Tundu Lissu ni Goat katika siasa za Tanzania

Nakubaliana nawe 100% TL ni mwanasiasa msomi anayetuma usomi wake kikamilifu. Ni kwamba watanzania tunaishi katika ignorance na tunashindwa kuangalia mbali zaidi zaidi ya kuwaza kesho zetu zitakuwaje kama tukienda tofauti na mfumo huu didimizi hata kwa watumishi wa umma.
 
Lisu ni Kichaa Of All the Time (KOAT). Mi nilimgundua ni kichaa pale ambapo Dkt Magufuli alikuwa anashughulikia resources za nchi yetu zitufaidishe yeye alikuwa anachukua rushwa na akina kafuku za wazungu ili kuangalia loopholes za kuwasaidia wazungu and they told him to make noise, wakati huo kipindi cha Dkt JK alimsema for no action, same kaja Dkt Samia akamshukuru na kumnanga Dkt Magufuli, then huyo huyo sasa anaita ikulu matope etc.
 
Ndo mana hadi leo mnalipa mabilioni ya fedha kwenye mashauri ya kimataifa kwa kutosikiliza ushauri wa Lissu
 
JPM alikuwa dikteta. Wote tukaogopa kusema wazi. Wazee wengine kina Shivji wanasema kimafumbo. Lakini Lissu akaitisha media na akatangaza Magufuli ni dikteta uchwara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…