Pre GE2025 TUNDU LISSU: Ni kweli CHADEMA kimepoteza mvuto hasa kwa vijana na walalahoi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kama viongozi wa upinzani ndio hawa wa aina ya Tundu Lissu CCM itatwala mpaka mwisho wa dunia. Mtu makini hawezi kuwa na imani kwa vyama vinavyoongozwa na watu aina ya Lissu.
 
Mropokaj huyo
Hafai kupewa chama atatoa siri
Kila chama kina siri zake
Ila huyu hafai akaanzishe chama chake au aende kwa zitu
 
Sababu ni huyo Mzee wa Konyagi naona hapo Yuko maji balaa
Namuona baba anayumba dah opening ulinzi amalize miaka yake tena akabidhi chama amechoka uasi wa ndani unachosha akili maana amekitoa hichi chama mnali sana
 
CCM kama ingekuwa imara wasingevuruga mchakato wa uchaguzi wa serikali za mitaa na kuiba kura hadi kujitangazia ushindi wa punyeto wa 99%.
Watajua wenyewe utakula ulipo peleka mboga
 
Namuona baba anayumba dah opening ulinzi amalize miaka yake tena akabidhi chama amechoka uasi wa ndani unachosha akili maana amekitoa hichi chama mnali sana
Anzishen chama chenu kwan shida ni nn
 
Ina maana vyombo vya dola vinaogopa kumwajibiIsha Mbowe kama ni kweli anaua watu?!

Achana na madai ambyo huwezi kuthibitisha.
Achana na huyo takataka ana chuki binafsi
Yeye ndiyo muuwaji
 
Dhambi za kuvunja ndoa za watu na kuwapa viti maalumu ndiyo kinachokitafuna hicho chama na bado!
 
Mgombea makini wa nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA ngazi ya Taifa Mhe.Tundu Lissu amekiri hadharani kuwa CHADEMA chini ya Mbowe haina uwezo tena wa kuvitia hata Mwanachama kichaa.

Soma alichosema huko Clubhouse X

"Tazameni chama chetu kinavyozidi kupoteza ile ARI na MORALI ya umma kutuunga mkono kama chama kikuu cha upinzani. Tazameni hata ile nguvu yetu ya vijana iliyokuwa inapelekea chama chetu kiitwe chama cha vijana leo hakuna tena nguvu ya vijana ambao ndio nguvu tegemeo ya chama hasa chama kama CHADEMA kinacholenga kukiondoa chama dola madarakani".

Leo hii vijana wanaona bora wakacheze pool table na ku-bet mitaani kuliko kukipigania chama chao. Ni kwa nini tumefika kwenye hali hii? Hili ndilo swali la msingi sana ambalo wanachama wenzetu wanaokuja kwenye mkutano mkuu wanapaswa kujiuliza na watafakari hali ya hiki chama chetu itakuwaje miaka mitano mingine ijayo kama hatutabadili mifumo ya uongozi wa chama kupitia uchaguzi huu wa januari"

View attachment 3184871
Huo ni ukweli ulio wazi, mbowe akishinda nafasi ya mwenyekiti chadema itakuwa imejitenga rasmi na vijana
Kama viongozi wa upinzani ndio hawa wa aina ya Tundu Lissu CCM itatwala mpaka mwisho wa dunia. Mtu makini hawezi kuwa na imani kwa vyama vinavyoongozwa na watu aina ya Lissu.
Haahaa pole mkuu, mbowe akishinda vijana watajitenga naye
 
Mgombea makini wa nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA ngazi ya Taifa Mhe.Tundu Lissu amekiri hadharani kuwa CHADEMA chini ya Mbowe haina uwezo tena wa kuvitia hata Mwanachama kichaa.

Soma alichosema huko Clubhouse X

"Tazameni chama chetu kinavyozidi kupoteza ile ARI na MORALI ya umma kutuunga mkono kama chama kikuu cha upinzani. Tazameni hata ile nguvu yetu ya vijana iliyokuwa inapelekea chama chetu kiitwe chama cha vijana leo hakuna tena nguvu ya vijana ambao ndio nguvu tegemeo ya chama hasa chama kama CHADEMA kinacholenga kukiondoa chama dola madarakani".

Leo hii vijana wanaona bora wakacheze pool table na ku-bet mitaani kuliko kukipigania chama chao. Ni kwa nini tumefika kwenye hali hii? Hili ndilo swali la msingi sana ambalo wanachama wenzetu wanaokuja kwenye mkutano mkuu wanapaswa kujiuliza na watafakari hali ya hiki chama chetu itakuwaje miaka mitano mingine ijayo kama hatutabadili mifumo ya uongozi wa chama kupitia uchaguzi huu wa januari"

View attachment 3184871

Huyu sasa hata siasa za nchi hii hazielewi.
Hajui kuwa katika nchi hii ukiwa upinzani unateswa na kubughudhiwa na dola? Hata ajira zinafuata itikadi
Umakufulism hakuwahi kuondoka na SSH kaangukia huko.
 
Back
Top Bottom