Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Unaanza kutukana watu ni Mediocres kwa sababu tu umetoa Uzi huu? Kwamba wewe unapointi sana?Kaonyesha weakness kubwa sana, sema tu watu wengi ni mediocres wanamsifia tu bila reasoning ya maana!
Lissu ni kweli amekuja mapema. Lakini Do you know hiyo Case imefikaje Ulaya? Who pushed that? Mpaka hapo ilipo unadhani Lissu alikuwa hajui?
Mwenendo wa case Mlalamikiwa aliomba ifanywe kuwa siri huko Ulaya yaani iondeshwe kimya kimya kwa sababu ni kesi ya aibu. Hata Hivyo Mahakama ikaona Case ina Public interest Duniani kote lazima iwekwe wazi na Ndio ikachapishwa Taarifa zake kwenye magazeti ya maana ya Ulaya.
So waliochapisha na Lissu ambaye ni Mwathirika nani amekurupuka?