Tundu Lissu, nenda mahakamani badala ya kulalamika huko Kenya

Mnamwita mwenyewe kwenye media na kumuuliza maswali hayo...

Kwanini akiwajibu mnamwona kuwa analalamika...?

Kama ni ishu ya mahakamani, utafika wakati wake na wahusika watafikishwa huko...!
Jamaa anajifanya kama amesikia tu hizo taarifa wakati inaonesha ni mwandishi rasmi.
 
Unadhani ni busara kwenda kwenye mahakama zinazopigiwa simu na akina Rostam na kuamua kama wapendavyo? Kwani akilalamika hata chooni wewe inakuhusu au kukuathiri nini?
 
Unadhani ni busara kwenda kwenye mahakama zinazopigiwa simu na akina Rostam na kuamua kama wapendavyo? Kwani akilalamika hata chooni wewe inakuhusu au kukuathiri nini?
Watanzania wa leo ni tofauti na wale wa zamani. Shule za kata ni dhaifu lakini zimeongeza thamani kwa watanzania wengi katika kufikiria. Wanailinganisha nchi yao na maisha yao na majirani zao kama Rwanda, Burundi, Uganda, Kenya, DRC, Msumbiji, Malawi, Zambia, Sudan, Somalia, Somalia, Ethiopia, na Comoro. Tanzania ina wageni wengi zaidi wanaotoka nchi nyingine kutafuta maisha na makazi hapa. Tz ina wacheza mpira kutoka mataifa yote Afrika na nje ya Afrika, no doubt, hiyo ni strength ya mtawala na utawala.
 
Nyie mna demokrasia gani zaidi ya kuuana tu
 
Mbona sera za CHADEMA zinajulikana. Shida wewe ni CCM halafu unajifanya kuifahamu CHADEMA
 
Unadhani ni busara kwenda kwenye mahakama zinazopigiwa simu na akina Rostam na kuamua kama wapendavyo? Kwani akilalamika hata chooni wewe inakuhusu au kukuathiri nini?
kama mahakama zingekuwa hazifanyi kazi (no rule of law) hata mabalozi wa nchi zote wangeshaikimbia nchi hii. Tusidanganyane hapa. Hebu fanya kosa tuone kama hutafungwa jela.
 
Tatizo mahama zetu wanafuata maagizo kutoka juu
 
..wanaotakiwa kushtaki waliomshambulia Lissu ni JAMHURI / POLISI, lakini mpaka leo hii hawataki kutimiza wajibu wao.
 
kelele za chura 🐒
 
..wanaotakiwa kushtaki waliomshambulia Lissu ni JAMHURI / POLISI, lakini mpaka leo hii hawataki kutimiza wajibu wao.
Shida ya Lisu hana adabu. Ni rahisi sana mtu kufikiria kuwa ni pandikizi la siasa za magharibi. Anapinga Kila kitu, anafanya siasa siku zote za wiki kwa miezi yote 12.
 
Shida ya Lisu hana adabu. Ni rahisi sana mtu kufikiria kuwa ni pandikizi la siasa za magharibi. Anapinga Kila kitu, anafanya siasa siku zote za wiki kwa miezi yote 12.

..sio kweli.

..hakuna lolote linalopingwa nchi hii.

..Ccm wana Raisi, wana bunge, na mahakama.

..katika mazingira hayo Ccm inaweza kufanya jambo lolote, bila kuingiliwa, au kupingwa, na mtu yeyote.

..Lissu amewazidi kipaji, uwezo wa kujenga hoja, viongozi wengi wa Ccm, na hicho ndicho kinachomletea matatizo.
 
Ni hatari sana na sio mawazo ya mtu mwenye akili timu Samia na Tanzania hakuna jema hata Moja zaidi ya DP world na kuwapa watu wageni ardhi. Utapingwa na wanaCCM na wasio CCM, watanzania na wasio watanzania.

Lisu alitaka ardhi ya kufanya nini akanyimwa? Ardhi ipo TU ya kutosha isiyokuwa na kazi, kama tunaweza kuipangisha tukapata fedha Kuna shida ipi? Ni mtanzania yupi amekosa ardhi ya kufanya nini?
 
Unaonekana unaumia sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…