Bado Ana kibarua kizito mbele yake, kwanza kuponya majeraha, akina bon yai hawajawa sawa bado. Pili, kukiinua chama kiuchumi hata posho za viongozi ngazi ya chini na ofisi za chama wilayani na mikoani huko bado ni changamoto, Tatu an kibarua cha kuweka mikakati thabiti ya uteuzi wa wagombea majimboni ili angalau wapatikane kadhaa watakaoimarisha chama wakitokea bungeni. Mungu amsaidie.!