Tundu Lissu ni clever but not Intelligent person. Ni Kiongozi mwenye papara sana na hana utulivu kabisa

Kaonyesha weakness kubwa sana, sema tu watu wengi ni mediocres wanamsifia tu bila reasoning ya maana!
Unaanza kutukana watu ni Mediocres kwa sababu tu umetoa Uzi huu? Kwamba wewe unapointi sana?

Lissu ni kweli amekuja mapema. Lakini Do you know hiyo Case imefikaje Ulaya? Who pushed that? Mpaka hapo ilipo unadhani Lissu alikuwa hajui?

Mwenendo wa case Mlalamikiwa aliomba ifanywe kuwa siri huko Ulaya yaani iondeshwe kimya kimya kwa sababu ni kesi ya aibu. Hata Hivyo Mahakama ikaona Case ina Public interest Duniani kote lazima iwekwe wazi na Ndio ikachapishwa Taarifa zake kwenye magazeti ya maana ya Ulaya.

So waliochapisha na Lissu ambaye ni Mwathirika nani amekurupuka?
 
..hajakurupuka.

..according to him, hizi taarifa alikuwa nazo tangu siku Mzee Ally Kibao alipofariki.

..kipindi chote hicho alikuwa mtulivu mpaka magazeti ya Uingereza yalipoanza kuandika, na habari kufika ktk mitandao ya kijamii ya Tanzania.

..lakini pia Lissu amekuwa na subira kwa miaka 7 tangu ashambuliwe.
Tigo itawataka mahakamani waliipanga wote mashambulizi.

Kwa mujibu wa Mahakama imeiita hii kesi ni Tukio la Kigaidi. Hii Label sio ya kitoto. Itaondoka na wengi
 
Umeleta ujinga wako hapa.....hii nchi nawapumbavu sana ,alichoongea LISu sahihi asilimia zote,anahoja za kisheria kwasababu tayari huyo mtumishi wa Scotland yard ananyaraka muhimu ,ndomana amesema wazi mengine yataongelewa kwa mudawake ,aliyoongea Leo ni utangulizi

Huyu huyu LISu ,ndiye aliyeikataa ripoti ya prof mruma ,mlikuja na vioja kama hivyo lakini matokeo mnayapata au hayapatikani
 
Nimemsikiliza Tundu Lissu kwa makini sana!

Nina sympathize naye kwa masaibu aliyopata lakini kwenye hili jambo kakurupuka sana!

Huwezi shinda vita yoyote ya maana bila mkakati wa maana!
(The Art of War by Sun Zu)!

Tundu Lissu angejipa muda kwanza na angefuatilia hiyo case ya Uingereza huku akikusanya ushahidi taratibu.

Angesubiri aone pia kama Judgement ingekuwa in favor ya huyo Whistle Blower wake Michael Clifford then angekuwa kwenye position nzuri ya kufanya well informed decision!

Kaonyesha weakness kubwa sana, sema tu watu wengi ni mediocres wanamsifia tu bila reasoning ya maana!

Sana sana nimemsikia akibeza Mahakama zetu za Profesa Juma!!

Ameonyesha tamaa ya kulipwa mapesa mengi na Tigo!!
Amedhihirisha pia siyo mzalendo na kumbe ni kweli Hayati Magufuli alikuwa sahihi kwamba anashirikuana na maadui zetu kukamata Ndege zetu!!

Tundu Lissu ni mkurupukaji sana! Utulivu zero kabisa!
Sio kweli , unless you are very Junior kwenye huu ulimwengu. Alichofanya Lissu ni sahihi hasa kwenye ulimwengu wa siasa ambao ni ulimwengu wa kupotezana muda wowote.

Ameweka rekodi sawa na kila mtanzania anauelewa na kinachoendelea kwenye kesi. Kumbuka ishu ya lissu sio main kesi, jamaa anatumia kama utetezi, with that evidence lisu anaenda kufungua kesi yake dhidi ya tigo na serikal . Mlitaka asubiri ili na ku buy buy time ili iweje ?
mumpoteze mazima ? Na kuondoa usumbufu

Au unadhan UK wame release hiyo ishu bahati mbaya.? Mzungu hajawahi kukosa akili kama ngozi nyeusi.

Wait and see ….

JPM mwenyewe alikiri walikuwa wanafanya tracking na printout

Hii ngoma ni skendo kuliko unavoichukulia as if ni udaku.

Mola wetu ni mmbora wa vitimbi, wakati mnapanga ukatili na yeye anapanga kutegua vitimbi
 
Kesi bado inaendelea, hakuna judgement imetoka! Mimi ni Legal Brain najua ninachoongea!
Tatizo akili huna kama rangi yako. Hiyo Kesi inayoendelea sio ya msingi kwa Lissu, jama ashinde au ashindwe haitokuwa na ishu kwa lissu, Lissu anachukua évidence na report za investigation na kufungua kesi Yake independently

Shida ni English ?
 
Nimemsikiliza Tundu Lissu kwa makini sana!

Nina sympathize naye kwa masaibu aliyopata lakini kwenye hili jambo kakurupuka sana!

Huwezi shinda vita yoyote ya maana bila mkakati wa maana!
(The Art of War by Sun Zu)!

Tundu Lissu angejipa muda kwanza na angefuatilia hiyo case ya Uingereza huku akikusanya ushahidi taratibu.

Angesubiri aone pia kama Judgement ingekuwa in favor ya huyo Whistle Blower wake Michael Clifford then angekuwa kwenye position nzuri ya kufanya well informed decision!

Kaonyesha weakness kubwa sana, sema tu watu wengi ni mediocres wanamsifia tu bila reasoning ya maana!

Sana sana nimemsikia akibeza Mahakama zetu za Profesa Juma!!

Ameonyesha tamaa ya kulipwa mapesa mengi na Tigo!!
Amedhihirisha pia siyo mzalendo na kumbe ni kweli Hayati Magufuli alikuwa sahihi kwamba anashirikuana na maadui zetu kukamata Ndege zetu!!

Tundu Lissu ni mkurupukaji sana! Utulivu zero kabisa!
Muache azungumze apate relief ya mambo aliyoptia. Imagine wewe ukisikia mlio mmoja tu wa risasi unatamani uingie chini uvungu ujifiche, yeye kasikia milio 32 ya risasi huku 16 zikiishia mwilini kwake.
 
Tundu Lissu angejipa muda kwanza na angefuatilia hiyo case ya Uingereza huku akikusanya ushahidi taratibu
'Heading' ya mada nadhani inatatiza:' intelligent' versus 'clever' - it is debatable.

Ninakubaliana na mstari wako huo nilio unyanyua hapo juu; lakini huu hauelezei u-''clever au u-'intelligence' wa mhusika.

Mtu intelligent au clever anaweza vile vile kuwa ni mtu wa pupa, mtu asiye kuwa na subira na jambo; kulikalia na kulitafakari kwa kina kabla ya kulitolea uamzi au maelezo.
Je, mtu anaye semwa kuwa na "busara/hekima", ni sawa na ambaye ni 'intelligent', au 'clever; au hiyo ni sifa ya kipekee inayo jitosheleza yenyewe'?

Tundu Lissu; kwa maoni yangu ni 'intelligent', kuliko kuwa 'clever'. Mtu 'clever (mjanja mjanja) anazo sifa, ni 'calculating', mwepesi wa kutumia 'advantage' kwa upande wake.

Kwenye swala hili, Lissu haonyeshi kuwa ni 'clever'.

Mtu mwenye sifa ya kuwa 'intelligent', ni yule anaye 'grasp' mambo mapya haraka na kuyaelewa. Tundu Lissu uwezo huo anao; ila hana subira, na hana ujanja ujanja (cleverness) ya kutumia hali hiyo effectively kwa manufaa yake kama ulivyo eleza kwenye mada yako.

Kama kiongozi mkubwa wa kisiasa, itamlazimu sana hii tabia ya kurukia mambo haraka haraka na kuyatolea msimamo aitafutie njia ya kuifubisha.
 
Tatizo akili huna kama rangi yako. Hiyo Kesi inayoendelea sio ya msingi kwa Lissu, jama ashinde au ashindwe haitokuwa na ishu kwa lissu, Lissu anachukua évidence na report za investigation na kufungua kesi Yake independently

Shida ni English ?
Sawa.
Lakini sababu ya kuita waandishi wa habari haraka hivyo haileti mantiki kwa wakati huu. Hili siyo jambo la haraka tena kwake.
 
Nimemsikiliza Tundu Lissu kwa makini sana!

Nina sympathize naye kwa masaibu aliyopata lakini kwenye hili jambo kakurupuka sana!

Huwezi shinda vita yoyote ya maana bila mkakati wa maana!
(The Art of War by Sun Zu)!

Tundu Lissu angejipa muda kwanza na angefuatilia hiyo case ya Uingereza huku akikusanya ushahidi taratibu.

Angesubiri aone pia kama Judgement ingekuwa in favor ya huyo Whistle Blower wake Michael Clifford then angekuwa kwenye position nzuri ya kufanya well informed decision!

Kaonyesha weakness kubwa sana, sema tu watu wengi ni mediocres wanamsifia tu bila reasoning ya maana!

Sana sana nimemsikia akibeza Mahakama zetu za Profesa Juma!!

Soma Pia:

Ameonyesha tamaa ya kulipwa mapesa mengi na Tigo!! Amedhihirisha pia siyo mzalendo na kumbe ni kweli Hayati Magufuli alikuwa sahihi kwamba anashirikuana na maadui zetu kukamata Ndege zetu!!

Tundu Lissu ni mkurupukaji sana! Utulivu zero kabisa!
Hiyo taarifa wewe umeipata jana, yeye kwa maelezo yake aliipata kitambo. Hakushirikiana na yeyote kukamata ndege yoyote ya Tz, wewe ndio mkurupukaji. Katoa taarifa tu kwamba ndege imekamatwa, kitu kilichokuwa kinafanywa Siri.
 
Vaa viatu vyake kwanza kisha ndiyo uje na ushauri huo.

Michael Clifford kashatoa report ya jinsi serikali ilivyoomba printout/traces za lissu na hatimaye zikafanikisha yeye kumiminiwa risasi ,kwahiyo report ipo so based on that report ndiyo anaanzia hapo.
 
Hata yeye akikusoma anakuona mpumbavu mmoja, unaongea uko safe wewe na familia yako...hujanusurika na bullet huku ukimuona aliyejaribu kukuua is living his life as normal...
Huyo unaye fikiri '" ...is living his life as normal..."; anaweza kuwa anaigiza tu aonekane kuwa 'normal'; kwani hakuna tena cha kuwa 'normal' ukisha pitia katika hali ile, na hasa mlengwa (manusura) kila mara akikukumbusha na kutonesha vidonda ulivyo navyo. Kila mara utahofu ni lini huyo manusra atakuingiza mtegoni akumalize.

Hayo kamwe hayawezi kuwa "...living normal life".
 
Vaa viatu vyake kwanza kisha ndiyo uje na ushauri huo.

Michael Clifford kashatoa report ya jinsi serikali ilivyoomba printout/traces za lissu na hatimaye zikafanikisha yeye kumiminiwa risasi ,kwahiyo report ipo so based on that report ndiyo anaanzia hapo.
Kuna relation gani ya serikali kuomba info za Lissu kutoka TiGO na maamuzi ya kushambuliwa (kama based on that info).

Seriously watanzania mnaitaji kunyooshwa the reasoning of you people is way below developed nations.

Magufuli alikuwa soft anahitajika mtu wa kuwapa life perspective, mnaishi kwenye dunia moja ambayo mambo ni rahisi sana.
 
"Tulikuwa tunatrepu simu zake na tukaona alikuwa anamuomba Mwanyika leta document hii leta ducument ile ,vita ya kiuchumi ni mbaya sana maana adui haumuoni,ukiwa msaliti hautakiwi kusurvive" hayo maneno aliyaongea JPM baada ya 2hrs TAL akamiminiwa mvua ya risasi ,kwahiyo umeona relationship hapo ya sirikali via JIWE kutrepu simu zake(Kupata taarifa kutoka tigo na akamterm kama adui).

Hakuna ubishi kwamba sirikali ndiyo iliyofanya shambulizi la TAL dodoma 7 sept 2017 ,ndiyo maana siku hiyo ulinzi uliondolewa na pia hakuna jalada la uchunguzi lililofunguliwa katika kituo chochote cha polisi.

Lokuta eyaka na ascenseur Vérité eh yé n'escalier pé ekomi - Uongo unapanda na lift lakini ukweli unapanda ngazi lakini utafika tu.
 
Nimemsikiliza Tundu Lissu kwa makini sana!

Nina sympathize naye kwa masaibu aliyopata lakini kwenye hili jambo kakurupuka sana!

Huwezi shinda vita yoyote ya maana bila mkakati wa maana!
(The Art of War by Sun Zu)!

Tundu Lissu angejipa muda kwanza na angefuatilia hiyo case ya Uingereza huku akikusanya ushahidi taratibu.

Angesubiri aone pia kama Judgement ingekuwa in favor ya huyo Whistle Blower wake Michael Clifford then angekuwa kwenye position nzuri ya kufanya well informed decision!

Kaonyesha weakness kubwa sana, sema tu watu wengi ni mediocres wanamsifia tu bila reasoning ya maana!

Sana sana nimemsikia akibeza Mahakama zetu za Profesa Juma!!

Soma Pia:

Ameonyesha tamaa ya kulipwa mapesa mengi na Tigo!! Amedhihirisha pia siyo mzalendo na kumbe ni kweli Hayati Magufuli alikuwa sahihi kwamba anashirikuana na maadui zetu kukamata Ndege zetu!!

Tundu Lissu ni mkurupukaji sana! Utulivu zero kabisa!
Deep deep kabisa unajua ukweli kuwa wewe ndio mkurukupukaji
 
Back
Top Bottom