Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Wakuu
Kila nikijaribu kufuatilia Siasa za Tanzania kwasasa naona Tundu Lissu, ndiye mtu mwenye mvuto na ushawishi zaidi nchini. Wananchi wanampenda hata bila kutumia nguvu ya Wasanii/machawa.
Kiongozi huyo wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), amejenga sifa ya kuwa kiongozi anayewakilisha matumaini ya wananchi wengi wa Tanzania, kutokana na ujasiri wake, uadilifu, na msimamo wake wa haki na kukemea ufisadi.
Lissu anaweza kuwa mwanga wa matumaini kwa wananchi wanaotamani mageuzi ya kisiasa na kijamii katika nchi yao. Huu ni wakati wako TAL wa kuikomboa nchi.
Leo Lissu ameitisha press hajaita wakina Baba Levo wala kina Mwijaku lakini Tanzania yote imesimama wakati kuna chama hata kugawa mitungi ya gesi tu lazima waite wasanii.
CCM nendeni pale Mikocheni mkachukue notes kutoka kwa Tundu Lissu. Acheni siasa za majitaka.

machawa wanateseka sana safari hii na hapo TAL hajachukua nchi, watakufa wooote