombo vya usalama vikipora mabox ya Kura eti wameelekezwa bila hivo kazi hawana. Alfu wewe na uzee wako unaropoka ni vema ujielekeze kuishauri CCM ikubali katiba Mpya kwa Nini inaiogopa,We ni Mnafiki na kwa akili hizo hupaswi kushauri chochote.
 
One cannot steal from himself, Tanzania ni mali ya CCM, hivyo CCM haiwezi kuiba chochote bali ni inachukua tuu!.
P
 
One cannot steal from himself, Tanzania ni mali ya CCM, hivyo CCM haiwezi kuiba chochote bali ni inachukua tuu!.
P
Leo nilikuwa naangalia archives za AP media nikapitia kutazama siku Moi anamkabidhi Kibaki Madaraka akiwa kwenye wheelchair na kuhitimisha utawala wake wa miaka 24 na utawala wa KANU tangu wapate uhuru.

Bado nina imani ipo siku japo sio karibu sana au mbali sana CCM itang'oka madarakani ila sio kupitia vyama vingine pinzani bali ni movement za mtu/watu asiyetegemewa/wasiotegemewa kabisa.
 
Bado nina imani ipo siku japo sio karibu sana au mbali sana CCM itang'oka madarakani ila sio kupitia vyama vingine pinzani bali ni movement za mtu/watu asiyetegemewa/wasiotegemewa kabisa.
Mkuu Matrix19 , nilitamani kukuuliza huyo asietegemewa ni kama nani vile wa kuing'oa CCM madarakani from CCM wenyewe?. Mwalimu Nyerere aliwahi kusema Rais mzuri wa Tanzania, lazima atatoka CCM tuu. Je tuendelee kutegemea hili kwa uchaguzi wa 2025?, mimi hesabu zangu zilikuwa ni kwa uchaguzi wa 2030 Uchaguzi mkuu wa mwaka 2030, ndio mwanzo wa mwisho wa CCM! Wajinga karibu wote watakuwa wamemalizika! hivyo nimewashauri wapinzani Kama Upinzani unataka mafaniko ya kweli 2025, Iachane na Urais, Ujikite Serikali za Mitaa, Ubunge na Udiwani, Urais labda 2030!
P
 
Mkuu Nginana, leo nilikuwa napitia post yako hii ya 2017 ilikuwa very objective. Tundu Lissu sasa anajipanga kumkabili Samia 2025, what are the stakes?.
P
 
Kwani KANU haitawali sasa hao wanaotawala sasa si ni wale wale wa KANU ila wamekuja na vyama vingine kuwadanganya wakenya!!?
 
KANU inatawala kwa kigezo kipi?

Una uhakika KANU ndio inatawala na kwahivyo KANU ni chama chenye viti vingi bungeni??
Mwenye akili pevu tu ndio anaweza kuelewa nilichoandika.
 
Wanabodi baada ya mnyama Simba kupewa jina la TL, kuna siku nilisema TL ni zaidi ya Magufuli, hivyo leo mnyama Simba alipopewa jina TL, nikalikumbuka bandiko hili, I was right.
Wanabodi,
Leo nimelikumbuka bandiko hili kuhusu TL kukosesha mtu usingizi baada ya kuiangalia clip hii
View: https://youtu.be/UXFoyKtbEEA?si=l6IxoAUVEFFWXWSP
Usikute TL anamkosesha mtu usingizi!, halafu itokee TL ndie asimame nae 2025!, na alivyo hana break... si kuna mtu ataogeshwa .... kila uchao?.
Hapa ni ninauliza tuu!.

Ndio maana nimeshauri, kama mgombea wa urais wa chama kubwa 2025 ni mwanamke, then vyama vyote viweke wagombea urais wanawake wapambane na sio jitu dume zima lipambane ma majike!.

Hivyo nikapendekeza Iwapo Watanzania wataamua 2025 twende na Mwanamke, mnaonaje tukiwashauri CHADEMA wasimamishe Mwanamke? Maana Mwanaume kushindwa na Mwanamke ni aibu!

Na endapo wapinzani watakuwa hawana kabisa mwanamke ambaye ni match na mgombea wa chama kubwa hivyo ni lazima kumsimamisha mwanaume, then mgombea wa upinzani asiwe TL ili kumstahi mgombea mwanamke, maana jinsi TL asivyo na breki, hachelewi kumuogesha na mvua ya ... TL saizi yake alikuwa JPM na sio huyu Maza Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha uwezo zaidi ya Magufuli!

hivyo nimeshauri mgombea wa upinzani awe Kama CCM Itamsimamisha Rais Samia 2025, Mnaonaje Freeman Mbowe Awe Mgombea wa Upinzani? Atapiga Ndege 3 kwa Jiwe Moja, Atavuna Wabunge Wengi ila... sababu ya kupendekeza FM ni kufuatia kukubali maridhiano na CCM kugawana nusu mkate, TL anayabeza maridhiano Msikie Tundu Lissu Hapa, Anauliza Kama Wenzake Wana Akili Kweli! Maridhiano Ayaita Ujinga. Je, Lissu Bado ni Asset or Sasa ni A Liability?

Hili mnalionaje?.

P
 
Kazi iendelee 2025?, TL ndie asimame na Samia?.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…