Pre GE2025 TUNDU LISSU: Ni kweli CHADEMA kimepoteza mvuto hasa kwa vijana na walalahoi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mbangaizaji wa Taifa

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2024
Posts
493
Reaction score
844
Mgombea makini wa nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA ngazi ya Taifa Mhe.Tundu Lissu amekiri hadharani kuwa CHADEMA chini ya Mbowe haina uwezo tena wa kuvitia hata Mwanachama kichaa.

Soma alichosema huko Clubhouse X

"Tazameni chama chetu kinavyozidi kupoteza ile ARI na MORALI ya umma kutuunga mkono kama chama kikuu cha upinzani. Tazameni hata ile nguvu yetu ya vijana iliyokuwa inapelekea chama chetu kiitwe chama cha vijana leo hakuna tena nguvu ya vijana ambao ndio nguvu tegemeo ya chama hasa chama kama CHADEMA kinacholenga kukiondoa chama dola madarakani".

Leo hii vijana wanaona bora wakacheze pool table na ku-bet mitaani kuliko kukipigania chama chao. Ni kwa nini tumefika kwenye hali hii? Hili ndilo swali la msingi sana ambalo wanachama wenzetu wanaokuja kwenye mkutano mkuu wanapaswa kujiuliza na watafakari hali ya hiki chama chetu itakuwaje miaka mitano mingine ijayo kama hatutabadili mifumo ya uongozi wa chama kupitia uchaguzi huu wa januari"

Kwa kweli vyama vya upinzani vimetuweka kwenye hali mbaya Watanzania hatujui tufanyeje maana CCM tumeichoka lakini hatuoni chama mbadala!
ccm inaonekana imara kwa vile cdm imelegalega
 
Jitose tu baharini kuliko kutoboa chombo tuzame wote.....wenye SCOPE tumesha GUTUKA!!!
 
Mgombea makini wa nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA ngazi ya Taifa Mhe.Tundu Lissu amekiri hadharani kuwa CHADEMA chini ya Mbowe haina uwezo tena wa kuvitia hata Mwanachama kichaa.

Soma alichosema huko Clubhouse X

"Tazameni chama chetu kinavyozidi kupoteza ile ARI na MORALI ya umma kutuunga mkono kama chama kikuu cha upinzani. Tazameni hata ile nguvu yetu ya vijana iliyokuwa inapelekea chama chetu kiitwe chama cha vijana leo hakuna tena nguvu ya vijana ambao ndio nguvu tegemeo ya chama hasa chama kama CHADEMA kinacholenga kukiondoa chama dola madarakani".

Leo hii vijana wanaona bora wakacheze pool table na ku-bet mitaani kuliko kukipigania chama chao. Ni kwa nini tumefika kwenye hali hii? Hili ndilo swali la msingi sana ambalo wanachama wenzetu wanaokuja kwenye mkutano mkuu wanapaswa kujiuliza na watafakari hali ya hiki chama chetu itakuwaje miaka mitano mingine ijayo kama hatutabadili mifumo ya uongozi wa chama kupitia uchaguzi huu wa januari"

View attachment 3184871
ID yako sasa!!
 
Aiseee hiyo video imemaliza kila kitu
 
Back
Top Bottom