DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Tundu Lissu ndo mwanasiasa bora Kuwahi kutokea Tanzania.
Kapigwa risasi Ila yupo imara. Kawekwa ndani sana Ila yupo imara.
Kaondolewa bungeni bila sababu za msingi Ila yupo imara.
Tundu Lissu ndo mwanasiasa aliyeweza kuishinda njaa ya tumbo na kubaki na umaarufu wake ule ule.
Hivyo Lissu to me is GOAT. Great of all time.
NB: Vijana hakikisheni njaa haisomeki katika AKILI zenu na MOYO ndo mtafika hii hatua aliyoifikia Lissu ya kuwa GOAT