ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 14,949
- 54,485
Sema hapahapa!Nifungulie PM nikuambie kitu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema hapahapa!Nifungulie PM nikuambie kitu
Nakubaliana nawe 100% TL ni mwanasiasa msomi anayetuma usomi wake kikamilifu. Ni kwamba watanzania tunaishi katika ignorance na tunashindwa kuangalia mbali zaidi zaidi ya kuwaza kesho zetu zitakuwaje kama tukienda tofauti na mfumo huu didimizi hata kwa watumishi wa umma.Tundu Lissu ndo mwanasiasa bora Kuwahi kutokea Tanzania .
Kapigwa risasi Ila yupo imara
Kawekwa ndani sana Ila yupo imara
Kaondolewa bungeni bila sababu za msingi Ila yupo imara.
Tundu Lissu ndo mwanasiasa aliyeweza kuishinda njaa ya tumbo na kubaki na umaarufu wake ule ule.
Hivyo Lissu to me is GOAT
Great of all time.
Nb vijana hakikisheni njaa haisomeki katika AKILI zenu na MOYO ndo mtafika hii hatua aliyoifikia Lissu ya kuwa GOAT
Kwangu haina maana, ndio maana nimeifungaSasa PM ilikuwa na maana gani?
Lisu ni Kichaa Of All the Time (KOAT). Mi nilimgundua ni kichaa pale ambapo Dkt Magufuli alikuwa anashughulikia resources za nchi yetu zitufaidishe yeye alikuwa anachukua rushwa na akina kafuku za wazungu ili kuangalia loopholes za kuwasaidia wazungu and they told him to make noise, wakati huo kipindi cha Dkt JK alimsema for no action, same kaja Dkt Samia akamshukuru na kumnanga Dkt Magufuli, then huyo huyo sasa anaita ikulu matope etc.Tundu Lissu ndo mwanasiasa bora Kuwahi kutokea Tanzania .
Kapigwa risasi Ila yupo imara
Kawekwa ndani sana Ila yupo imara
Kaondolewa bungeni bila sababu za msingi Ila yupo imara.
Tundu Lissu ndo mwanasiasa aliyeweza kuishinda njaa ya tumbo na kubaki na umaarufu wake ule ule.
Hivyo Lissu to me is GOAT
Great of all time.
Nb vijana hakikisheni njaa haisomeki katika AKILI zenu na MOYO ndo mtafika hii hatua aliyoifikia Lissu ya kuwa GOAT
Match ya The Citizens au The Blues ndio uniiteNjoo tuangalie Liverpool vs Spurs
Ndo mana hadi leo mnalipa mabilioni ya fedha kwenye mashauri ya kimataifa kwa kutosikiliza ushauri wa LissuLisu ni Kichaa Of All the Time (KOAT). Mi nilimgundua ni kichaa pale ambapo Dkt Magufuli alikuwa anashughulikia resources za nchi yetu zitufaidishe yeye alikuwa anachukua rushwa na akina kafuku za wazungu ili kuangalia loopholes za kuwasaidia wazungu and they told him to make noise, wakati huo kipindi cha Dkt JK alimsema for no action, same kaja Dkt Samia akamshukuru na kumnanga Dkt Magufuli, then huyo huyo sasa anaita ikulu matope etc.
Lisu hana akili na ni mbumbu kabisa na bichwani ni zero brain 🧠Ndo mana hadi leo mnalipa mabilioni ya fedha kwenye mashauri ya kimataifa kwa kutosikiliza ushauri wa Lissu
Lisu hana akili na ni mbumbu kabisa na bichwani ni zero brain 🧠Ndo mana hadi leo mnalipa mabilioni ya fedha kwenye mashauri ya kimataifa kwa kutosikiliza ushauri wa Lissu