Pre GE2025 Tundu Lissu ndiye kiongozi mwenye mvuto zaidi Tanzania, Wananchi wanampenda hata bila kutumia nguvu ya Wasanii/machawa

Pre GE2025 Tundu Lissu ndiye kiongozi mwenye mvuto zaidi Tanzania, Wananchi wanampenda hata bila kutumia nguvu ya Wasanii/machawa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Bwahahah tafuta topic nyingine. Kama walio mchagua hawakuona hilo ww ni nani bwana mdogo?
Kaa utulie. Ndio imeshakuwa
topic ni mvuto wa mpotoshaji,

ambae akivaa bulet proof vest anavutia sana na kupata huruma ya wadau :pedroP:
 
Bado Ana kibarua kizito mbele yake, kwanza kuponya majeraha, akina bon yai hawajawa sawa bado. Pili, kukiinua chama kiuchumi hata posho za viongozi ngazi ya chini na ofisi za chama wilayani na mikoani huko bado ni changamoto, Tatu an kibarua cha kuweka mikakati thabiti ya uteuzi wa wagombea majimboni ili angalau wapatikane kadhaa watakaoimarisha chama wakitokea bungeni. Mungu amsaidie.!
Sawa ila hivyo ni vitu vidogo sana ukilinganisha na majeraha ya Watanzania wengi ambao wana majeraha makubwa mioyoni mwao
 
Back
Top Bottom